Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Taifa la Tanzania ni Taifa la watu waungwana na watu wasio na makuu ni Taifa la wana Hewala kama napata mlo wangu wa siku mambo mengine hayaniusu. Ni taifa kama niliumizwa na wewe unaumizwa basi...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
"Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha...
26 Reactions
256 Replies
8K Views
Wanabodi, Hapa duniani kuna fani mbalimbali za shughuli, na shughuli kuu ya kwanza duniani baada ya Mungu kumuumba binadamu, ilikuwa ni shughuli ya kutengeneza watoto au kuumba viumbe. Kwa vile...
29 Reactions
65 Replies
4K Views
CHUKI NI NINI? Chuki ni ile hali ya mtu kuwa na muitikio mkali hasi kwa mtu/watu fulani au mawazo ambayo kwa kawaida uhusiana na upinzani mkali uliopitiliza. AINA ZA CHUKI 1. CHUKI KWA UJUMLA...
0 Reactions
8 Replies
316 Views
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro. 2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua...
12 Reactions
120 Replies
5K Views
Nataka kujiunga na Chama cha Demokrasia na Makamanda. Kadi zinapatikana wapi?
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Kwenye repoti ya fedha ya Benki ya Dunia inayoishia June 2024 inaitaja Tanzania kama nchi ya 4 kwa nchi zenye madeni makubwa ya IDA. IDA ni taasisi iliyo chini ya benki ya Dunia ila wao wanajikita...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Ni kukosa uzalendo kwa tunu za taifa. Pamoja na kuwa wamesoma ila wamekosa UFAHAMU wa uadhimu wa taifa kwa watu wake ,uongozi wake na ardhi yake. Uhuru uliopatikana 1961 haujawapa huo ufahamu...
1 Reactions
11 Replies
686 Views
Haya matukio na Mauaji yanayoendelea nchini tena kwa kasi kubwa na hadharani kabisa na umekaa kimya sio sawa! Nchi yangu alafu niishi kuhofia uhai wangu kisa maoni yangu au siasa!?! Shame on you...
2 Reactions
4 Replies
475 Views
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema: Ni...
8 Reactions
73 Replies
3K Views
Chadema ilitaka Wakili wao Hekima Mwasipu kushiriki Uchunguzi wa Mwili wa Ally Kibao, Polisi walikuwa wanazuia, Varangati likaibuka. Baada ya Shinikizo la Boniface Jackob, Polisi wamenywea...
27 Reactions
47 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahia maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kujuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa...
1 Reactions
105 Replies
4K Views
Amos Makalla, aliyeteuliwa kama Katibu Mwenezi wa CCM, anaonekana kukosa mvuto kwa baadhi ya watu kutokana na sababu kadhaa zinazoweza kujadiliwa: 1. Uzoefu na Historia ya Kisiasa: Ingawa Makalla...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Ninalia ninalia naililia Tanzania Sifi Leo Nina lia Nina lia naililia Tanzania Sifi Leo nampeleka kilio changu kwa umoja wa wanahabari Tanzania mnasubilia Nini kuungana na chadema kupinga...
1 Reactions
2 Replies
253 Views
Mbowe amejitahidi sana kufanya siasa za kistaarabu siku zote, bila kutambua kuwa ustaarabu unakuwa na maana, na unaweza kuleta matokeo chanya kwa mtu ambaye ni mstaarabu. Kumfanyia ustaarabu...
6 Reactions
19 Replies
627 Views
Nije Moja Kwa moja.kwenye mada: Falsafa ya 4R ambayo Rais Samia Suluhu Hassan anaiwasilisha kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2024 inapaswa kutazamwa kwa makini...
0 Reactions
7 Replies
429 Views
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka pembe zote, Bila kujali kutekwa Viongozi wa Chama hicho wameendelea kupiga Spana bila huruma. Ileje ni miongoni mwa maeneo yaliyopuuzwa kabisa kwa miaka mingi...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Mwaka 2015 pasipo namna-namna Kingwendu angewakilisha wananchi wa KISARAWE kupitia CUF, mtifuano ulikua mkali haswa. NB: Tofaut na Babutale (aliye pita bila Kupingwa) huyu Kingwendu alipambana...
21 Reactions
55 Replies
5K Views
Kifo cha Viongozi wa Upinzani Tanzania: Hadithi za Kusikitisha za Kupotea kwa Viongozi Muhimu TUJIANGALIE TUPO PABAYA SANA LEO KULIKO JANA SONGA NAYO. Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
290 Views
Back
Top Bottom