Israel kuna waislamu wengi Gaza na Nazareth kwao Yesu nk lakini waislamu wa Hamas Gaza ndio pekee wakorofi kwa Israel
Waislamu wengi wanaishi Israel sehemu tatu Ukanda wa magharibi wa Israel...
Hii nchi ina maajabu makubwa kwenye ujjinga, na unafiki, ambao yumkini haupo Taifa lolote Duniani.
Leo nilikuwa kwa ndugu yangu kijijini, wakati nikiwa napata dinner, na wenyeji wangu wakiangalia...
Huyu Salim Kikeke na Redio yao hii Crown Media wako juu sana na wanakuja kwa kasi kubwa kwani interview zao zimeenda mbali.
Sikiliza huu mjadala mpaka mwisho.
Lengo
Pamoja na mambo mengine, lengo kuu la serikali za mitaa ni kuwezesha wananchi kujiamlia mambo yao yanayowahusu ikiwa ni pamoja na maendeleo yao.
Mambo yanayokanganya
Jina la uchaguzi...
Tanganyika ilimilikiwa rasmi na Ujerumani tangu mwaka 1885 baada ya mkutano wa kugawana Afrika uliofanyika mjini Berlin nchini Ujerumani. Baada ya hapo Watanganyika walianza kutawaliwa rasmi na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimesikitika sana ,kuumia sana,kuhuzunika sana na kusononeshwa sana na taarifa za uongo,uzushi, uchonganishi na ufitini zilizoletwa humu jukwaani na mwana jukwaa...
Leo ni mara ya pili unazuia wabunge kujadili hali hii mbaya ya utekaji na mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani na wananchi wa kawaida wakiwemo watoto! Mbaya zaidi unaisemea serikali kuliko...
Kauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi.
Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni...
Matukio ya kutisha na ya kishetani, kama yale ya utekaji wa watu na kuwapoteza, watoto wadogo kuuawa, kutawaliwa na watu wenye mioyo ya ukatili wa kupindukia, uovu kupewa heshima dhidi ya wema, ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara na Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Kigamboni na Waziri mtarajiwa ameunguruma huko Arusha kama...
Salaam, Shalom!
Swali hili nimekuwa nikujiuliza kitambo sasa kuwa, Ulipoasisiwa mfumo wa Vyama vingi July 1, mwaka 1992, CCM iliyokuwa chama pekee katika mfumo wa chama kimoja, ilipata usajili...
Mimi sijui ama mawazo yangu yako sawa au mimi ndo mshamba!
Ni kwanini Mheshmiwa Raisi asiwe anachagua mawaziri kusimamima sekta ambazo wana experience nazo?
Mfano waziri wa ulinzi anaweza kua...
Vyanzo vyangu vya kuaminika toka coridos of power vimenitonya mwanachama mtokwa machozi ya furaha pale anapotajwa kiongozi mkuu amepata teuzi huko CCM.
Na ndio maana siku hizi ameacha kuweka...
Polisi wametoa taarifa leo walizoita za uhakika kwamba wamepata taarifa Viongozi wa CHADEMA wamefanya kikao kwa njia ya zoom na kuhamasisha Wafuasi wetu kwenda Ofisi mbalimbali za Serikali na...
List ya wengi wanaotekwa na kupotezwa ni wale raia wanao support au wanachama wa vyama pinzani na ccm. Hii inamaanisha nini?
Pia soma: Kuelekea 2025 - Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa...
Kamati kuu ya CCM inatarijia kukutana tarehe 02/09/2024 huku pamoja na mambo mengine huenda Makamo Mwenyekiti wa CCM atajulikana baada ya Vikao hivyo.
Chanzo: CCM
Polisi wamekuja na mkakati mpya wa ajabu na wa kujivua nguo kuonesha kushindwa kwao kufanya jukumu lao la kikatiba na kisheria la KULINDA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO.
Sasa wanatafuta namna ya...
Vyama Vyote vya Siasa vina mambo mengi sana
Jambo muhimu ni Polisi kuhakikisha nchi inakuwa na Amani Wakati wote
CUF ya Prof Lipumba iliwahi kuleta Majambia yenye Bendera yao enzi za hayati...
📌 📌 Ubungo-NIT Mabibo
🗒️ 29 Agosti 2024
Mwenyekiti wa UWT mkoa Dar es salaam Ndugu Mwajabu Rajabu Mbwambo alikuwa Mgeni Rasmi katika kongamano la Mwanamke Jitambue lililondaliwa na Kablu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.