Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tunakoelekea, ni Mungu tu aepushie mbali! Haitafahamika ikiwa watanzania tutakuwa tunaishi kwenye nchi yetu wenyewe ama ni ugenini! Mungu saidia Na ikitokea kura zinapigwa kesho, wenye kumpa...
19 Reactions
71 Replies
4K Views
Julius Kambarage Nyerere nilimuona mara nyingi akihutubia pale ikulu Dar miaka ile ya 1980 mwanzoni. Alijaliwa ushawishi katika hoja zake. Siku moja alihutubia kwa muda mrefu kidogo halafu ndege...
17 Reactions
65 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi...
27 Reactions
167 Replies
7K Views
Madeleka yamemkuta; kashinda rufaa, kasindwa kupata kusafishwa kuwa hajawahi kufungwa kwa kosa la jinai. Mahakama imesema kama anataka kuonekana hajawahi kupatikana na kosa la jinai- kesi yake...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni majira na Nyakati zimefika kwamba wauwaji Wasiojulikana wameanza kujulikana! Kwa ukimyaa wa Viongozi kukemea na kuchukua hatua inaonyesha ndio Waasisi wa haya mauaji,kulinda utawala wao...
2 Reactions
3 Replies
357 Views
Kulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid...
29 Reactions
290 Replies
8K Views
Sitachoka kuwalalamikia RITA, unatuma cheti cha kuzaliwa walichotoa wenyewe, wanakaa nacho zaidi ya wiki 3, baadae wanakujibu picha ya kivuli haionekani vizuri. Wanakwambia kitume upya...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Uchawa ni utaratibu wa kujipendekeza ili kujinufaisha. Hii ni tabia ya kinafiki ya kukuza wanao kusaidia kwa kupandisha ego zao ili waendelee kuishi kwa kufikiri wenyewe ni wa maana hata kama sio...
2 Reactions
1 Replies
149 Views
Mrejesho: saa 11:08 Naona kuna mdada amewasili na kuingia ndani ya V8 imeondoka ikiendeshwa na Dereva mwanaume kavaa suti nyeusi. Vicheko vimetawala ndani ya gari hiyo Aksanteni kwa maoni yenu...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Ukiangalia account zote za wapinzani utakuta picha ya Free nani, Free nani, kwa Mdee yeye kwake picha za simba na Yanga. Naamini 100% mdee hata akisamehewa basi ni kujidanganya, moyo haupo kabisa...
2 Reactions
51 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kuunga mkono juhudi za madhehebu ya dini katika kujenga miundombinu mbalimbali yenye lengo la kutoa huduma za kiimani na...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
Huu ni utabiri juu ya nini kitatokea 2025 hadi 2030, itakuwa ni wakati wa kuwakomoa watanganyika. Nchi itapigwa mnada bila hofu yoyote kwa sababu watanganyika hao hao viongozi ndio wanasapoti...
16 Reactions
64 Replies
2K Views
1. Ngorongoro kuna mbunge? 2. Ni nani (jina), anatoka Chama gani? 3. Ameona madhila ya Wana-Ngorongoro? Anapata usingizi kweli? 4. Uchaguzi 2025 atagombea tena ubunge?
1 Reactions
11 Replies
599 Views
kwa tathimini fupi sana ya uhakika, ni wazi na bayana kabisa kwamba kanda ya kati ni miongoni mwa kanda ambazo ni ngome imara sana isiyo tetereka wala kuyumba ya CCM na ambayo ina kura nyingi sana...
2 Reactions
13 Replies
629 Views
AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024 1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa...
8 Reactions
341 Replies
17K Views
Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa...
5 Reactions
13 Replies
653 Views
Mwabukusi apigwa na kitu kizito! Mwendo ule ule! kama wa Dyansobera! Mwenye kujua kimombo asome mwenyewe Kesi imetupiliwa mbali kwa vile eneo bishaniwe halikuwekwa bayana kuweza kulitambua ukubwa...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Wamaasai waliibembeleza sana serikali kabla hawajaamua kuandamana. Hapa chini kuna video ya wenyeviti wa vijiji waliokwenda kumuomba RC Makonda awarudishie huduma za kijamii katika maeneo yao...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Demokrasia ya Tanzania bado ni changa na kuvumiliana Siasani kuko very limited Mikutano ya Kisiasa huamsha hisia, mihemko na Mijadala isiyo na tija kwa Wananchi hivyo kuwapotezea Muda wao wa...
0 Reactions
10 Replies
513 Views
Salaam! Nafurahi kuwaona tena wengi wenu mkiendelea kujadili na kuchambua mambo mengi – hasa siasa. Naendelea kuipongeza JF kwa kuendelea kuwa Jukwaa bora na huru kwa mambo ya kisiasa katika nchi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom