Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi ) Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka ,Dar es Salaam (DART) kutoa fursa kwa...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Hata sasa ACT Wazalendo ndio wanaweza kuleta mabadiliko kupitia Zanzibar na tayari Chadema wameshaanza kuipunguza Nguvu kwa kuwahadaa wasishiriki Mdahalo wa Odemba. Hata wakati wa Bunge la Katiba...
1 Reactions
4 Replies
377 Views
Wakuu salam, CCM katika mbinu zote za kujisafisha na fedheha ya kukimbia mdahalo pamoja, maovu yenu kufichuka moja baada ya jingine kutoka kwa viongozi ambao ni wanachama wenu na kuhusishwa na...
4 Reactions
11 Replies
619 Views
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani. Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa...
5 Reactions
100 Replies
12K Views
Binafsi, naamini Rais Samia alipochukua madaraka, alikuwa na dhamira ya kweli ya kuleta mabadiliko ya mifumo ya kiutawala, yaani kutengeneza nchi ambayo watu wake wataongozwa kwa haki, kwa...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Katika hali ya sintofahamu alisikika mfanyakazi mmoja wa taasisi nyeti ya kijeshi akimjibu mtoa huduma kua hakuna pesa kwa sasa za kuwalipa kwa sababu Serikali haina pesa na mpaka sasa taasisi...
4 Reactions
9 Replies
629 Views
Friends and Our Enemies, Kuongoza nchi siyo jambo la kufanya majaribu eti ili tuweze kuona yupi ni bora kuliko mwingine. Ni suala la maisha na kifo,huwezi kujaribu sumu kwa kuionja. Ni hadi...
5 Reactions
55 Replies
1K Views
Tarehe na mwezi kama wa leo, wazazi wa Ben Rabiu Focas Saanane, walipata mtoto wao, wakamkuza, wakamsomesha, wakati anakaribia kuipata PhD yake huko Netherlands, Genge la "MALIYAMUNGU" likaamua...
8 Reactions
15 Replies
3K Views
MAMA ANATEKELEZA - UPANUZI WA CHUO CHA UALIMU DAKAWA, KILOSA MKOANI MOROGORO Jumla ya Majengo 32 yanagharimu kiasi cha shillingi billioni 8.5. Kukamilika kwa mradi kutawezesha ongezeko la...
0 Reactions
3 Replies
435 Views
Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi . 1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu? 2. Je, sisi na DR...
4 Reactions
54 Replies
2K Views
Iko hivi Kuna video moja ipo katika mtandao ambayo inazungumzia mtu mmoja aliekuwa na madaraka katika nchi 1 iliopo Mbali dunia inayoitwa - JAMAINA Kiongozi huyo alikuwa nafasi ya uwaziri ya...
4 Reactions
23 Replies
885 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege za Mafunzo ya awali kwa marubani na Mabasi ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu Nilikuwa naangalia habari hapa nimeona taarifa ya John Momose Cheyo kuchaguliwa na wajumbe wa chama chake kuwa Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka mitano Wajumbe wametoa maoni...
9 Reactions
40 Replies
1K Views
Nisiwachoshe sana. Matukio ya watu kupotea ndani mikono ya polisi. Matukio ya watuhumiwa kuteswa na kutwezwa wakihojiwa na polisi Matukio ya mauaji ndani ya vituo vya polisi ni mengi Matukio ya...
3 Reactions
11 Replies
558 Views
Kama kweli tunataka mabadiliko katika sekta ya elimu Profesa Kitila Mkumbo apelekwe ELIMU, mwamba kafanya tafiti haswa kwenye ELIMU. Nimechungulia profile yake huko GOOGLE SCHOLAR unaweza kulia...
2 Reactions
12 Replies
534 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60 Mbowe amelishukuru Jeshi kwa Weredi na Uzalendo wake Kwa Miaka 60 sasa Shukrani za Mbowe kazitoa Ukurasani X Mungu wa...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
"Zamani nikiwa mjinga nilishawahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA wilaya ya Iringa, lakini zamani hiyo hiyo, nikiwa mjinga zaidi nilishawahi kuwa Katibu wa CHADEMA jimbo la Isimani, nilikua...
3 Reactions
20 Replies
960 Views
Mheshimiwa Rais kuna UPIGAJI MKUBWA unaenda kufanyika hapa, tunakuomba uwe mkali kama Hayati Magufuli ili fedha hizi tulipwe sasa. Walikudanganya kwamba tungelipwa kufikia Septemba 15, hadi leo...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi nilitegemea hili jambo lingefungua ukurasa mpya wa hasira za kutaka mabadiliko katika mifumo yetu ya uchaguzi badala yake naona wapinzani wote wapo kimya tu shida Iko wapi!? Unajua hili...
1 Reactions
22 Replies
655 Views
Sisi wananchi ndo wenye nchi na sisi ndiyo tulioiweka CCM kwenye uongozi lakini kadri mambo yanavyoenda inaonekana CCM haitujali imelewa madaraka. Yafuatayo ni mambo yanayoweza kuipeleka CCM kuwa...
1 Reactions
9 Replies
729 Views
Back
Top Bottom