Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu zangu Watanzania, Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu, amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi...
3 Reactions
76 Replies
3K Views
Taarifa zikufikie Popote ulipo kwamba Shehe Kadogoo ametia mguu kwenye kinyang'anyiro cha Umakamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, atachuana na Watia nia wengine, Hii ni kwa sababu Chadema...
11 Reactions
32 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuaminiwa na watanzania kutokana na historia yake, uwezo wake wa kupatanisha itikadi za kisiasa, uimara wa miundombinu yake ya chama, Uongozi, na udhaifu wa...
3 Reactions
18 Replies
422 Views
Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga amesema chama hicho kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) wamejipanga kujibu mapigo dhidi ya mtu yeyote...
3 Reactions
52 Replies
2K Views
Kimbiza , finya, mwaga jalo. Kwa ufupi hatuna timu na wachezaji kama miala ya ile.
0 Reactions
5 Replies
320 Views
Barua kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Septemba 4, 2024 Mheshimiwa Dr. Samia Suluhu Hassan, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma, Tanzania. Yah: Pendekezo la...
1 Reactions
1 Replies
564 Views
Kama mimi ningekuwa katika nafasi hiyo ya kuongoza taifa. Kitu pekee namba moja ningewaomba wachina katika ziara yangu mimi na jopo langu basi si kingine zaidi ya washauri wa masuala ya uchumi...
2 Reactions
18 Replies
401 Views
Miezi 14 baada ya kuvuliwa uanachama, mwanadiplomasia, Balozi Ali Karume ameendelea kusisitiza kwamba yeye ni mwanachama halali wa Chama cha Mapundizi (CCM) na hawezi kuvuliwa uanachama na...
20 Reactions
55 Replies
4K Views
Inadaiwa miamba hawa wataongozana na Kiongozi mmoja wa juu wa Chadema kujiunga ACT Wazalendo Baadhi ya Viongozi wa Dini wameshatabiri ACT Wazalendo kufanya maajabu mwakani kwenye Uchaguzi mkuu...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Kule Kinondoni kulitokea ubishi mkuu wa kutunishiana misuli kati ya Meya kamarada mh.Songoro Mnyonge(diwani kata ya Kinondoni kama sikosei) na aliyekuwa DED wa Kinondoni mh.Sipora Pangani. Zogo...
2 Reactions
10 Replies
742 Views
Hii ni Taarifa ya kikakamavu aliyoitoa alipohojiwa na MwanaHalisi Digital , ikiwa ni sehemu ya Maombolezo ya Kifo cha Edward Lowassa aliyekuwa Mgombea Urais wa UKAWA ======= Kwenye jambo hili...
14 Reactions
66 Replies
4K Views
Jana niliamua kuangalia tena filamu maarufu ya Sarafina. Filamu hii niliiangalia utotoni na ilikua ikiniburidisha, hasa kwa zile nyimbo zake. Hata hivyo, jana nimeiangalia nikiwa mtu mzima na...
10 Reactions
27 Replies
651 Views
Habari wakuu, Mimi nimefuatilia kwa muda idadi ya watu wanaopotea nchini nikabaini mambo matatu. Kuna masuala inabidi Wizara ya Mambo ya ndani isimame na kuanzisha kitengo ambacho kitasafisha...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Ikiwa bado hujajiunga na CCM, basi fanya hivyo mapema sasa, hujachelewa bado, na mara moja pamoja na wanachama wengine wazalendo, uanze kazi za kuwajibikia ujenzi wa Taifa lako, lakini pia uanze...
11 Reactions
138 Replies
2K Views
Salaam shalom!! Tulipopata Uhuru wa Nchi yetu, hatukuwa na wawekezaji wengi wa kuwekeza kwenye migodi, Serikali ilihodhi vitega Uchumi vyote na kusimamia, Hawa wawekezaji wa sasa, nionavyo Si...
18 Reactions
135 Replies
2K Views
Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Athuman Diwani (Kushoto) akiwa amesimama na Rais John Magufuli (Kulia) Usuli Tarehe 03 Machi 2021, akiwa anatekeleza majukumu yake kama Katibu Mkuu wa Baraza...
20 Reactions
123 Replies
14K Views
Zanzibar pasingetokea mapinduzi ambayo yaliyoasisiwa Tanganyika na wakubwa na kumfanya Rais Amani Karume akubali Muungano kwa shingo upande, basi leo hii Zanzibar ingekuwa na uchumi mkubwa pamoja...
1 Reactions
6 Replies
501 Views
Miaka ile ya 1980s nakumbuka wakati wazamiaji wakirudi walikuwa wakiitwa Mabaharia lakini Mzee Kambangwa alisema hawa siyo Mabaharia ila ni Makuli wa Melini Sasa sisi Wabishi tulitaka Ufafanuzi...
3 Reactions
9 Replies
608 Views
Kwako Rais wetu mpendwa. Nina ombi langu kwako moja tu nalo ni kuendelea kumuamini na kumteua Majaliwa Kassim pindi utakapochaguliwa 2025. Sababu yangu kuomba hilo ni kwa kuwa Bwana Huyu...
4 Reactions
16 Replies
812 Views
Back
Top Bottom