Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Athari za ufisadi nchini Tanzania zinaathiri maeneo mbalimbali ya jamii na uchumi. Hapa kuna baadhi ya athari kuu: 1. Kupoteza Rasilimali za Umma: - Mapato ya Serikali: Ufisiadi husababisha...
2 Reactions
4 Replies
325 Views
Baadhi ya wanasiasa wanatutengenezea HOFU na TAHARUKI.... Ya kamarada Twaha Mwaipaya kututia simanzi na kutushtua kuwa kuna mvaa T-Shirt nyekundu anamfuatilia.... Kule kwa kina Shadrak Chaula...
1 Reactions
0 Replies
256 Views
Siasa za Tanzania ni Tegemezi sana Angalia hii chain Bila Nchimbi Mnyika anaondoka Bila Mnyika Shaibu anaondoka Bila Shaibu KM wa CUF anaondoka Bila KM wa CUF naye KM wa NCCR mageuzi...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Rais John Magufuli alijulikana kwa jitihada zake katika kupambana na ufisadi, na alitumia mbinu mbalimbali kukabiliana na tatizo hili. Hapa kuna baadhi ya hatua alizochukua: 1. Kukomesha matumizi...
1 Reactions
13 Replies
376 Views
Wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, serikali ilifanya juhudi kubwa za kuboresha sekta ya afya, na hizi ni baadhi ya takwimu kuhusu miundombinu ya afya iliyojengwa au kuimarishwa: 1...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe aliposhtakiwa kwa Kesi ya Ugaidi na Kuhujumu Uchumi aliweka pingamizi Dogo mbele ya Jaji Mugeta wa Mahakama kuu Pingamizi hilo lilihusu Mbowe Kushikiliwa na Polisi...
0 Reactions
3 Replies
385 Views
millardayo Mtandao wa Kupinga Rushwa ya Ngono wenye jumla ya Mashirika zaidi ya 200, umetoa tamko leo August 31,2024 la kupinga marekebisho yanayopendekezwa kwenye Muswada wa Mabadiliko ya Sheria...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Kama kuna Nchi ya ajabu basi Tanzania ni mojawapo, ni Nchi yenye VIONGOZI wasio na maono Kabisa. Huyu ni Waziri eti akiwa Kwenye jezi za CCM
11 Reactions
57 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini Tanzania unakumbana na changamoto kadhaa ambazo zinaweza kuathiri usimamizi na matokeo ya uchaguzi. Baadhi ya changamoto kuu ni: 1. Mchakato wa Usajili wa...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Barack Obama alisema, "We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek." Hii ni sehemu ya hotuba yake maarufu aliyotoa mnamo 2008 wakati akizindua kampeni yake ya urais...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Wakuu kuna nchi mpya inaitwa Jamhuri ya Watu wa Stanza ama kwa kingereza inatambulika kama The People's Republic of Stanza. Hii nchi inadai ikulu yake iko sehemu inaitwa Peron na Rais wa Jamhuri...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Wasifu wa Prof sifuni Mchome nimeanza kuujua pindi nipo katika kitivo cha Sheria pale Udsm aalifanya madudu yafuatayo. 1. Mwaka 2007 waliokuwa second year ya mwaka 2007 kitivo cha sheria...
13 Reactions
265 Replies
42K Views
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amemtaka Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kushiriki yeye mwenyewe kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Siasa UDSM Leo Mnyika amesema kama Dr Nchimbi...
12 Reactions
80 Replies
3K Views
Ni Bahati Mbaya kwamba hukufika kwenye Mdahalo huo kwa sababu unazozijua Mwenyewe. Niliamini kwamba kwa vile Wakati wa Mradi huo wewe ulikuwa kiongozi wa Uvccm pamoja na Sukwa Said Sukwa wa...
4 Reactions
13 Replies
762 Views
kila mtu ajiulize imeitendea nini Nchi CCM , je tuko kwenye muelekeo sahihi kisha afanye maamuzi . nadhani historia ya Nyuma kwa CCM ndio kipimo kikubwa zaidi haihitaji kukusanyana na kupeana...
1 Reactions
9 Replies
280 Views
Mimi kama diaspora nimeona fursa kubwa sana kwa nchi yetu na bank kuu yetu. Kwasasa hakuna utaratibu wowote wa kumwezesha; 1. Diaspora kurudi nyumbani miaka ya baadae kwa kuwekeza nyumbani. 2...
1 Reactions
1 Replies
719 Views
Siyo kweli kwamba Viongozi wa CCM ni Waoga wa Midahalo bali ni ratiba tu ndio zinawabana ukizingatia ni Chama Tawala Mtangazaji nguli Mchungaji Mbogo aliwahi kuwakutanisha Nape Nauye na John...
0 Reactions
3 Replies
267 Views
In August 1998 A grand terror attack in Tanzania US Embassy. In August 25th another terror act in Amercan Embassy in South Africa. #South Africa# An explosion on 25 August in the entrance of...
1 Reactions
8 Replies
736 Views
Wakuu mbalimbali JF imekuwa msaada sana kutafta changamoto kiwasemea wasokuwa na sauti. Kuna hii hapa, " bunge lililopita Mhe waziri wa utumishi Simbachawene, aliona kilio cha maelfu ya...
3 Reactions
6 Replies
401 Views
Back
Top Bottom