Mwalimu Nyerere aliwahi sema "Uchumi tunao, lakini tumeukalia' ithibati ya maneno ya Baba wa taifa ilikuwa sahihi kabisa, kwa kuzingatia baraka ya rasilimali asili na rasilimali watu katika bara...
Maelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS
Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna...
Ile Sheria haikuwa nzuri lakini ilitoa Fursa ya Jamii kujua Fulani yuko wapi
Wako waliokaa Kizuizini miaka na hapakuwepo kelele zozote
Sijajua kama ile Sheria ilifutwa ama la ngoja niulizie...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Mchungaji peter Msigwa kada wa CCM kutokea mkoani Iringa na mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini.
Ambapo amesema ya...
Huyu bwana kajizolea sifa lukuki kwa wakenya na wapenda sheria wote duniani. Imefikia mpaka Watanzania wanamfananisha na Mwanasheria machachari Tundu Lissu..
Sijawahi kumshuhudia Lissu akiwa...
Mutu ya Watu Onesmo Lyanga, IGP ajaye.
Salamu Wakuu,
Kwa jinsi ninavyomjua afande, lazima Kesi ya Lissu ianze upya sababu huyu afande haangalii nyani usoni sehemu yenye uharifu. Man of black...
Wewe Mbowe umembagua sana Rais wetu, umemuita yeye ni mzanzibar na kashfa kibao za kisiasa dhidi ya Rais.
Mhe Rais amebaki na 4R tu, mmemtibua sana kwenye majukwaa kwa kauli zenu za kibaguzi...
Wazee kama hawa akina Lukuvi na Kabudi wameshafanya kazi za kutukuka kwenye taifa letu. Walitakiwa wawe wameshazalisha vijana wenye uwezo, mawazo na maono kama wao. Lakini kama hawajazalisha...
Rais wa China bwana Xi JinPing amesema Nchi yake Iko tayari Kuijenga Tanzania Kuwa mfano na kielekezo Cha Ushirikiano wenye manufaa na wa Kimkakati baina ya China na Afrika Kupitia miradi ya...
Mzazi wangu ni mmoja wa Wazee ambao wamestaafu utumishi katika Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), mzee wangu na wenzake wengi waliostaafu Mwaka 2004, 2005 na 2006 hawajalipwa stahiki...
Askofu Msomi, Almachius Vicent Rweyongeza wa Jimbo la Kagera ameonekana kwenye moja ya Video akitoa hotuba kuiasa serikali namna ya kutuna na kudumisha amani ya Nchi.
Ktk ku address mambo muhimu...
Wakati Viongozi wetu wamekwenda huko kutafuta wawekezaji na kutembeza bakuli, nadhani cha kujifunza kutoka kwao ni nini kimewafanya wafanikiwe na kufika huko. Kama tuna cha kujifunza kutoka kwa so...
juu ya yote, tumuombee dua Msigwa. hayupo vizuri
ameunja record record za dunia.
haiziwekani kakaa na Mbowe miaka 20, ghafla dakika 1 imekuwa adui. Hakuna mtu duniani sample hio
hakuna .tangu...
Tunapigwa kwenye mikataba kwa sababu IQ zetu bado ndogo.
Huwezi mzidi ujanja mwenye IQ kubwa kuliko wewe lazima akulambe tu.
Juzi mchina Xi katukusanya kama kumbi kumbi huko mitaa ya Beijing...
Moderator, tafadhali kwa heshima na taadhima, naomba Uzi huu ujitegemee, usiunganishwe. Nataka rafiki yangu Mch. Peter Msigwa au washauri wake wa karibu wauone kirahisi pengine naweza kumsaidia...
Kama unaelewa mambo ya protocol utaelewa ninachosema Juu ya Mtu kuaminiwa na Mamlaka ya Juu kabisa
Mbowe akiwa wilayani Hai alimkabidhi mchungaji Kiongozi Mchango wa Tsh 150 million kutoka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.