Wakuu salam,
Inawezekana matukio haya hasa kwa wapinzani kutekwa na kuuliwa ikawa kitendawili kwa serikali, bado ikawa fumbo kubwa kwao kung'amua nani anahusika na maatukio haya dhalimu, lakini...
Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na...
"Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha...
Hawa watekaji walianza kuwateka wanaharakati. Kwa kawaida wanaharakati huwa hawana wafuasi rasmi. Watekaji walifanya hivyo kupima mwamko na nguvu ya wananchi pale inapotokea mmoja wao anafanyiwa...
Wakuu kwa awamu hii ya mama na jinsi alivyoanza je kuna dalili yoyote ya lile genge la wale wahuni maarufu "wasiojulikana" kutokomea kusikojulikana awamu hii ya sita?
Au mambo yataendelea...
Wakuu salam,
Tumeshuhudia na bado tunaendelea kuona matukio mbalimbali ambayo yanahusisha watu kutekwa huku wahanga wakubwa wakiwa ni wale ambao wanakosoa au kupinga mambo fulani kwenye mamlaka...
Wanabodi
Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo miongoni mwetu sisi wana JF, pale inapotokea serikali yetu imeshindwa jambo fulani, kwa wale wenzetu wenye uwezo, jee tuwajibike kuisaidia serikali...
Watu wamevuliwa uwaziri kwa viji maneno wakati huo huo kuna watu wanatekwa waziwazi na kuuliwa lakini viongizi wako tu.
Hii inaonyesha aina ya viongozi na nchi tuliyonayo. Nchi ambayo inajali...
Amani iwe nanyi.
Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara...
Maoni
Tanzania iko kwenye njia panda ya kuogofya
Kuna dalili za kutia doa ahadi za Rais Samia – baada ya kuingiamadarakani, kuwa atahakikisha Tanzania inaheshimu misingi yahaki na kuimarisha...
Mheshimiwa Spika, baada ya hoja ya kuundwa kwa Kamati Teule kuwasilishwa na kuafikiwa na Bunge, uliwateua Wabunge watano wafuatao kuunda Kamati Teule ya Bunge kwa mujibu wa Kanuni ya 104(3) ya...
Je bado spika na bunge lake wanaamini watanzania wako salama dhidi ya utekaji?
Je spika una maoni gani tunaomba tamko la wabunge wetu kupitia bunge kuhusu usalama wa watanzania dhidi ya watekaji...
Majasusi wa kiserikali duniani huzua taharuki mashimo yenye miili ya binadamu, watu kunyofoa viungo vya binadamu, pipi kutumika kuteka watoto. Pia kesi ya Deus Soka inatumika kuogopesha raia ...
Kisiasa Rais Samia Suluhu asingeweza kusema yupo kinyume na mtangulizi wake Magufuli, na hatutegemei aseme hivyo hadharani lkn inawezekana moyoni anawaza tofauti kabisa. Binafsi kinacho matter...
Hali ya usalama ya sasa si nzuri watu wanapotea mno makanisa nayo yamekuwa chawa hayasemi mpaka watu wanauawa No hii haiwezekani waumini wenu kupotezwa na nyiniyi mnachekelea utume wenu uko wapi...
Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ninaombi kwako ikikupendeza na kuona inafaa ulifanyie kazi.
Ninaomba uufute waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa mkuu wa utumishi wa umma.
Waraka huu umetoa...
Ni dhahiri katika masuala ya siasa na uchumi Zitto Zuberi Kabwe ni mzoefu na anaweza kua bora kwa kiwango cha juu zaidi huenda ukalinganisha na nanma ambavyo David Kafulila anaperfom vizuri katika...
Kutokana na yanayoendelea kwenye jamii, ingefaa Chama kitoke hadharani na kuomba msamaha kwa uchafu uliotendeka uchaguzi 2020.
1. Kukataliwa fomu za wagombea wa baadhi ya vyama (huku wagombea wa...
Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa.
Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020.
Kama viongozi...
Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.