Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na...
20 Reactions
221 Replies
3K Views
Siku tano zikizopita Rais wa Tsnzania alituma wasaidizi wake ambao ni Prof. Kabudi na William Lukuvi kwenda kusawazisha mambo kule Ngorongoro. Aliagiza kurejeshwa kwa huduma zote za kibinadamu...
2 Reactions
11 Replies
680 Views
Gazeti la Mwangaza, linaangaza kila mahala Jumatano ya tarehe 27 Agosti, 2024.
1 Reactions
7 Replies
402 Views
Katika nchi nyingi, ikiwemo Tanzania, kuna mambo kadhaa ambayo yanaweza kuonekana siyo ya haki na yanaweza kuendeshwa kisiasa. Hapa ni baadhi ya mambo hayo: 1. Uchaguzi Usio wa Huru na Haki: -...
1 Reactions
0 Replies
206 Views
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki: 1. Elimu ya Mpigakura: Wananchi wanapaswa kupewa elimu ya kutosha...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Kiongozi wa haya maandamano ni nani? Polisi na Intelijensia walishindwa vipi kuyazuia kabla hayajaanza? Kama wameshindwa kugundua maandamano makubwa kama haya, tuna uhakika gani na taarifa za...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Miongoni mwa sheria mbovu sana zilizopo nchini ni inayompa mamlaka DPP ya kuweza kupeleka au kutopeleka kesi yoyote ya jinai, inayomkabili mwananchi yeyote na asitoe sababu za kutoipeleka kesi...
10 Reactions
54 Replies
2K Views
Kwanza nianze KUANDIKA Makala hii kwa kuungana na wale wasio mpongeza Dr Faustin Ndungulire Mbunge wa kigamboni kwa kuchaguliwa Leo kuwa mkurugenzi wa shirika la Afya Duniani Kanda ya Africa...
4 Reactions
9 Replies
749 Views
Kama unaifahamu psychology kama mimi basi utaungaba na mimi kwamba Tundu Lissu anamtesa sana Dr Samia. Huku mmoja akiwa ni Rais na amwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na mwingine akiwa ni Mgombea...
26 Reactions
130 Replies
4K Views
RAIS SAMIA AMEFANYA UMEME KUWA SI ANASA- KAPINGA 📌 *Tanzania kufuta historia ya Vijiji kutokuwa na umeme 📌 Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme 📌 Wananchi watakiwa kutunza...
1 Reactions
14 Replies
500 Views
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ikiongozwa na Kamishna Nyanda Josiah Shuli leo Agosti 27, 2024 wamekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika Makao...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Mwendazake hakuwahi kumpa u-full minister wa Wizara ya afya. Na Rais Samia alimpa mawasiliano kisha akamuacha. Lakini huyu ndiye angeweza kuwa waziri bora sana kwa Wizara ya Afya Tanzania. Sasa...
13 Reactions
64 Replies
2K Views
..mambo yanazidi kunoga. ..hata Ccm baki wameanza kuona joto ya Jiwe. ..Msikilize mbunge wa Mlimba akilalamika kuhusu wananchi wake kuonewa na RC na DC. ..Mbunge ameamua kuungana na wananchi...
5 Reactions
8 Replies
773 Views
It is unbelievable ngoma imechezeshwa na TRA na POLISI kuokoa jina la Mbunge Koka anaefanya biashara ya binadamu ambae yuko Chama Tawala. Haya mambo CCM inayakumbatia sana kwa kufikiri wananchi...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hatimaye Mawaziri Vigogo ya Serikali ya Rais Samia ambao ni Profesa Kabudi, William Lukuvi na Kamishna wa mafunzo Jeshi la polisi Awadhi wakutana na Paul Makonda na...
6 Reactions
130 Replies
6K Views
Nawakumbusha tu kwamba Bado Vijiji 151 Tanzania nzima kuwa na umeme na kati ya hivyo Wakandarasi wako site. --- Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema vijiji 151 tu nchi nzima ndio...
3 Reactions
20 Replies
662 Views
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa KUTIMIZA WAJIBU wake kwa kuhakikisha Tanzania nzima inao mtandao wa mwanga wa nishati ya umeme karibu Miji na...
5 Reactions
11 Replies
439 Views
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema Maarufu kama HH alitoa Onyo Kali Julai 6, 2024 Kwa Vikundi vya Kisiasa na kikabila ambavyo vimekiwa vinaeneza chuki na kushadidia Mgawanyiko wa kijamaa Kwa...
3 Reactions
23 Replies
746 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Lengo ni kujifunza mengi kutoka Kwa Mzee wetu Mohamed said bingwa wa masuala ya historia na siasa na anayeheshimika sana Mzee wetu...
1 Reactions
11 Replies
464 Views
Naona sauti yake huku bara ni kubwa kuliko aliyechaguliwa kama kiongozi mkuu
2 Reactions
7 Replies
357 Views
Back
Top Bottom