Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwenye kipindi cha asubuhi ya leo wakati wakipitia magazeti wametumia takribani robo tatu ya muda wote wa kipindi hicho kuelezea kadhia ya kupotea kwa watu katika mazingira yasiyoeleweka huku...
1 Reactions
13 Replies
717 Views
Hapo zamani za kale, kulikuwa na nchi iliyojaa maziwa na asali, nchi yenye mandhari nzuri na hali ya hewa bora. Katika nchi hiyo, mnyama aliyekuwa akiitawala alikuwa ni Chura, lakini hakuwa chura...
2 Reactions
0 Replies
340 Views
Kwa Heshima na Taadhima Naandika barua hii kwako kwa kuwa ni wewe pekee ninaekuamini unaetaka chadema kushika dola. Na kwa imani hii niliyonayo ninaamini imebeba fikra wa idadi kubwa ya wale...
0 Reactions
2 Replies
377 Views
Ikiwa ni siku Chache zimepita tangu anusurike kuuawa kutokana na kipigo cha polisi kilichoongozwa na mtukufu Awadh Haji, John Mnyika amefika tena Jijini Mbeya. Taarifa zaidi hii hapa
10 Reactions
31 Replies
1K Views
Juzi hapa tumesikia kuwa Tanzania imekopa zaidi ya billion 400 Kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar, sawa. Bajeti ya Zanzibar Kwa mwaka 24/25 ni trilion 2.6. maana yake ni kuwa sh. 2.6...
20 Reactions
56 Replies
2K Views
Katika hali inayoibua maswali mengi kuhusu uwazi na haki ndani ya chama cha CHADEMA, mtoto wa Freeman Mbowe, kiongozi wa chama hicho, ameonekana kupendelewa katika uchaguzi wa ndani wa Jimbo la...
0 Reactions
8 Replies
515 Views
Kuna namna ambayo inashangaza kadiri siku zinazovosonga mbele,kwa wafuatiliaji wa mambo tunaona namna ambavyo baadhi yetu(watanzania) waliokatika nafasi mbalimbali wanasahau kuwa wao ni sehemu ya...
3 Reactions
6 Replies
334 Views
Wapendwa kuna mambo mengi yanaendelea nchini kiasi Cha kuhoji uwezo wa Ubongo tuliobeba kwenye mafuvu yetu Ndio nimechukua mfano wa karibu wa hapo kwa rafiki zetu CHADEMA Je, kuna Kiongozi...
1 Reactions
19 Replies
467 Views
Watu wa Mbeya wana hulka ya harakati ndio maana kule huwa siasa za upinzani hupata nguvu sana ni watu wasiojubali kuburuzwa ndio maana kwenye matukio mengi ya kupambana kijasiri ni ngumu sana...
2 Reactions
14 Replies
371 Views
Tunafahamu kwamba Mzee huyu ametumikia nchi ya Tanzania kuanzia Jeshini hadi kwenye siasa, lakini tofauti yake na Wanasiasa wengine ni kutoionyesha familia yake, kwa maana kwamba haijulikani Mke...
22 Reactions
205 Replies
21K Views
Tanzania inatafuta Rais bora zaidi ya wote kwa muhula wa 2030-40, Je vyama vyetu vya Siasa vitatupa wagombea tunaowataka sisi au kinyume chake? ==== 1. Rais ajae lazima awe ni mtu ambae...
21 Reactions
304 Replies
17K Views
Stendi ya Mbezi Magufuli leo siku ya pili hakuna huduma ya maji, hali si hali kwani abiria wanapata tabu, na watu wanaofanya shughuli zao humu ndani na nje ya stendi kadhalika. Hali imekuwa mbaya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi, Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amekemea tabia inayoindelea kwa sasa ya watu kuuwana, kutekwa na kupotea katika mazingira yanayoibua sintofahamu na...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi nchini limezuia mikutano ya hadhara ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyopangwa kufanyika wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha kuanzia Agosti 29.2024 hadi Septemba 15.2024, mikutano...
8 Reactions
79 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili. Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni...
8 Reactions
174 Replies
6K Views
My Take Kauli hii ya Rais Samia inakupa picha halisi ya waliyokuwa wanapitia Viongozi mbalimbali "Wakati Ule" wa Wazalendo Uchwara 😂😂😂😂...
10 Reactions
66 Replies
2K Views
Ili Tanzania tupate maendeleo ya kweli ambayo ni endelevu, ni lazima tujifunze kuukubali ukweli halisi jinsi ulivyo na kukitokea tatizo, tukabiliane nao kwa kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa tatizo...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila siku za Jumatatu, huwaletea makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambayo huchapishwa na gazeti la Nipashe la Jumapili, ambazo ziko kwa mtindo wa maswali, majibu ya...
9 Reactions
93 Replies
8K Views
DODOMA - BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria Tanzania wa Mwaka 2024 ambao umeondoa sharti la kila mhitimu wa shahada ya sheria kupita katika shule hiyo. Sharti...
2 Reactions
9 Replies
639 Views
Oh Msigwa kuhamia ccm kajimaliza kisiasa, nonsense kabisa! Yaani siasa nchi hii lazima ufanyie CHADEMA, wewe ambaye hujaisha kisiasa unafanya nini! Kisiasa ukoje! Oh vijana msitoke CHADEMA mna...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom