Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
TAARIFA YA KUPOTEA / KUTOWEKA KWA MTOTO EMMANUEL AYUBU MLEKE UMRI 16 MWANAFUNZI WA KIDATO CHA 3 SHULE YA SECONDARY SAKAYO MOSHA ILIYOPO WILAYA YA MOSHI VIJIJINI KATA YA MARANGU MASHARIKI, KIJIJI...
4 Reactions
10 Replies
423 Views
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakub amekutana na kufanya mazungumzo na wakala rasmi wa Air Tanzania hapa Comoro ComAir waliowakilishwa na Ndugu Kamarouddine Waziri Zamane...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa...
17 Reactions
87 Replies
2K Views
Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina...
36 Reactions
399 Replies
19K Views
Mlio Dar fikeni kwa wingi! Polsi tusiwalaumu, huenda kuna amri toka kwa wakubwa zao kuwa washikilie/waue. Kama IGP, Waziri Masauni, and all other top authorities wamekaa kimya, means wanahusika...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Wananchi wa Kata ya Nyatwali waliamuriwa na Serikali kupisha eneo hilo ili pawe mapito ya wanyama pori mpaka Ziwa Victoria na wanyama waweze kuchunga na kunywa maji kwa urahisi. Wananchi...
1 Reactions
2 Replies
228 Views
Sio siri kuwa JWTZ inafanya kazi inayotukuka kweli kweli. Maadui wa nje hawafanyi chokochoko tena katika mipaka yetu. Lakini sasa kuna adui wa ndani ya nchi anateka watu, anawatesa na kuwaua...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
===== Kamishina Mkuu wa Ubia katika Serikali na Sekta Binafsi nchini ( PPP) Mhe David Zachari Kafulila amefafanua haya alipokuwa akihojiwa na Televisheni ya Globali, Mhe David Zacharia Kafulila...
24 Reactions
71 Replies
3K Views
Ukifuatilia usimamishwaji kazi wa wahandisi wa maji unaofanywa na Jumaa Aweso, ni usanii mtupu! Unakuta mhandisi anasimamishwa kazi kwa ubadhilifu wa mali ya umma au uzembe, baada ya miezi mitatu...
5 Reactions
9 Replies
715 Views
Hii imetokea huko Mbulu mkoani Manyara hii leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani kwa sababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia. Kazi...
15 Reactions
30 Replies
2K Views
=== Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi...
32 Reactions
343 Replies
7K Views
Uongozi wa jamii forum na Wanachamq wote Nishauri kuwa uanzishwe utaratibu kuwa na Uzi maalumu ambao member mmoja mbobezi kwenye eneo fulani ajibu maswali mbalimbali ya kisasa, kiuchumi au...
1 Reactions
10 Replies
412 Views
Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA. Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI. Ndugu zetu...
10 Reactions
113 Replies
3K Views
Waandishi wajiandae kuandika kitabu kipya kingine " I am The State part II" “I AM THE STATE”- BOOK LAUNCHED IN TANZANIA EXPOSING STATE HOUSE CORRUPTION, ABUSE OF POWER
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Mbunge wa Kawe Askofu Dr Gwajima amewashauri Waumini wake kwamba endapo watafuatwa na Polisi katika namna yoyote ile Wahakikishe kabla ya kuondoka wamepiga selfie na Afande na kuituma kwenye...
8 Reactions
16 Replies
926 Views
Ndugu zangu, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya watu wasio julikana ama wale wanaokuja kwa njia ya askari polisi. Wanakuchukua kisha wanakuua alafu hakuna jitihada zozote kutoka kwa vyombo vyetu...
3 Reactions
19 Replies
923 Views
Kauli ya Tundu Lissu kwamba "CHADEMA sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na...
1 Reactions
46 Replies
1K Views
Hakunaga Cha Bure Chini ya Jua Unadhani Bush na Obama walipozuru Tanganyika walikuja kuzurura tu? Hao Marekani wamemzuia Komredi Makonda kwenda nchini kwao kwani kimebadilika nini? Hii mnayoita...
8 Reactions
38 Replies
780 Views
TANZANIA YAUNGA MKONO MKAKATI WA KIKANDA WA USALAMA WA AFYA NA DHARURA (2022-2030) Tanzania inaunga mkono mkakati wa kikanda wa usalama wa afya na dharura kwa kipindi cha 2022–2030 kupitia hatua...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
“Kwenye suala la Ngorongoro, ilitakiwa twende huko kesho Ijumaa kwenye Mkutano, tuliomba mikutano mitatu, Makalla (Mwenezi wa CCM Taifa) alivyoona akatoa ratiba ya mkutano, nikamwambia Katibu wa...
1 Reactions
1 Replies
385 Views
Back
Top Bottom