Wasalaam
Kwa jinsi police wanavyojituma kukamata viongozi wa upinzani na kuwafungulia kesi mbalimbali ni dhahiri wanalipwa pesa nyingi sana na serikali ya ccm. Naomba kwa mwenye kujua anijuze hawa...
Kuna jumbe mbalimbali za maandishi zimeanza kusambaa kwenye page za wapinzani zikionyesha askari wa polisi wakilalamika kwamba baada ya kufanya kazi miaka 30+ wameambulia kikokotoo kisichozidi...
Kufuatia Rais Samia Suluhu Hassan kutoa maagizo kuwa simba wa kizimkazi Zanzibar aitwe jina la Tundu Lissu, naye Lissu amefunguka kuhusu simba kupewa jina lake, amesema yeye amezaliwa kwenye ukoo...
IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.
Angalia sana ulimi wako jinsi...
1. Ndugu zetu Maasai pale Ngorongoro wanalindwa/kutambuliwa na mikataba ya Kimataifa mfano United Nations Declaration No. 169 on the Rights of Indigenous People - jamii husika inatambulika na...
Idadi ya viwanda vya magari Nchini Tanzania.
Jumla ya viwanda 13, ambapo kati yake viwanda 2 vinaunganisha magari na viwanda 11 vinatengeneza matrela.
Ajira zilizotokana na uwepo wa viwanda 2...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema hana Mpango wa kuanzisha Chama kipya Cha Siasa na wala hafikirii kuhama Chadema kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa
Hata...
Mwenyekiti wa CHADEMA aelezea vituko vya chama dola kongwe CCM
MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA ATOA MAZITO MKUTANO WA HADHARA
https://m.youtube.com/watch?v=e2Ikimr7f60
Hatuwezi kuwaelewa...
Najaribu kufikiri kwa mapana na marefu!
Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini!
Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our...
Tundu Lissu anajua kuongea. Hakuna mwanasiasa anaweza simama jukwaa moja na Tundu Lissu kubishana. Hakuna Chama Chetu CCM na nje ya chama au any chama.
Lissu akianza kuongea utapenda msikiliza...
Nimekutana na chapisho la DW kuhusu kuhamisha wamasai Ngorongoro ambapo Serikali ya Samia inasema ni kwa ajili ya uhifadhi ila ukweli ni kwa ajili ya kuwapatia wawekezajia ambapo tiyali eneo moja...
Hawa ni baadhi ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA. Elimu ni muhimu ndio maana nimeona ni vyema mkafahamu viwango vya elimu vya viongozi ambao kesho na kesho kutwa tunatarajia wawe wawakilishi...
Ni tetesi kwamba kuna kundi la Wanachadema Wakiongozwa na Kiongozi mmoja wa Kanda ya Nyasa wamejipanga kumchukulia Fomu ya kugombea uRais wa JMT Mbowe
Tayari Wanachama wa CUF wametangaza...
KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NI NINI?
Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia
(Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi...
Wahamiaji kutoka kwenye nchi yenye vidaradara vyetu vingi vya hewan ukanda wetu walikamatwa hapo nchi ya Comoros wakiwa wamepanda Punda, Tena punda ina harufu kama imekula mchuzi wa mfalme,
Mziki...
Ndugu zangu watanzania,
Nafahamu mifumo imetutenga katika makundi tofauti ili mifumo hiyo iweze kututawala 'DEVIDE AND RULE'.
Nafahamu kuwa tulikuwa wamoja hadi pale vyama vya siasa vilipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.