Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nchi za ulimwengu wa tatu ikiwemo Tanzania zina kile kinachoitwa vikao vya ndani. Vikao hivi ujadili mambo mengi ya kimkakati ndani ya misingi ya sheria na nje misingi ya sheria. Lakini katika...
26 Reactions
43 Replies
3K Views
Meya wa Jiji la DSM Kumbilamoto amesema Soko la Kariakoo liko Halmashauri ya Jiji la DSM lakini mapato yake hajui yanakwenda wapi kwa sababu wao hawalisimamii moja kwa moja. Meya amesema kuna...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
RC Arusha amedai Dreva wake alikuwa akitumia gari la RC kutapeli watu apewe pesa. Lakini hakuna Sehemu alimtaja kwa jina na wala sijawahi kusikia muhusika akifikishwa mahakamani. Waliotapeliwa nao...
0 Reactions
10 Replies
711 Views
Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Mbunge wa Kigamboni na Naibu Waziri wa Afya wa zamani Dkt. Faustine Ndugulile, ameshinda uchaguzi wa kiti cha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika. Katika Uchaguzi...
17 Reactions
102 Replies
6K Views
Kufanya hivyo ni kuhujumu na kukwamisha kwa makusudi jitihada kabambe, dhamira na nia njema ya ya Rais na kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan kuipaisha Tanzania kimaendeleo. Kumbukeni...
1 Reactions
1 Replies
321 Views
UCHAWA NI JANGA LINALOITAFUNA NCHI KIMAADILI Sisi tuendelee na kukemea Uchawa kwanza. Mifumo ya nchi inavurugika kutokana na Uchawa. Mtu Akiwa chawa anakuwa ameukana Uzalendo wake kwa nchi...
4 Reactions
13 Replies
570 Views
Wachina hawaamini kabisa kwamba Waafrika wanaweza Kufanya mambo makubwa kuwazidi Baada ya Chuma ya ATCL kutua kwa mbwembwe ndio Machina wakawa wanaulizana kama ni kweli Shujaa Magufuli alinunua...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Ilisemekana Rais wa Awamu ya 4 wa Tanzania Jakaya Kikwete ndiye kiongozi wa kwanza wa nchi hiyo kushika usukani wa kusafiri zaidi kuliko viongozi wote wa nchi za kiAfrica, bado hatukupata lolote...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
Dunia ya Leo ni ya kushawishi siyo ya Ubabe hivyo nafurahishwa sana kwa namna Naibu Waziri mkuu mh Dotto Biteko anavyofanya Siasa zake Siasa ni kujenga hoja na kushawishi zikubalike siyo...
10 Reactions
22 Replies
777 Views
Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani. Mtoto wa Nyerere...
42 Reactions
203 Replies
32K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukiisikiliza sauti katika video Kuna maneno mchungaji anayasema, Kwa cheo chako huna mamlaka ya kunikamata, akisisitiza Kwani we hujui?
8 Reactions
65 Replies
3K Views
Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili. Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale...
11 Reactions
46 Replies
1K Views
Mbunge Ndaisaba Ruhoro achangiwa fedha za kuchukua fomu ya ubunge na wanawake zaidi ya 400 wa kabanga. Ngara; 02.09.2024 Wanawake zaidi ya 400 wa Mji mdogo wa Kabanga waliandaa Hafla ya...
1 Reactions
19 Replies
665 Views
ELIMU SAHIHI YA SIASA IKO NDANI YA VITABU HUSIKA TUUTOKOMEZE UCHAWA KWA KUTOA ELIMU ILIYO SAHIHI KUHUSU SIASA Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko ndotoni nikiwa Usingizini nikiropokwa Kama...
0 Reactions
2 Replies
370 Views
Wataalamu wa Sheria mtusaidie kwakuwa uchaguzi 2020 haukuwa uchaguzi kulingana na maelezo ya Marko Henry Ng'umbi na Nape etc kuwa serikali ndiyo ilipanga. Je, kuna uhalali wa kuwa na Serikali hii...
5 Reactions
16 Replies
841 Views
Serikali inawezekana inatumia pesa nyingi sana kuhamisha viongozi na watumishi waandamizi wa serikali, Fedha hizo zingeweza kuelekezwa mahala pengine ikiwemo upatikanaji wa huduma za kijamii...
4 Reactions
20 Replies
759 Views
Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoa wa Kagera ameshiriki Baraza la Kikanuni la Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) la Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera...
1 Reactions
4 Replies
297 Views
Sheria zilizojaa ujinga zimeanza kukumbana na hoja kinzani kutoka kwa wananchi Pia soma:“Indigenous Peoples” ndio wenye haki ya kuamua wanataka nini kimaendeleo
18 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom