Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Naibu Sipika wa Bunge, Mussa Zungu amewataka wabunge wasiogope kurudi majimboni kwani kuna miradi mingi ya kuzungumzia na kuwa wameonyesha wana sifa za kurudi bungeni 2025. “Niwapongeze wabunge...
0 Reactions
11 Replies
613 Views
Mzee wa Upako, Mchungaji Anthony Lusekelo amesema “Sijajua nani anafanya mambo ya kuteka watu, wengine wanahusishwa na Vyombo vya Dola. Kwa taarifa katika Biblia, Daudi alimshauri sana Selemanj...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
1979 nikiwa nimebeba Begi la mjomba wangu Kanali Kandeo kwa furaha ya kurudi kwake salama kutoka Vitani Kagera, Kanali aliniambia " mjomba nyie mnashangilia sisi Wapendwa wenu kurudi salama lakini...
1 Reactions
6 Replies
312 Views
Ajali za barabarani ni tatizo linaloendelea kukua nchini Tanzania na linaathiri jamii kwa namna nyingi. Kila siku, tunasikia habari za ajali mbaya zinazosababisha vifo na majeruhi, hususan kwa...
2 Reactions
9 Replies
538 Views
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Tanga wa CHADEMA Husein Ally jana Sep 5, 2024 alichukuliwa na Mwenyekiti wa UVCCM pamoja na green gurd ambao walimpeleka ofisi za CCM Masiwani Ground wakampiga. Baada...
2 Reactions
59 Replies
2K Views
China ya KIKOMUNISTI ina historia nzuri sana ulimwenguni. Leo nitazungumzia kisa cha kusitishiwa heshima kwa komredi Liu Zhidan aliyekuwa mtu muhimu ndani ya chama cha CCP. Kisa cha Liu Zhidan...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Kama kawaida, Bunge linaendelea muda huu na ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza na mawaziri wanajibu hoja husika, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa...
1 Reactions
6 Replies
333 Views
Ndugu zangu Watanzania, Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu...
12 Reactions
129 Replies
3K Views
Mwanasiasa mzuri na mahiri hutumia na kubadilisha changamoto anazokumbana nazo katika majukwaa ya kisiasa na kua fursa ya kujiimarisha na kujizatiti zaidi kufikia ndoto, lengo, matarajio na azma...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Salaam wapenzi wana JF. Leo nimeamua kuwasilisha hii kero ya ukosefu wa usawa linapokuja suala la kufaidi keki ya Taifa. Yaani haiingii akilini kabisa kwa mbunge kulipwa pesa ya posho ya siku...
13 Reactions
76 Replies
23K Views
Ni miaka mingi kidogo. Siku ile pale mahakamani karibu na bahari na karibu na hoteli kubwa jijini Zongombongo. Watu walijazana kuisikiliza ile kesi ya huyu waliyemkataa kwenye chama chao cha...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Muungano ulioasisiwa na Karume na Nyerere ni tofauti sana na muungano tunaouona leo. Maana baada ya muda tayari tunawaza uwepo wa Tanganyika baada ya kuona uwepo wa Zanzibar. Wakati awali Karume...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Utakuwa ni muungano mzuri sana sana sana sana sana! Uchaguzi wa Mwakani hawatapungua ushindi wa kura 40% kwa nafasi ya Raisi na wabunge watafikia 43%. Ni utafiti ambao nimeufanya mwenyewe kwa...
4 Reactions
7 Replies
326 Views
KARIBU KWENYE MJADALA HUU NDUGU YANGU MTANZANIA Mawazo yako ni muhimu sana katika hii Mada. Mada: TUFANYEJE KUTATUA TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM MILELE Toa mawazo yako ili tupate ufumbuzi juu...
0 Reactions
8 Replies
280 Views
"Rais Magufuli na Serikali yake wamevivunga mikono na miguu vyama vya Siasa kasoro CCM. Freeman Mbowe: "Tunatambua kuna maelekezo kutoka Ikulu kwenda kwa watendaji wote wa kata nchi nzima ili...
33 Reactions
170 Replies
16K Views
Najiuliza sana kuhusu hii. Je, muungano ukifa, vyama vya siada ambavyo vipo bara na visiwani vitabaki upande gani, au Sheria pia unasemaje kuhusu hilo suala, au inawezekana chama cha siasa...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Chato, wakati Joseph Pombe Magufuli akiwa Rais, waligawa maelfu ya viwanja kwa viongozi wakuu wa Serikali, watumishi wa Umma, binafsi, na wafanyabiashara. Lakini tangu...
5 Reactions
24 Replies
960 Views
Muungano wetu ni wa nchi zilizokuwa Tanganyika na Zanzibar. Leo hii viongozi wanaogopa na kuona aibu kutaja Tanganyika ila wazanzibari wanaona fahari kuitaja Zanzibar, wana bendera yao, wimbo wao...
1 Reactions
13 Replies
692 Views
Kuna wakati bro alikuwa na mkakati wa kuokoka ili apate sifa za kugombea urais. Ikumbukwe kwamba CCM kuna utamaduni usio rasmi, kwamba awamu hii rais akiwa mkristo basi awamu ijayo ni muislamu...
16 Reactions
58 Replies
2K Views
Ukiangalia mchango wa Lisu kwa CHADEMA ni mkubwa sana kulinganisha na ule wa duni ,hata muda wa kutumikia chama pia ni tofauti maana ACT WAZALENDO ni chama cha juzi tu na sio kama CHADEMA cha...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Back
Top Bottom