Baba mwenye nyumba ukianza kulala na wapangaji na Vijana wako wakajua, utapata wapi nguvu za kukemea watoto wako wa kiume wakilala na wafanyakazi wa ndani na wa kike watakapolala na wapangaji wa...
Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi...
Nimemsikikiza vizuri sana makamu mwenyekiti wa Chadema kwa makini sana kupitia kituo komoja cha habari jana.
Anasema anahofu kuwa fedha haramu zinaweza kuingizwa ndani ya Chadema.
Lissu ni...
Naona wandugu hapa kwetu bongo siasa zinaelekea kuwashinda watatwala wetu kwani sasa hawajibu hoja badala yake wanajibu vioja.
Pili nimeshangazwa na CCM kujibu tamko lililoelekezwa kwa rais na...
Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja...
Ndugu waandishi wa Habari, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa kufika mahali hapa baada ya kupewa taarifa ya uwepo wa mkutano huu, tumewaiteni hapa ili tuweze kuuambia umma juu ya mambo...
Je, Ni kosa kuwa mfuasi wa Chadema na au kuwa upinzani?
Ni dhambi kutoka chama kimoja na kwenda kuwa mfuasi wa Chadema na vyama vingine?
Ni kweli kabisa wanaohusika mara nyingi kuwatesa na saa...
wakuu
wasalaam
Mh, Peter Msigwa (Mbunge wa Iringa
Mjini) asherekea Pasaka Mkoani Njombe
kwa kupeleka Ujumbe wa CCM ni HATARI
kwa Usalama wa Taifa sasa hivi hapa njombe kumewaka moto...
Anasema eti CHADEMA ni sahihi kukosea kwa sababu siyo Mungu bali binadamu. Sasa mtu atajiuliza kwamba kwanini wanataka CCM isikosee?
Kwani CCM kinaongozwa na Mungu? CHADEMA muwe mnaacha mihemko...
Moja kwa moja kwenye hoja,ipo hivi leo kesi ya uvunjaji wa nyumba zaidi ya 400 imesikilizwa kwa mara ya kwanza katika mahakama kuu kitengo cha ardhi kati ya wananchi wa Kibaha kiwanja namba 34...
https://www.youtube.com/watch?v=ZL2V3hUw5Hg
Akihojiwa na Katika Kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema “Sikuwahi kufuatwa na Mtu akaniambia anipe hela...
Baada ya kulisema hili nimekubali kuwa Tundu Antipas Lisu ni Mtu mkweli, mwenye Weledi wa kutosha na mtafiti
Ni kweli Kabisa Mwenyekiti wa CCM huchaguliwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa Serikali kwa...
Unadhani falsafa hii inamaanisha nini?
Mathalani,
inasemekana wafia chama wa CUF wanapambana kuhakikisha mgombea Urasi wake anakua ni Profesa pekee, na anapata nafasi hiyo bila changamoto kwa...
Kauli nzito sana hii
Taifa la Vipofu kwa sababu Rushwa ndio inayoabudiwa kama mungu au sanamu ya kuchonga inayoabudiwa
Kiukweli Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas ameongea Kitu Cha...
Bi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe 27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64..............
Tundu A. M. Lissu (Makamu M/Kiti CHADEMA Taifa Upande wa Tanganyika na...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema ukisoma sheria ya Vyama vya Siasa utagundua Msajili wa Vyama vya Siasa hana nguvu yoyote ya kuishughulikia CCM kwa sababu haikusajiliwa na...
Maadui wa taifa letu wameongezeka wamekuwa wengi na possibly wamejipanga kwelikweli, lengo ni ukate tamaa, uwaachie Dodo, tena uliachie kwa watu wasio sahihi, waungwana na wazalendo wa ukweli...
Na. M. M. Mwanakijiji
Tanzania imewahi kukumbwa na kashfa kubwa tu zilizokuwa zinahusisha mali ya asili au mali ya umma (Hakuna mali ya serikali). Kashfa kubwa zaidi ambazo zilizizima katika...
Nyie msiojulikana mliojazana huko kwenye vyombo vya kutesa na kuua raia ni suala la muda tu kujulikana kwenu.
Damu ya mtu sio maji ya kunywa, juice, soda ama pombe.
===
Mwanajeshi mmoja nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.