Matumizi ya kadi za malipo katika mfumo wa malipo ya serikali ni hatua muhimu kuelekea kuboresha uwazi na ufanisi katika usimamizi wa fedha za umma.
Hata hivyo, tatizo la wizi wa kadi za malipo...
Mambo vipi walipa kodi!!?
Hivi majuzi nilikua na process kamkopo Fulani hivi kwenye Moja ya taasisi za kibenki hapa nchini,Hadi sasa hakuna nilichoambulia japo process zote zimekamilika...
We all know no any Zanzibaris likes this union even the president herself and therefore it is the golden chance for a zanzibari to be president so as to accomplish their dreams.
Already they have...
Lobito Corridor inatambaa kilomita 1300 kutokea bandari ya Lobito Angola mpaka Zambia na DRC...nchi kubwa 3.
Reli ya TAZARA inahusisha nchi mbili tu , Tanzania na Zambia ikichukua kilomita 1860...
Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza. Wayahudi hao walikuwa...
Wazo liko hivi;
Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Nchi zigawike kwa kuzingatia kanda kuu 4. Kanda ya Kaskazini, kanda ya kusini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya mashariki. Tunaweza kuzipa...
Natoa tamko la kumuomba radhi Abdulrahman Kinana, ikumbukwe nilikuwa na kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyofunguliwa na Kinana kutokana na matamshi niliyowahi kuyatoa kumuhusisha na...
Tatizo la viongozi wengi nchini Tanzania kusoma hotuba bila kuwasilisha mawazo yao binafsi linaweza kuchukuliwa kuwa na sababu kadhaa.
Kwanza, kuna uwezekano wa uelewa mdogo wa masuala...
Tuzidi kumwombea maisha marefu mh Tundu Antipas Lisu hasa tukikumbuka jinsi Mungu wa Mbinguni alivyomponya
Mungu mrehemu Mbunge wa Zanzibar Turkey aliyekodi Chopa kumuwahisha Tundu Lisu Nairobi...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makala Amepokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo vingi sana na maelfu ya wananchi wa Karatu katika...
Huu ni mchango wa mbunge wa jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/2025 tarehe 30 Mei 2024 bungeni Dodoma.
“....Serikali tarehe 16...
Kwakua tuna wizara 18 kila wizara ipewe tr moja, hapa kila sehemu palipo kwama panatatulika
deni la taifa angalao tr 10 tuwe huru
kufunguliwe mradi w kilimo cha umwagiliaji kila wilaya kwa hela...
Friends and Enemies,
Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.
Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu...
Wakuu napendekeza wakurugenzi wateuliwe kutoka kwenye maeneo husika ili kuwa na uchungu wa pesa za miradi zinazotolewa kwenye maeneo husika. Hii ya kuletewa mkurugenzi asiye mwenyeji wa eneo...
Mradi mmoja tu wa Tanzania wa reli ni zaidi ya $10B sasa China kusema watawekeza $16.6B kwa mwaka kwa miaka 3 kwa Africa nzima ni kichekesho kwa nchi kubwa vile na haita badilisha chochote. China...
Swali kidogo.
Hawa viongozi wanamatatizo.
Unamuwakilishaje Mama Samia kwa dc wa aina hii.
Kama ni uteuzi wa kujuana sawa. Hivi hakuna vijana wenye hekima?
Au ndio kuzidiana Dumba?
Asilimia...
Mkoa wa Mbeya, kama mikoa mingine nchini, unakabiliwa na changamoto kubwa katika masuala ya uokoaji wa abiria wakati wa ajali.
Hali hii inadhihirisha upungufu wa vifaa vya uokoaji, ambavyo ni...
Dkt. Faustin Ndugulile (55) ametangaza adhma kuachia ngazi nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kigamboni baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika...
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.