Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hatua ya baadhi ya wananchi kujitokeza na kumchangia mamilioni ya Shilingi Wakili maarufu, Peter Madeleka kwa ajili ya kuendelea na kesi ya anayetajwa ‘afande’ jijini Dodoma, imeelezwa kuwa...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
..Area D eneo aliposhambuliwa TL ni makazi ya Naibu Spika Dr.Tulia na Waziri wa Nishati Dr.Kalemani. ..Kwa kawaida makazi ya viongozi wa ngazi za juu kama hao hulindwa na askari wenye silaha...
58 Reactions
398 Replies
38K Views
Salaam, shalom!! Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri, Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili...
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Nchi yetu, na hasa Jeshi la Polisi, kwa vitendo vyake, linadhihirisha kuwa halipo kwaajili ya kuutumikia umma, halipo kwaajili ya kusimamia sheria, wala kulinda haki za msingi za raia na binadamu...
6 Reactions
48 Replies
1K Views
Wakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi. Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa...
3 Reactions
13 Replies
814 Views
Ndugu zangu Watanzania , Chama cha Mapinduzi chini ya uwenyekiti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan kitakuwa na kikao maalumu na kizito sana cha Kamati kuu...
9 Reactions
119 Replies
4K Views
Ndivyo ilivyokuwa KADI ya Chadema ilithaminiwa sana na kuheshimiwa 2005 alipoingia Mbowe na wakati anagombea Urais ndio zikaanza KADI za Papo Kwa Hapo kama za Mrema 1995 Ndio hiyo zoa zoa...
0 Reactions
3 Replies
312 Views
Nina mifano ya kutosha ya namna Wachina wanapenda sana mambo ya shortcut. Hawa jamaa kwanza wana roho mbaya ni makatili alafu ni watu walio husle sana hivyo wanapenda sana vitu vya kimagumashi...
32 Reactions
158 Replies
4K Views
Mwanachama Mpya wa CCM kamanda Peter Msigwa amemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe wakutane mahakamani Mbowe alimpa kamanda Peter Msigwa siku 5 za kuomba radhi kufuatia Kashfa mbalimbali...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Mchungaji Peter Msigwa amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na amepokelewa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM NEC kinachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia Suluhu Hassan Pia...
61 Reactions
531 Replies
17K Views
Wana JF, Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili...
69 Reactions
229 Replies
18K Views
Ikiwa leo ni kumbukumbu ya Shambulio alilofanyiwa na serikali ya awamu ya 5, iliyoongozwa na John Pombe Magufuli, Shambulio baya linalotajwa kuvunja rekodi ya mashambulizi ya Risasi kwa...
7 Reactions
10 Replies
611 Views
Yaani inaudhi sana vijana badala ya kufanya kazi wanashinda barabarani kuhesabu magari yanayopita yaliyobeba majeneza .Mwigine hadi anaropoka ohh mimi nimrchoka kuhesabu nipokee Vijana Himo Njia...
2 Reactions
6 Replies
460 Views
Wananchi ambao ni wakazi wa Wilaya ya Geita Wamelalamika juu ya matendo mabaya wanayotendewa na walinzi wa kampuni ya GEITA GOLD MINE [GGM] ya kuwaumisha mbwa wananchi wanaokwenda kuokota mabaki...
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Wanaukumbi. MBOWE KATAPIKA MAPEMA SANA WAKATI KAZI NDIYO INAANZA NI KICHEKESHO sana kwa Mbowe ambaye ni kinara wa kuropoka kauli za hovyo na za uongo juu ya CCM ,serikali na Rais Samia ambazo...
3 Reactions
62 Replies
1K Views
Nchi zingine mtu kugombea chochote kwanza anatakiwa kuwa na kazi inayomuingizia kipato na pili lazima awe mlipa kodi. Hawaruhusu mzururaji asiye na kazi na ambaye si mlipa kodi ya mapato kugombea...
3 Reactions
46 Replies
920 Views
Moja ya mambo ambayo madikteta hawapendi ni kukosolewa, kwa miaka ya hivi karibuni mitandao ya kijamii imekuwa njia kubwa ya kukosoa mamlaka na kuleta mabadiliko katika jamii. Kipindi Rais Samia...
12 Reactions
55 Replies
3K Views
Wakazi wa Ngorongori wamemuelewa Rais Samia na nia nzuri ya Serikali anayoiongoza kuwapatia makazi Bora na salama huko msomera Wakazi hao wameamua kuachana na propaganda uchwara za wanasiasa...
1 Reactions
8 Replies
372 Views
Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki. Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili...
2 Reactions
19 Replies
472 Views
Mchungaji Msigwa leo Ijumaa Septemba 06, 2024 kupitia Jukwaa la Sauti ya Watanzania katika mtandao wa Clubhouse akijibu barua ya Mawakili wa Freeman Mbowe ambayo imemtaka kuomba radhi au ajiandae...
10 Reactions
103 Replies
4K Views
Back
Top Bottom