Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kumekuwa na Mambo mengi ya ovyo hapa Nchini. Viongozi wengi wa Dini wamejitokeza hadharani kukemea maovu hayo, lakini kuna viongozi wa Dini nyingine wapo kimya kana kwamba hawayaoni...
1 Reactions
4 Replies
420 Views
Ndugu zangu kauli hz zimezoeleka sana tunapokuwa tunaelekea kwenye uchaguzi na tukiwa kwenye uchaguzi vilevile,je Hv ni kweli mtu anaweza kula pesa ya mtu na asimpe kura?,na je aliyetoa pesa hizo...
3 Reactions
4 Replies
317 Views
Habari JF , sakata la Mwenyekiti Mbowe vs Mchungaji msigwa linaturudisha Nyuma sana. Kipindi Mzee lowassa-RIP anasemwa vibaya kila kona na kuchafuliwa lakini mwisho wa Siku alikuja kuwa mgombea...
2 Reactions
35 Replies
912 Views
Mchungaji Msigwa asisahau namna CHADEMA walivyompambania dhidi ya Monica 2010 Mchungaji Msigwa asisahau jinsi Baadhi ya wazawa wa CCM wale Team Lowassa walivyomkataa Mwakalebela na kusema...
3 Reactions
3 Replies
277 Views
TABIA ZA MTU MZALENDO Na Joseph Nyoni Uzalendo nini? Uzalendo ni ibada ya kulipenda, kulitumikia na kulitetea taifa katika hali yoyote pamoja na kutanguliza maslahi ya taifa. Zifuatazo ni tabia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Salaam, Shalom!! Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk. Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na...
11 Reactions
68 Replies
3K Views
UPDATES: Novemba 2014, Gazeti la Economist limeandika haya...
2 Reactions
85 Replies
18K Views
China na Afrika wameamua kukumbatiana kutafuta fadhila kuu za raslimali alizoziumba Mwenyezi Mungu hapa ulimwenguni. FOCAC si umangimeza wala ubwanyenye....ni mwendelezo wa BRICS.. Kuwa kwetu na...
3 Reactions
3 Replies
186 Views
Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni...
8 Reactions
115 Replies
6K Views
Wewe ukishahama chama jikite na ya huko ulikohamia Ili kuimarisha Ofisi Yako Mpya Kule ulikotoka mabaya yao waachie wenyewe Kumkumbuka mliyeachana ni dalili za Wivu Jumaa Mubarak 😀😀 Soma Pia...
6 Reactions
16 Replies
547 Views
05 September 2024 Dar es Salaam, Tanzania Boniface Jacob arudisha fomu akisindikizwa na mamia ya wanachama wa CHADEMA leo hii jijini Dar es Salaam. Jeshi la polisi lapongezwa kwa kutoa ulinzi...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Mchungaji Anthony Lusekelo amesema yeye hafuatilii bunge la sasa kwa sababu halina Mvuto na Mijadala yao hujulikana mapema itakavyotamatishwa Mzee wa Upako amesema alikuwa akimfuatilia Bunge la...
16 Reactions
68 Replies
2K Views
Baada ya tukio la kuuwawa kwa watafiti tena kwa kuchomwa moto wao na gari lao mali ya chuo kikuu tulianza kuhisi watu wa Dodoma sio watu waungwana Mauaji ya mwanamziki Mandojo, ulawiti na...
1 Reactions
5 Replies
613 Views
Ndugu zangu Watanzania, Siku ya Kesho panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu nimepanga kuleta andiko zito sana kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi Mkoani Songwe kuwausia wakuu wa Wilaya na Mikoa. Ni andiko...
0 Reactions
34 Replies
817 Views
Huyu alikua ni fanyabiashara mashuhuri wa simu za mkononi hapa bongo. Amekamatwa Oman akiwa amemeza kete za sembe, ni kipindi kama cha mwaka sasa alikua amehamia Oman baada ya mambo yake hapa TZ...
4 Reactions
130 Replies
39K Views
Kati ya vitu ambavyo tutamkumbuka Mwalimu Nyerere ni ule u thinker wake. Mwalimu si tu alikuwa na maono ya kisiasa, lakini kiuongozi alikuwa kama mcheza chess. Mwalimu alikuwa na uwezo wa...
1 Reactions
4 Replies
336 Views
ANAANDIKA MWANAHARAKATI MDUDE NYAGALI 𝗝𝗨𝗠𝗔𝗣𝗜𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟴 𝗦𝗘𝗣. 𝟮𝟬𝟮𝟰 𝗡𝗜 𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗢𝗠𝗕𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔𝗢𝗠𝗕𝗘𝗔 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗧𝗘𝗞𝗪𝗔. Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya...
5 Reactions
22 Replies
952 Views
Kwanini serikali ya Tanzania haina mpango wa kupeleka satellite yake Angani kama moja ya ukuaji wa kiuchumi ili kulinda siri ya nchi dhidi ya cybercrimes? Pia soma: Serikali ya Tanzania yaanza...
0 Reactions
2 Replies
231 Views
Baada ya Mjadala wa kufuta Jeshi la Polisi kuhitimishwa, huku tukisubiri Utekelezaji, Idara nyingine inayohitaji kufutwa ni Mahakama. Huku kumejaa Uchafu usiomithilika, hukumu zinazotolewa...
2 Reactions
6 Replies
496 Views
Katika mkoa wa Mbeya, kumekuwa na ongezeko la vifo vinavyotokana na ajali za barabarani. Hali hii imekuwa ya kusikitisha na inahitaji hatua za haraka ili kuokoa maisha ya wananchi. Katika ripoti...
0 Reactions
3 Replies
370 Views
Back
Top Bottom