Najiuliza tamasha hili nani anafadhili?
Limejaa watumishi wa Mkoa wa Mwanza nadhani ndiyo wameanzia mwanza ila hii CHALLENGE inaenda mikoa YOTE!
Walimu hawajaachwa nyuma. wana kwaya nzuri sana...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel...
Kwanza ikumbukwe kuandaa Mdahalo ni gharama!
Turudi kwenye mada, Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesusia Mdahalo Kwa sababu Dr Nchimbi hajahudhuria hali iliyopelekea Makatibu Wakuu wa CUF na...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akitaka kuamsha ari ya kila mtanzania kupigania haki za Mtanzania mwenzake, alisema kuwa "WATANZANIA WOTE NI NDUGU" Sentensi hii moja, kivitendo ni majumuisho ya...
Akihitimisha hotuba yake muda huu katika mashindano ya dunia ya kuhifadhi Quran kwa wanawake.
Katibu Mkuu wetu wa BAKWATA ametuasa dhidi ya unyanyasaji wa wanawake na ukatili wa kijinsia pamoja...
Nimeona sasa baada ya mafuriko (na si mafuriko bali "maji kujaa ktk Barabara na majengo yaliyo kando") baadhi ya watu wameona kuwa hilo ndilo jibu la mafuriko ya Rufiji.
Ukweli ni kwamba mafuriko...
Nakumbuka Kwenye ule mwaka wa mwanzoni ya 2000, aliyekuwa IGP wa wakati ule, Omari Mahita, alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kudai kuwa wamekamata "container" lenye visu vya chama Cha...
Hatimaye kwa masikitiko makubwa, Mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini umeahirishwa kutokana na wahusika kuingia mitini!
Mbona kwa nchi za wenzetu haya mambo yanawezekana na...
Ninamuangalia hapa Odemba analia kwa kuwa Nchimbi amekimbia mdahalo, lakini ikifika mwaka 2025 hawa hawa Star TV, wataomgozana na mgombea wa CCM na kamwe kampeni za vyama vingine watazipa kisogo...
Ninakumbuka kulikuwa na Wabia waliopewa Tanesco waliitwa NET GROUP SOLUTION, Sikuwahi kuona wakilazimisha Wafanyakazi wa Tanesco kuhamia kwao.
Kwanini DP WORLD wanafanya hivi, au labda kwa vile...
Kuna vijana wapo kwenye taasisi za kibiashara ambao kwa ujumla hawana exposure. Kuna mambo yanafanywa na taasisi za umma ambayo naamini siyo shirikishi.
Zanzibar Insurance wametoa tangazo...
Utajiri wa uswizi leo hii umechangiwa sana na namna ambavyo walitumia mwanya wa kutengeneza Sheria nzuri zilizowafanya matajiri wengi wa ulaya kupeleka fedha zao Uswizi kwa kuwa nchi za ulaya...
Beberu USA amekusudia kupambana na China katika umiliki wa Madini mkakati yaani critical minerals Kwa kuunganisha Bandari za Dar na Lobito Kupitia kuunganisha reli za Tazara na Benguela.
Huku...
Utakuwa ni Mdahalo muhimu sana kujua yaliyomo yamo
Chief Odemba ndiye ataongoza Mdahalo huo kupitia Medani za Siasa Star tv
Ni Jumamosi 31/08/2024 na Makatibu Wakuu wa Vyama vyote Watashiriki...
Mkoa wa Manyara ulioanzishwa mwaka 2002 makao yake makuu yapo mjini Babati. Mkoa huu una umri wa miaka takribani 14 sasa kuanzishwa kwake. Serikali imejitahidi kuunganisha mkoa huu na mikoa ya...
Yaani Mtu anaibuka kutoka atokako na kuja kuomba kuwa Mwakilishi wa Jamii fulani Bungeni
Fikiria Kwa mfano Shujaa Magufuli alimtaka Rostam Aziz akagombee Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini 2025...
📌 Ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku katika kila uniti
📌 Aelezea ruzuku inayotolewa na Serikali kufikisha umeme visiwani
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema gharama ya...
Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite...
Katika Mashindano ya Kuhifadhi Qoran kwa Wasichana yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mkapa, Mmoja wa Wananchi alipopata nafasi ya kutoa salamu, Amewaomba wanaohusika kuifanya Ijumaa kuwa Siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.