Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nabii wa Mungu Godbless Lema amehoji namna ambayo Mtu aliyetekwa anavyoweza kukurupuka kutoka mikononi mwa Watekaji ili kuja Mahakamani kumthibitishia Jaji wa Mahakama ya Tanzania kwamba ni kweli...
9 Reactions
58 Replies
2K Views
Bw IGP Inspekta General Camilius Wambura, mimi ni mtanzania mwema na na nia ya dhati kabisa Kusaidia nchi kufichua maovu yote yanayoendelea nchini hasa mienendo ya chama hiki cha Kaskazini. Namba...
1 Reactions
11 Replies
405 Views
Mwaka 2020 niligombea Ubunge Jimbo la MISUNGWI.Wakati NARUDISHA fomu 25/08/2020,Nilinusurika Kutwekwa ndani ya Majengo ya Halmashauri huku nikinyooshewa BASTORA mbele ya Mkurugenzi aitwaye...
1 Reactions
5 Replies
418 Views
Huwezi kuwapa sifa ya uongozi watu ambao wanatuhumiwa kutumia madhaifu ya wananchi kuimarisha mamlaka na tawala zao. Zifuatazo ni sababu za kuamini kwamba hatuna viongozi bali watawala. 1...
8 Reactions
36 Replies
654 Views
Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa...
0 Reactions
10 Replies
355 Views
Record yake katikati kuchochea maendeleo endelevu kwenye maisha ya waTanzania, iko wazi na bayana sana, mathalani kwenye huduma ya maji ya uhakika, umeme wa uhakika, huduma bora za afya mijini na...
4 Reactions
42 Replies
889 Views
Huyu Edwin odemba ana mapungufu upstairs, mwanaume gani unalia hadharani? Halafu inaonekana alitaka kuwazoea zoea sana viongozi, hana elimu wala uwezo wa kumhoji hata mwenyekiti wa mtaa wa CCM...
10 Reactions
69 Replies
4K Views
Unajua nguvu ya Wabunge wa Upinzani na Heshima yao huwa inasababishwa na Ushindi wa halali waliopata Mbunge anayeshinda kwa kufanyiwa Ujanja Ujanja na DED ambaye ndiye Msimamizi wa Uchaguzi...
2 Reactions
10 Replies
485 Views
Wakuu wa nguvu na wana wa Mungu wanaJF, kibali cha Mungu kikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake Hili andiko litakua fupi sana. JF ni ukweli na huakika siku zote, Ndugu zangu binafsi bado...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Rais wa Tanzania kwa mwaka 2025 ili awe na ufanisi zaidi awe na umri upi kati ya: 1. 18 hadi 25 2. 26 hadi 35 3. 36 hadi 55 au 4. 56 hadi 75? Umri wa Kiongozi yeyote ni muhimu sana katika ufanisi...
2 Reactions
4 Replies
257 Views
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama...
13 Reactions
58 Replies
2K Views
Kosa kubwa la Chief Odemba ni kufikiri kuwa Katibu mkuu wa CCM ni Sawa na makatibu wakuu wa Vyama vya Upinzani Katibu mkuu wa CCM ni Taasisi yenye Idara mbalimbali 😄 Mh Mbowe anaelewa Vizuri...
2 Reactions
6 Replies
277 Views
Katika Dira ya maendeleo 2050 serikali unapaswa kufanya mapinduzi makubwa katika sehemu zifuatazo. 1. Kufanya mapinduzi kwenye sekta ya kilimo (Tanzania agriculture revolution) Hadi kufika 2050...
4 Reactions
5 Replies
175 Views
CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha...
1 Reactions
23 Replies
941 Views
Viongozi Wote wa Africa watajumuika na Rais wa China kwenye kongamano la kutafuta Wawekezaji na Fursa za Mikopo Tayari Marais kadhaa wa Africa wameshawasili Nchini China Source: Al jazeera news
3 Reactions
11 Replies
528 Views
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini? Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi? Mbona zile purukushani za...
6 Reactions
11 Replies
474 Views
Kuna Faida Tofauti na sio lazima iwe ya Kiuchumi..., Huduma ina faida zaidi hata ya hayo so called Gawio....; Unapobinafisha huduma bila mbadala..., mwisho wa siku mwananchi atalipia zaidi kupitia...
0 Reactions
3 Replies
179 Views
Viongozi wa upinzani nchini wamekuwa wanafiki sana. DC Longido amewaeleza madiwani kwamba kama siyo serikali wasingepita bila kupingwa. Huu ndio ukweli na hakuna asiyejua. Lakini maneno haya...
1 Reactions
8 Replies
815 Views
Daraja la Kigongo-Busisi, maarufu kama "Magufuli Bridge," ni mradi mkubwa wa miundombinu uliojengwa kuvuka Ziwa Victoria, unaunganisha Wilaya ya Kigongo na Wilaya ya Busisi katika Mkoa wa Geita...
2 Reactions
3 Replies
407 Views
Hatimaye Roho Mtakatifu asema na Askofu Josephat Gwajima wa makanisa ya Ufufuo na Uzima Tanganyika na duniani kuhusu watu na wanaharakati wakosoaji wa sera na mipango ya serikali, CCM na hususani...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom