Kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike...
Asalam Aleykum wapenzi wana JF,
Wakati nafuatilia mchakato wa kumpigia chapuo Raila Odinga ili awe Mwenyekiti wa umoja wa Afrika, Mh. Ruto alifanya hafla na kuwaalika viongozi mbali wa Kiafrika...
Habari za jioni wana jamii leo nimekaa na kuwaza kuhusu nchi yetu ya Tanzania kwa kina na kwa upana sikuwa na budi bali kuandika haya mambo kwa sisi watanzania wote
Tanzania ni nchi ambayo imekaa...
Ni mjinga tu anayeamini CCM inaweza kuondolewa madarakani katika Mazingira ya Katiba ya sasa
Waziri aliyesema Ni lazima CCM ishinde yuko sahihi kwa 100%
CCM ni Chama Dola ndio sababu kiiko...
Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu mjadala wa suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo...
Fikiria jinsi Mchungaji Msigwa alivyoaminiwa na Chadema pamoja na Wanachama wote
Kumbe ni Fursa ya Vyeo na kupata Fedha ndio ilimuweka Chadema lakini hakuwa na Mapenzi yoyote na kile Chama...
Za jioni wadau
Utakuta kijana anasimama juu jukwaa la chama cha watz ,chama pendwa cha waliowengi halafu anawaponda wapinzani na kuwatishia.
akienda nyumbani anajisifu kwamba wapinzani...
Nikiri kuna changamoto kwenye vyama vya siasa, mimi sipendi kuumauma maneno kwa sababu mimi kweli ni wakili, lakini mimi ni mwanasiasa ninavijua hivi vyama, vina changamoto kubwa, vinaumiza na...
Midahalo ya kisiasa ni fursa muhimu kwa vyama vya siasa kuwasilisha sera zao na kuwavutia wananchi. Kwanza, midahalo inavipa vyama nafasi ya kujadili masuala muhimu yanayoikumba nchi, na hivyo...
https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha...
Freeman Mbowe:Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA, amepongeza baadhi ya hatua zilizochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, hasa katika kufungua anga la kisiasa na kuruhusu mazungumzo ya kitaifa...
Jinai haiozi. Ipo siku waliompiga Tundu Lissu risasi, kumpoteza Ben Saanane watahukumiwa kama ambavyo leo Mahakama ya kijeshi Burkina Faso imemhumkumu Rais wa zamani wa nchi hiyo Blaise Compaoré...
Baada ya DC wa Longido kutoa kauli kama ya Nape Nnauye kamati ya uteuzi kuandaa jina la kuchukua nafasi huku Lucas Mwashambwa na Josephaty chawa mkuu kukosa uteuzi huo.
Taja jina la mrithi wa DC...
Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi
Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na...
Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki?
Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si...
Imeelezwa katika Mdahalo wa Wagombea Urais wa TLS kwamba Mchungaji Mtikila rip alikuwa Mwanachama wa Heshima wa TLS
Mchungaji Msigwa alipambania Kesi ya Mgombea Binafsi hadi Mahakama Africa na...
Wanaccm wamekuwa wakijisifu sana eti ni chama kinakubalika na kinashinda uchaguzi kwa kishindo kwa sababu ya sera nzuri na kukubalika kwa wananchi kumbe ni waongo.
Kwa kauli alizotoa nape hivi...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kutoshiriki kwa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenye mdahalo ulioandaliwa na Kituo cha Televisheni cha Star Tv...
Bwana yule alipingwa na kuandamwa hasa na daraja la juu(elites) la ndani na nje kwa pamoja kwa sababu hakuwa polished, alikuwa mtu blunt. Mawazo yake yawe mabaya au mazuri alikuwa akiyasema kwa...
Kama unadhani video ya DC wa Longindo ilikuja kwa Bahati mbaya utakuwa unakosea sana.
Kulikuwa na Wazalendo kadhaa ndani ya kikao kile waliomrekodi DC na kumleta mitandaoni ili kuuthibitishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.