Kumekuwa na ongezeko la vitendo vya uvunjifu wa Haki za Binadamu ikiwemo matukio ya Watu kukamatwa, kushikiliwa bila taarifa, kupotea, kutekwa na kujeruhiwa na wengine kutojulikana kabisa walipo...
Rais Samia usilete mambo ya ajabu ajabu ya Magufuli. Siku ya Vijana Duniani inasherehekewa duniani kote. Kwa nini mapolisi wako wanazuia vijana wa CHADEMA barabarani & kuwakamata? Matumizi ya...
Utekaji ni janga kubwa linaloikumba taifa kwa sasa. Ajabu viongozi hawa waandamizi wazunguka na kuhutubia bila kugusia hata kidogo. Je huu ni dalili kuwa hawaguswi na mateso wanayopitia ndugu na...
Tunaimbiwa wimbo wa nchi yetu kuwa na maendeleo ya kila uchwao huku tukisikia taarifa kuwa uchumi unapanda, wengine tukisikia tunajua huenda keki ya Taifa itafika na kwetu angalau tuache kupiga...
kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT...
Serikali ilitoa fursa ya Vyama vya siasa kutoa maoni ya Mabadiliko ya sheria za Tume ya Uchaguzi,kama sikosei Chadema walisusa wakidai wanataka Katiba Mpya ilhali wanajua mda hautoshi.
My Take...
Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?
Pia soma:
~...
Wakuu salam,
Huu ni mchanganyiko ambao unelenga kwenye kuchubua ngozi ya mtu na kumfanya awe mweupe, kama unavyosikia hapo kwenye video unaambiwa ukipata mchanganyiko huu unakufanya uwe mweupe...
"Kwanini watu wanapotea potea mnaiibua jambo la mganga… Unajua kunakuhamisha upepo watu wachanganyikiwe… "
"Tuache nchi ipumue, watu waongee" amesema Mchungaji Anthony Lusekelo akizungumza tarehe...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania !
Chama cha mapinduzi ni miongoni mwa vyama vya siasa vilivyopata bahati kubwa sana ya kuwa na tunu ya watu wenye uwezo na weledi mkubwa...
Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa...
Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hana mpango wa Kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 bali anadhani kuna haja ya kwenda kuimarisha Bunge.
Akizungumza kupitia...
Baada ya Mharagande wa ACT-WAZALENDO kuripoti mauaji ambayo yametokea (W) ya Kaliua Rc Tabora ataka ajieleze au kueleza alichokisema ni sahihi .
Je serikali bado inaendelea kutisha watu?
Na je...
Nimefuatilia Bunge wiki hii kuanzia jumatatu namuona Waziri wa KIlimo, Bashe akiwa anavalia Kanzu bungeni akijibu maswali ya wabunge, je kanzu inaruhusiwa kuvaliwa siku ambayo siyo ijumaa...
Salaam, Shalom!
Wakati tukiendelea kujiuliza kwanini hakijasajiliwa chama chochote cha siasa kipya tangu iliposajiliwa ACT Wazalendo licha ya vikundi kadhaa kuomba usajili, tujielekeze kwenye...
Ni jambo la kawaida sana wanasiasa haswa wa hapa kwetu Tanzania kuhama chama A kwenda B na kadhalika.
Lakini jambo la kujiuliza ni nyakati na namna muhusika anavyoenda kwenye chama husika.
Yapo...
Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?
Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa...
Askofu wa Kanisa la Gospel Revival Center – Ubungo Kibangu Mchungaji Anthony Lusekelo, Mzee wa Upako (Chifu Mwantembe) amewataka watanzania kuendelea kuiunga serikali mkono katika ulipaji wa kodi...
Panya buku wengi hawachimbi shimo so Ili kuikabili CCM napendekeza Muungano wa Vyama vya Upinzani usimamishe Mgombea Urais mmoja
Mmoja Kati ya hawa atatosha:
1. Prof Lipumba
2. Wakili Msomi...
Nimeshangaa sana akina Kagame kutumia mkutano wa China na Africa kumfanyia kampeni Raila Odinga kwenye kimyang'anyiro Cha mwenyekiti wa Kamisheni ya AU. Kwanini kampeni ifanyike China? 🐼...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.