Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea kutoa wito kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kulifumua Jeshi la Polisi nchini kwa...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna wakati mwanasiasa kijana kutokea Afrika ya kusini Julius Malema alionekana kama ndiye kijana jasiri zaidi hapa Barani Afrika na ambaye alikuwa akilitetea hata Bara...
3 Reactions
118 Replies
4K Views
Baada ya onyo la Polisi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA waliodaiwa kuwa na mipango ya kuvamia vituo vya Polisi, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema hatua hiyo ni shambulio jingine la...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbowe-polisi-watoe-ushahidi-mipango-ya-maandamano-kikao-cha-zoom--4744332
5 Reactions
13 Replies
929 Views
Mfumo huu ni mzuri sana sababu chama kinafahamu idadi ya wanaCCM kitaifa - Mkoa - wilaya na Kata waliko wanachama. Hata hivyo, ningekuwa na madaraka ktk CCM mfumo wa usajili unapaswa kuwa active...
1 Reactions
0 Replies
260 Views
Naangazia mada yangu kwa muktadha wa kutoa maoni kwa tume maalumu ya mipango ya nchi. Ni wakati muafaka wa kufikiri na kufanyia kazi kwa haraka. Tanzania kupitia JWTZ ifanye uwekezaji huu muhimu...
3 Reactions
64 Replies
1K Views
Huko Instagram kuna kitu wanafanya challenge eti wanaita Samia challenge, wanashindana kuvaa ushungi na vimiwani kama Raisi 😆😆😆😆 Ingekua Mimi ni huyu mama ningefanya kama Kagame au Mugabe...
9 Reactions
29 Replies
916 Views
My Take Wale wa Samia ameuza Mali zao za Urithi mnaitwa kuja kumwaga povu jingine. Kwa taarifa yenu sio tuu shehena ya mzigo imeongezeka Bali muda wa kusubiria meli umetoka siku 14 Hadi siku 3...
7 Reactions
152 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka Duniani kwa sasa, Kwamba Mtanzania huyo Mzalendo na mwenye uthubutu, Bwana Kumbusho Dawson, ameifungulia kesi Serikali ya Tanzania Pamoja na Mamlaka za...
12 Reactions
115 Replies
5K Views
KUHUSU TAARIFA YA MAMLAKA YA BANDARI KUTANGAZA TENDA YA KUTAFUTA MUWEKEZAJI WA GATI NAMBA.8-11 BANDARINI. Kuna taarifa imetolewa leo tar.31/Agosti/2023 na mamlaka ya bandari (TPA) kutangaza tenda...
36 Reactions
76 Replies
10K Views
Mkurugenzi mstaafu wa makosa ya Jinai DCI Robert Manumba amefariki dunia usiku huu. Taarifa zaidi zitakuja hivi punde === Katika utumishi wake ndani ya Jeshi la Polisi amefanya kazi katika...
11 Reactions
76 Replies
15K Views
Picha hapo chini ni majina ya wafanyakazi na mashine walizopangiwa katika Gati No.8 - 11 Bandarini. Hiyo chini ni taarifa ya jana tar.6/Julai /2023.Ukisoma hapo bado taarifa zote zinaandikwa TICTS...
9 Reactions
67 Replies
5K Views
Wanasheria wa CHADEMA wafungue kesi ya madai (defamation case) mahakamani. 1. Wahoji huo mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao (zoom) ulifanyika lini. 2. Polisi waonyeshe video clip ya mkutano...
5 Reactions
7 Replies
528 Views
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi? Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika...
18 Reactions
86 Replies
3K Views
ili walau kiongozi huyo abaki na heshima aliyonayo hivi sasa aliyoijenga kwa muda mrefu sana, lakini pia kuepuka kufilisika uzeeni maana uchaguzi ni gharama sana. lakini pia kuepuka kuaibisha...
5 Reactions
113 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kuona jeshi la Polisi limebaki kuwa na kiki na uongo uongo pamoja na rushwa. Ni nani leo hii Tanzania anaweza kuweka imani kwa jeshi hili? inasikitisha sana hasa sisi ambao...
7 Reactions
18 Replies
359 Views
Leo kuna swali liliulizwa na Pareso Mbunge maalum toka CHADEMA akiuliza ni "Kwa nini wakandarasi wa kigeni wanalipwa riba kwa kucheleweshewa malipo yao tofauti na wakandarasi wazawa ambao...
1 Reactions
3 Replies
283 Views
Mtoto wangu yoyote yule akija kuwa askari polisi amejifukuzisha mwenyewe kwenye familia.
25 Reactions
119 Replies
5K Views
Kutoka "Uwazi" Habari hii niliisikia siku chache zilizopita. Naona bado iko hewani: Mtandao mkubwa wa majambazi wanaotumia mbinu mpya za utekaji nyara uliopachikwa jina la Black Mafia...
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Katibu mkuu wa Wizara ya Sanaa amewataka Wasanii nchini kufanya mambo makubwa kama Filamu ya Royal Tour inavyoitangaza Tanzania duniani Kote Aidha Msigwa amesema wimbo wa Diamond uitwao Kamasova...
4 Reactions
14 Replies
642 Views
Back
Top Bottom