Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Enzi za Uhai wa Mzee Wagagigikoko aliongoza familia yake kwa mabavu hata mkewe hakua na Sauti yako maamuzi. Familia ilinawili lakini watoto wa jirani waliolima shamba moja na mzee huyo walikonda...
2 Reactions
3 Replies
395 Views
Kada wa Chadema aliyeuwawa na wasiojulikana atazikwa leo na Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi atakuwepo. Inna lillah waina illah rajiuun ----- Mwili wa aliyekuwa Kada wa Chadema...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
HOTUBA YA MHE. DKT. DOTO BITEKO, NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, AKIMWAKILISHA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA JUKWAA LA 16 LA UNUNUZI WA UMMA LA AFRIKA...
0 Reactions
1 Replies
297 Views
“Justice must not only be done, but it must also be seen to be done.” Kuna mambo yamekuwa yakitokea na watu kurushiana shutuma kwamba ni huyu au yule amefanya.., Mbaya zaidi Kuna upande hawana...
1 Reactions
2 Replies
244 Views
Habari sitaki kusema mengi ila Najiuliza tu wale wanahabari ambao hua mnatuletea thread za Maslahi kwa Taifa Mara Mama ni mtu mwema umeambiwa na sauti from within je haya yanayoendelea ya wanawake...
5 Reactions
23 Replies
773 Views
Nahitaji kuwa mwanachama hai wa UVCCM kuhudhuria mikutano na chaguzi mbalimbali zinazoendelea za UVCCM, Je nawezaje kujiunga mahali nilipo?
3 Reactions
51 Replies
819 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ametoa ya moyoni baada ya kuondoka kwa Mchugaji Peter Msigwa ndani ya chama hicho na kuelekea CCM akisema ni pigo sana kwake na CHADEMA. Amesema Msigwa...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwa sasa Tundu Lissu ndiye mwanasiasa pekee ambae kuhama kwake sehemu kunaweza hama na watu , sababu nyuma kuna watu wengi sana ambao ni wafuasi wake na wana imani na yeye. CCM wamemchukua Msigwa...
14 Reactions
26 Replies
1K Views
Bila kujua dhamira yao huwezi kuwaelewa wanafanya hivyo kwa lengo gani. Wanachochea hasira ya wananchi dhidi ya nani? Panakofuka moshi pana dalili ya kuwepo moto. Je inatosha kwa mh.makala...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
Mauaji ya Ally Kibao ni tukio la kusikitisha na la kutia wasiwasi, linalofichua kasoro katika mfumo wa usalama wa nchi yetu. Ni muhimu kuwawajibisha viongozi wa polisi ambao wana jukumu la kulinda...
1 Reactions
1 Replies
378 Views
ZANZIBAR kuwa na mkurugenzi wake wa Idara nyeti kama usalama wa taifa ni wazi kuwa Zanzibar wako makini sana na nchi Yao. Ni sharti katika sheria ya usalama wa taifa kwamba kutakuwa na mkurugenzi...
1 Reactions
4 Replies
406 Views
Mwalimu nyerere aliwahi sema kwamba Demokrasia inabidi iendane na sehemu husika akiwa na maana Nchi moja inaweza tofautiana na nchi nyingine mfumo wake wa Demokrasia. Marekani wana Demokrasia yao...
1 Reactions
2 Replies
276 Views
Mkuu IGP, Kamanda Saidi Mwema, Hebu Shuhudia!. Hii ndio picha ya mwisho ya mwanahabari, mpiganaji Daudi Mwangosi aliyefia kwenye uwanja wa mapambano!, 1. Ukiangalia kwa makini, utashuhudia...
39 Reactions
107 Replies
13K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu kuhusu watu watu, kwa kulisaidia jeshi letu la polisi na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuitumia mitandao ya kijamii positively as source of a security...
28 Reactions
126 Replies
16K Views
Natoa tu angalizo siyo sawa taasisi kubwa kama NSSF kutuwekea mapori Mjini. Sasa Watu wanatupwa tu kwenye pori la taasisi ya Umma tena wengine wakiwa wameshakufa kama yule mzee Ally Mohamed...
1 Reactions
1 Replies
327 Views
KUTEKWA NA KUUAWA WATU NA TAFSIRI YA UWAJIBIKAJI. Hayati Ali Hassan Mwinyi wakati huo akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi (1975-1977) alijiuzulu nafasi yake ya Uwaziri kwa sababu ya kosa la...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Ugali Moto Mboga Moto. Kuna mkeka utatoka wakati wowote kuanzia sasa Mlale kwa mang'amung'amu 🐼
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Mikutano ya Viongozi wetu wapendwa , wazalendo, wamekuwa wakizunguka duniani kututafutia maendeleo. Kumekuwa na mikutano ya nchi za ulaya na Africa, Hapa chini nimeweka nchi zilizoita wakuu wa...
8 Reactions
89 Replies
2K Views
Wana CCM hawana uoga na kitu chochote wanacho amua kufanya, wanaamini kushika kwako dola ndo kila kitu kwao. Wapo wanaoamini wao na familia zao watatawala milele. Lakini naamini hakuna marefu...
0 Reactions
3 Replies
483 Views
Mwaka 2011 askari polisi waliotumwa kuvunja mkutano wa ndani wa CHADEMA katika Kijiji cha Nyololo, Mufindi, Iringa, walimuua mwandishi wa habari wa Channel Ten, Daudi Mwangosi. Haraka haraka...
33 Reactions
80 Replies
9K Views
Back
Top Bottom