Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Unajisikiaje kwa roho lako hili la kinyama. Kama ni kanisani unajifanya kimbelembele. Kama ni msikitini unajifanya kimbelembele. Muda wote Mungu, Mungu mara maadili kumbe jitu uaji mikono yako...
4 Reactions
8 Replies
364 Views
Nakumbuka enzi hizo Uchina wakati wa cultural revolution miaka ya 60s mpaka 70s liliibuka genge la mtu nne likiongozwa na mke wa Mao Zedong aitwae Jiang Qing. Genge hili lilijitwalia madaraka ya...
8 Reactions
4 Replies
478 Views
Tuhuma za Kizushi ambazo Mchungaji Msigwa anazielekeza kwa mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe zinawapa maumivu makali sana Wafuasi wa Chadema Mbowe amekimbilia mahakamani na Mchungaji Msigwa...
-2 Reactions
21 Replies
466 Views
Ujumbe wake aliousambaza Dunia nzima huu hapa Hii Nchi sasa inaelekea Shimoni. Nyongeza: Tito Magoti aliwahi kutekwa kwenye utawala wa kidikteta wa Awamu ya 5, Manusura yake yalitokana na...
11 Reactions
58 Replies
4K Views
Muda mfupi ujao kabla ya uchaguzi mkuu ACT-WAZALENDO kuzindua TV na radio yao hii ni hatua nzuri kwa chama cha upinzani na itawasaidia kufikisha ujumbe mjini na vijijini hongereni sana. Pia...
0 Reactions
19 Replies
593 Views
Je, nini dhima ya Mhe Dkt Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa Ubia nchini PPP kuwakusanya Viongozi hawa waandamizi wa Taifa hili?
13 Reactions
67 Replies
3K Views
Ndugu Mnyika. Nakusalimu Juzi uliitisha press conference na kuwatangazia wananchi juu ya kutekwa kwa msaidizi wako mzee Kibao. Sasa kwa kuwa binadamu huwa haishi peke yake bali ana majirani zake...
2 Reactions
10 Replies
733 Views
Kuna mtu anayeweza kuelewa kwa nini viongozi wa kisiasa wa taifa hasa Rais huwa wanakula kiapo/ wanaapishwa baada ya kuteuliwa au kuchaguliwa? Pia msingi wa kutumia vitabu vya dini katika kula...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Wanabodi, Naangalia huu mkutano wa Rais Magufuli na wafanyabiashara, kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa rais Magufuli. Namtafakari jinsi huyu jamaa anavyochapa kazi hadi sijui analala saa...
29 Reactions
225 Replies
23K Views
Trump amesema akishinda uRais atamteua Bilionea Musk kuwa Mratibu wa Biashara na Uwekezaji wa PPP kama Dr Kafulila wa Tanzania Kwako Lucas 😂 Nawatakia Dominica Njema 🌹🌹
3 Reactions
10 Replies
181 Views
Wakuu, Nauliza hivi: Je, viongozi wetu, watendaji na wakuu wa hitifaki za viongozi wanajua kuwa wananchi nao wana mipango, mahitaji na malengo yao yanayotegemea na kubanwa na MUDA (WAKATI)?? Je...
3 Reactions
14 Replies
395 Views
Ukiona kwenye maisha hupati changamoto jua huna faida au huna athari katika jamii. Leo CHADEMA mumeishika serikali ya CCM pabaya, mumekaribia ukingoni kuitoa madarakani, mumevishika nyeti...
1 Reactions
0 Replies
162 Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Licha ya Wimbi la kutekwa kwa Wanachama wa Chama hicho Nchi Nzima, ambako sasa imedhihirika kunafanywa na vyombo vya dola vya Tanzania, ambavyo vimetumwa...
18 Reactions
57 Replies
3K Views
Wakuu, Nauliza hivi: Je, viongozi wetu, watendaji na wakuu wa hitifaki za viongozi wanajua kuwa wananchi nao wana mipango, mahitaji na malengo yao yanayotegemea na kubanwa na MUDA (WAKATI)?? Je...
3 Reactions
6 Replies
283 Views
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida, Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia...
10 Reactions
74 Replies
3K Views
Inaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa. Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na...
9 Reactions
65 Replies
2K Views
Duuuh siasa mchezo wa ajabu sana Namsikiliza mh msigwa hapa star TV Anaulizwa ulisema uwezi hama chadema imekuwaje Chadema sio dini Anakwambia hakuna bonadamu asiebadilkaaaa Hata Paulo...
3 Reactions
18 Replies
891 Views
Makamu wa Raisi Dkt. Philip Mipango Makamu wa Raisi Dkt. Philip Mipango akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Jubilei ya...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Mkutano wa Wadau wa Habari kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Kunakuwepo Uchaguzi Unaoaminika.
0 Reactions
3 Replies
476 Views
Zipo seti kuu mbili za dhima za Vyombo vya Habari nyakati za uchaguzi, ya kwanza inatokana na msimamo wa Kitaaluma ikiunganishwa na Wajibu wao kwa jamii, ya pili ni wajibu wa Kisheria wa Vyombo...
2 Reactions
3 Replies
496 Views
Back
Top Bottom