Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ni tukio la kusikitisha kule Kagera. Askofu Bagonza lini atatupandishia maandiko kuntu ya kupinga unyama uliofurutu ada wa kumuua mtoto (MALAIKA) asiye dhambi ,kumkata viungo na kumchuna ngozi...
5 Reactions
42 Replies
1K Views
2 Septemba 2022 By Yusuph Mazimu, BBC Swahili Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
VYAMA MFU VYA UPINZANI KUITOA CCM MADARAKANI HAIWEZEKANI NA HAITATOKEA MILELE, ILA IKITOKEA HUO NDO MWISHO WA TANZANIA....Na Joseph Yona. MbagalaZmaHome yonapavea@gmail.com 0713802226 Kama...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndoto ya Mwl. Nyerere kukubali vyama vingi vya siasa nchini ni kupata vyama viwili vikubwa vinavyokosoana, kuonyana na kuogopesha kisera katika kuitawala nchi. Hakupenda utitili wa vyama...
5 Reactions
25 Replies
753 Views
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi. Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais. Kwenye hotuba zake nyingi...
148 Reactions
465 Replies
46K Views
SHAMIRA AKABIDHI SIMU 9 NA KADI 1000 ZA UVCCM TANGA. Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) viti vitatu Bara Shamira Mshangama amekabidhi Simu Tisa, pamoja na...
1 Reactions
6 Replies
482 Views
Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China. Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Peter Msigwa Msigwapeter · 9h Chama chao hiki ndio kinadai Tume huru ya uchaguzi . 🤣🤣🤣 https://x.com/i/status/1831497694461989316
2 Reactions
47 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva amefika na kuripoti rasmi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack leo tarehe 05 Septemba, 2024. Mkuu wa...
2 Reactions
8 Replies
726 Views
Mbeya. Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imefutilia mbali shauri namba 41 la mwaka 2023 la wakazi wa Isela kijiji Cha Ndolezi mkoani Songwe dhidi ya serikali na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kutaka...
1 Reactions
2 Replies
409 Views
Tanzania imebahatika kuwa na waumini wa dini kuu mbili Ukristo na uislam. Dini hizi zinafundisha maadili ya kukataa rushwa, udadilifu, kuheshimiana, kutenda mema kwa wote ili tuweze kujikomboa...
0 Reactions
7 Replies
262 Views
Nimeangalia hii video nimeshindwa kuelewa tofauti ya Kuuza sera na "Kujiuza" ni ipi. Shame.
13 Reactions
96 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na...
29 Reactions
175 Replies
7K Views
Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Habari kamili hii hapa Mtangazaji Burton Mwemba, maarufu Mwijaku ameishauri Serikali kuona umuhimu wa kuwa na mfumo mzuri wa kuangalia aina ya upatikanaji viongozi kwa baadhi ya nafasi hasa...
4 Reactions
10 Replies
857 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Sura ya tano ya ilani ya chama cha mapinduzi 2020-2025 imeeleza, kwanza mafanikio iliyoyapata katika sekta ya ulinzi na usalama katika awamu...
1 Reactions
8 Replies
272 Views
DC namba 1 duniani anatajwa kuwa atahamishiwa Ngorongoro ili kunyoosha wakaidi huko
15 Reactions
51 Replies
3K Views
Ni vizuri wananchi tuchukue nafasi ya kuwamulika viongozi wasiowajibika, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri kutokana na tuhuma mbalimbali zinazowakabili za matumizi mabaya ya madaraka...
2 Reactions
20 Replies
821 Views
Meya zamani wa Kinondoni na Ubungo, ambaye ametangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amepanga kurejesha fomu ya kugombea uongozi huo kwa Maandamano. Leo aliitwa Polisi Kanda Maalum...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Kuna ile dhana ya kiuongozi ambapo mtu anajitoa au ana declare interest kwenye jambo linalomhusu ili kusiwe na upendeleo nitatoa mifano ifuatayo. 1. MAHAKAMA Majaji huwa wanajitoa kwenye kesi...
0 Reactions
4 Replies
297 Views
Back
Top Bottom