Ebu msikikizeni tena huyu mwanaccm anavyomwaga sifa za CCM kwenye chaguzi.
Najiuliza hivi ule utaratibu wa kuwapeleka viongozi kwenye chuo cha uongozi watarajiwa haupo tena?
Ipo wapi nguvu ya...
Wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji (Babu Duni) akiagwa leo, chama hicho kinaanza utekelezaji wa sera ya ya kuwaenzi viongozi wake wastaafu.
Babu Duni ameachia...
Makatibu Wakuu wa vyama vya Upinzani Tanzania (ACT Wazalendo na CHADEMA wanapanga kukutana na kujadili hali ya kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa...
Your Excellency,
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mheshimiwa Raisi, Ninaamini umzima wa afya na unaendelea kutekeleza majukumu yako kwa kadri Mwenyezimungu alivyokujaalia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mkutano na Rais wa China, Xi Jinping pamoja na ujumbe wake mapema leo, Septemba 4, 2024 katika ukumbi wa The Great Hall...
Dear President Samia,
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania !.
Bila shaka umzima wa afya na waendelea vyema kulijenga taifa letu. Nakuombea kwa Mungu afya tele na uimara kwa vile...
Tanzania 🇹🇿 tunabahati ya kuishi katika Nyakati mbili za mifumo ya utawala, yani katika UJAMAA/Communism na Liberal/Liberali yani kidemocrasia.
Mifumo yote Ina mazuri yake na mabaya Yake. Kua...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi Jana Jumanne Septemba 03, 2024 amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuhoji Serikali kuhusu malipo ya fidia kwa wananchi wake...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani.
Ikiwa Makamu...
Naam,
Kueleke mechi ya uchaguzi tayari wachezaji wote timu zote wapo uwanjani wanapasha misuli kabla ya kurudi vyumba vya kubadilishia nguo ili watoke rasmi na kuingia uwanjani kusubiri kipenga...
Hakuna ajuae labda ni miaka 50 ijayo au zaidi, lakini hili halikwepeki.
Najua humu JF kuna wachambuzi wazuri wa haya mambo ya politics za nchi,
Ni kitu gani kinachoweza kuchangia ccm itolewe...
Kwa aliye fuatilia kampeni za kuziba pengo liloachwa na Dk Shogo Mlozi aliyekuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki R.I.P.kwake
Kuna kabinti kamejitokeza kwanza nampa hongera kwa ujasiri na...
Kinachoendelea baina ya upinzani wao kwa wao, humu nchini ni cha kusikitisha na kinakatisha Tamaa san wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa mno. Kitaalamu ni hujuma miongoni mwao. Ni aibu sana...
Uagizaji mafuta toka nje unaigharimu nchi yetu mabilioni ya fedha kila mwaka hivyo kudidimiza thamani ya fedha yetu na uchumi Kwa ujumla.
TIPER-Tanzania International Petroleum Refinery ni...
Najisikia vibaya sana jinsi Marais wetu huitwa kwa hawa ndugu zetu weupe kama vile unaita vitoto vyako vya kuvizaa.
Natamani siku ifike na sie Africa kama si Tanzania tuwaite eu au Amerika waje...
CHADEMA walilamika kunyimwa fursa ya kufanya mikutano- wakapewa. Walichofanikiwa kikubwa ni kutufahamisha Samia ana mtoto anaitwa ABDUL.
Sasa kwa kuwatumia wanachama wao waliojificha kwenye...
Dkt Doroth Gwajima ni Kipenzi cha watu wa mitandaoni maana anajibu kistaarabu na anachukua hatua Kwa Malalamiko anayoyapata mitandaoni.
Aje atufafanulie kama madai ya hawa Wananchi wa Kasulu ni...
UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.