Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
"Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, haiwezekani wagombea wa upinzani tu ndio hawakujua kujaza fomu ipasavyo halafu wagombea wa CCM wakaweza kujaza fomu ipasavyo kila...
16 Reactions
89 Replies
6K Views
Wadau hamjamboni nyote? Ni ushauri tu kwa mwenye mamlaka kuwa hawa wenzetu hata uwafanyie jambo gani jema hawanaga shukrani Kwamba wao kila siku ni kulalamika , kudai na kudai, kuzusha na...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
KUNA tetesi kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameshindwa kushiriki ziara ya Rais Samia nchini China kutokana na kukabiliwa na Kesi ya Rushwa na Uhujumu uchumi katika Mahakama Kuu ya Tanzania...
1 Reactions
6 Replies
811 Views
Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinatolewa kuwa aidha maiti zimefukuliwa kwa mganga wa kienyeji na maiti hizo unakuta ni za watu ambao walipotea na kutafutwa na ndugu, au mtu kafia kwa...
1 Reactions
1 Replies
653 Views
Hii ndio Taarifa Mpya kwa sasa inayosambaa kwa kasi Duniani. Kwa Maoni yangu ninaona kwamba Huyu Jamaa anafaa na wala sina mashaka naye hata Chembe, Anaijua Kanda ya Pwani, Fitna na sarakasi zake...
20 Reactions
71 Replies
2K Views
Wale 'untouchables' waliokuwa wanapigiwa kelele na watanzania hatimaye wameanza kushushwa mmoja baada ya mwingine. Baada ya Kakoko na Bashiru kushushwa sasa inafata zamu ya Dotto kushushwa. Wapo...
6 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe Chadema au ACT Wazalendo ahamie CCM tu. Nasema hivi kwa sababu Chadema wanaonekana hawamtaki wala kambi yake Matokeo ya...
1 Reactions
63 Replies
1K Views
“Unaweza kuanzisha fitna au kuumiza watu kwa siri na ukaona umefanikiwa. Maana hakuna anayekujua. Fitna hiyo fahamu itakuwa, itasambaa na itakomaa. Ikishakomaa huwa na tabia ya kurudi ilipoanzia...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii leo June 13 Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Akiwa katika Ikulu ya Chamwino Dodoma amefanya uapisho wa viongozi...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Kumekuwa na tabia ya ajabu sana miaka ya hivi karibuni, yaani mtu akiwa tu na nafasi na kupewa "microphone" anajiona kama sijui yupo chini ya mwamvuli gani, wanajisahau kuwa CCM inawajibika kwa...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Wanajamvi, Salaam. Leo nakuja kwenu jamvini baada ya kukerwa na tabia ya Mwenyekekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Absalom Kibanda kutumia kuteswa na kutekwa kwake kama biashara. Amekuwa...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Kauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa...
4 Reactions
82 Replies
5K Views
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha...
11 Reactions
53 Replies
3K Views
Sijawahi kusikia CAG akielezea Taifa linafaidikaje na Utalii kwenye Mlima Kilimanjaro Labda CAG mstaafu mh Uttoh atusaidie kutupa data kupitia taasisi yake I Uwajibikaji Ahsanteni Sana Mlale...
1 Reactions
14 Replies
409 Views
Hasara za Freeman Mbowe kuwa kiongozi wa kiimla katika CHADEMA, au chama chochote cha kisiasa, zinaweza kuwa nyingi na zinaweza kudhoofisha chama na harakati zake za kisiasa kwa ujumla. Hapa ni...
1 Reactions
6 Replies
284 Views
Mbunge mstaafu Upendo Peneza amesema kupitia Nafasi aliyonayo huko CHADEMA ataendelea kuwatumikia. Pia soma: Alipanda mpaka mnara lakini wapi! Unafikiri anaandaliwa kwa cheo kingine au ndiyo...
6 Reactions
73 Replies
3K Views
Tunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana. Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva 😄 Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani. 🐼 Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka...
13 Reactions
53 Replies
2K Views
Mabibi na Mabwana, SALAMU. Mara baada ya salamu, Mimi ni kijana wenu wa umri wa miaka 23. Ni mwenyeji wa Njombe ila kwa sasa nipo masomoni dasalama. Sitaki uongozi wa siasa kwa sasa ila nawiwa...
1 Reactions
2 Replies
218 Views
Wakuu, Kikao cha Kamati kuu kilichokuwa kifanyike tar 2 Sep kimerudishwa nyuma hadi tar 1, na Nchimbi yuko katika kufanya maandalizi ya kikao hicho. Kazi kwelikweli! === Kada wa CCM asemasema...
0 Reactions
1 Replies
343 Views
Fuatilia live Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM. Fuatilia mubashara Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM ambapo wanaotazamiwa kushiriki ni; 1...
9 Reactions
134 Replies
6K Views
Back
Top Bottom