Ungepata nafasi ya kuuliza swali kwenye tume ya uchaguzi ungeuliz swali gani?
Huenda wengi tuko na maswali ambayo tungehitaji kuyauliz kwenye tume ya uchguzi ila hatujui tunayauliza wapi.
Basi...
Serikali imehusika katika kesi 4,380, tafadhali soma zaidi hapa chini:
Serikali imehusika katika jumla ya kesi 4,381
2007-11-08 16:17:30
Serikali imehusika katika jumla ya kesi 4,381 kati ya...
Amekiri kwa maandishi mbele ya Kamati ya Sheria ya Bunge la Marekani kuwa mwaka 2021 walikubali shinikizo la White House kuchuja baadhi ya taarifa.
Full text kutoka CNN iko hapa:-...
Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa peter Msigwa ameendelea kuvurumisha Makombora Mazito mazito kwa CHADEMA,ambayo yameonekana kuteketeza na kusambaratisha kabisa kambi zoote za...
Inasikitisha unapo ona vyombo vya kutoa haki vinacheza na maisha ya Watanzania kwa sababu za maamuzi ya makada.
Hii kesi ya Soka na wenzake ni mfano ambao una onyesha jinsi haki zinavyozidi...
Wakati wote Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kusimama imara katika falsafa yake ya uongozi ya 4R kwa kuitekeleza kwa vitendo.
Ameendelea kuwa...
Nimeona Viongozi wa Kisiasa na Kidini pale Mahakama kuu katika Kesi ya kumtafuta Deus Soka
Nikakumbuka namna Mwalimu Nyerere alivyowarudisha kwao Mateka kutoka Libya baada ya kumfurusha Nduli...
Hawa watu wakifungua kesi nyingi nyingi zinazowahusu polisi, wakuu wa wilaya, mawaziri, wakuu wa mikoa nk zitawaweka busy na zitawapa aibu angalau wataanza kukemea uonevu unaofanywa na watu wao wa...
Bila kujali misimamo yetu ya kisiasa, kidini, kirangi wala ya kikabila tuliyonayo na tunayoiishi
Kwa pamoja leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni...
Naona chadema imejitolea kikosi cha mawakili wanaowawakilisha makada wake katika kesi nyingi, ili sasa wamuwakilishe Luhqga Mpina katika kesi zinazohusu mambo ya sukari, pia kesi inayohusu Mpina...
Mpina awafungulia kesi Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni yaliyopewa tenda ya kuagiza Sukari
Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amefungua kesi...
Matajiri wanaoishi mikoa ya mbali ikiwemo Mara, Mwanza, Arusha, Kilomanjaro, Dar es salaam walitumia kigezo cha jamii ya kimasai kuishi Ngorongoro kuingiza hifadhini mamilioni ya ngombe hivyo...
David Kafulila CEO wa PPP-Cetre nchini na Nehemia Mchechu Msajili wa hazina nchini mnatuchanganya Watanzania,
Kafulila na Waziri Mchengerwa kwa nyakati tofauti tofauti walifafanua vizuri ya...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema mwezi Oktoba mwaka huu kutakuwa na maonesho ya magari yatakayovunja rekodi ya Guiness iliyowekwa na Ujerumani kwa kuwa na magari aina ya Land Rover...
Huko Congo drc team Moja za ligi kuu ziliokuwa ziki itwa dcmp ime badilisha jina na kuitwa FC magufuli, kumbe jembe kakanya kazi ngumu sana, basi kapumzike kwa Amani sana
USSR
Chadema kama kundi hawawezi kuleta Ukombozi wowote ila Mwanachama mmoja wa Chadema aliyejitoa Sauti yake inaweza kumfikia Mungu wa Mbinguni
Kwa mfano Shujaa Magufuli alijitoa Sadaka yeye binafsi...
Serikali ilikuwa inafikiri maandamano nchini ya Chadema hayana tija. Sasa bila Chadema kuna maandamano makubwa matatu kwenye ngome za CCM!
1. Kuhusu kutekwa watu huko Simuyu
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.