Watanzania
Salaam!
Hanari za watu:-
Kutekwa,
Kujeruhiwa,
Kuuawa, na
Kupotezwa
Zimekuwa za kawaida lakini madhara yake kwa familia za wahanga ni makubwa sana. Ikumbukwr kuwa wahanga hao wana...
Taasisi yoyote inapotaka kufanya uovu wowote, kwanza hutengeneza mazingira ya kuwezesha uhalifu kuweza kufanikiwa.
Serikali ya CCM, muda mwingi imekuwa ikiandaa mazingira ya kisheria ya kufanya...
Nimefuatilia mahojiano mbalimbali kwa miaka ya hivi karibuni ya vyombo vya ndani ya nchi na nje ya nchi. Nilichobaini Taifa lina wanasiasa wasiofika ishirini ambao wanaweza kutofautisha mahojiano...
Ukiwa mgeni Tanzania unaweza ukahisi nchi inakaliwa na wagonjwa au watu walioathiriwa sana na utumwa.
Vivi hivyo kwenye kesi nyingi za utekaji , watanzania wanaamini Mungu atawalipa watekaji ...
Wanabodi,
Kati ya Taasisi zinazopaswa kufanya kazi kwa weledi mkubwa bila mihemuko ni Jeshi Letu la Polisi.
Kuna baadhi ya issues ambazo jeshi letu la polisi, zinazishughulikia sio issues za...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji.
Naomba kuanza kwa Declaration of Interest.
Kwa...
Kwaza ieleweke utekaji uko almost Dunia nzima. Ila tunazidiana njia na mazingira ya utekaji.
Kwa Tanzania mazingira ya utekaji ni mepesi sana ni kiasi tu cha watekaji kusema sisi ni Police basi...
Alipouwawa Professor Jwani Mwaikusa (sidhani kama nimepatia jina) na aliposhambuliwa Dr Ulimboka, na alipotekwa Mo Dewji, Jeshi la Polisi lilikuja mbele ya media na "Wahalifu" ambao sijui Hadi...
Huu ni mtizamo binafsi na hisia za kifalsafa juu ya vitendo vya utekaji na mauaji nchini.
Kwa hulka ya mwanadamu pindi anapopata nguvu fulani iwe ya kibiashara, kisiasa, kidini, kimichezo n.k...
Wanabodi,
Karibu, Nipashe ya leo
Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya...
Baba : Mwanangu muabudu Mwenyezi Mungu na uzitii mamlaka juu yako ,serikali ,mahakama na bunge.
Anyigulile (Mimi) :Nimekusikia baba yangu kipenzi ,nitayaishi mawaidha yako.
Baba : Mwanangu litii...
Mwanachama mpya CCM akitokea Upinzani, Mchungaji Peter Msigwa, amesema wakati alipokuwa CHADEMA hakuwa na ufahamu kwamba Mchakato wa Katiba Mpya ulikuwa unakwamishwa na baadhi ya Viongozi wa...
Together TunawakilishaHome
Waliorusha Mawe kwenye mkutano wa Lissu wakamatwa
Jeshi la Polisi mkoani kilimanjaro limewakata watuhumiwa 12 wanaodaiwa kufanya vurugu za kushambulia kwa mawe...
Kimsingi suala la utekaji limeendelea kuwa suala linalotamkwa kila mahala. nimemsikia Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni, nimemsikia Rais wa TLS bwana Mwakubusi na pengine maeneo kadhaa.
Kama ni...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ameshiriki kupokea...
Rais Jakaya Kikwete amesikika mara kadhaa akisema kuwa "mgombea urais kupitia ccm 2025 atakuwa mama Samia labda mambo yaharibike sana hapo katikati".
Sasa swali langu ni je, mpaka sasa, bado...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe...
Kwa namna matukio ya ubakaji, ulawiti, utekaji, kupotezwa na mauaji yanavyoongezeka inatia shaka sana kwamba yanafanywa na kundi moja.
Kwa kifupi hatuko salama, sababu kubwa ni kwamba ni either...
Haiishi tu "drama" kuwa ni MAIGIZO....
Liko kundi la watu lisilotaka kujifunza vyema maana za ndani ya lugha kwa kuishia juu juu tu.
DRAMA ni neno la kiingereza...
Ni nini asili yake ...
nina uhakika na hilo kwa baraka na Neema za Mungu. sitanii, sina mazoea na sina mzaha hata kidogo kwenye malengo na matarajio yangu muhimu ya msingi katika kutekeleza kusudi la Mungu ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.