Yaani Jamaa kaenda Likizo siku kadhaa tu lakini karudi ule weusi wote umeisha, kawa mweupe peee huku mwili ukiwa umepukutika kama vile anavyotuelekeza Profesa Janabi yaani, Daaah!!
Nawaomba...
ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa...
Kuna philosophy nyingi sana za mtu na madaraka.
Wengine wanasema ukitaka kumjua mtu na uwezo wake, mpe madaraka.
Wengine wanasema ukitaka kummaliza mtu mpe pesa na madaraka.
Sasa wenzetu...
Tukiachana na ya Simba asiyetulia wa kule Kizimkazi...
Tukiachana na "assist" 4 na goli 1 la mwamba Clatous Chota Chama,mh.David Kafulila amekuja na wazo kuntu haswa....
TOLL ROADS(barabara za...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha amehoji kwa nini aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam (RCO), Kamishna Msaidizi wa Polisi(ACP), Abdallah Zombe hakutoa mapema...
Ujumbe wa Tanzania washiriki Mazoezi ya ‘Walk the Talk’
Brazzaville, Congo
25 Agosti 2024
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
Salaam Shalom!!
Mzee wetu ameibuka na Kutoa Pongezi kedekede Kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan Kwa uamuzi mzuri aliofanya kuwabadili baadhi ya mawaziri, mtoto wake akiwemo.
Amemfananisha Rais na...
kulikoni hasa,
hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake,
basi haupiti muda mrefu,
lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine...
Habari za weekend Wakuu!
Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo.
Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background...
Hili ni jambo jema kabisa
Kama ulikuwa na wasiwasi wowote ndio ujue CCM ni Chama Kikubwa sana
Mawaziri wetu waliotumbuliwa walikuwepo Tamashani sawia na Viongozi wa Simba SC na Dar Young...
Bi. Mkubwa akiwa huko kwao, katumia jina lako kwa namna ambayo inaweza kuonekana ni ama kukutania au kukupa heshima fulani au anaku-admire.
Binafsi, nakushauri uwe makini sana huenda hii ni hadaa...
Mwanaharati alikuwa akitetea vijana wa vyuo vikuu vyote nchini ambaye alinusurika kufukuzwa Chuo chini ya viongozi wa chama cha mapinduzi nae kajitosha katika king'anyiro cha kuwania nafasi ya...
Ukitumia jicho la tatu utagundua kwamba aina ya misukosuko wanayopitia ndugu zetu inawakomaza sana.
Yaani ukiwa kiongozi wa hiyo jamii haikupi muda hata wa kuhudhuria matamasha hadi kuwaita...
Kwamba kila Rais atakaye ingia madarakani nyumbani kwao inapelekwa miradi mikubwa bila kufanya utafiti wa kutosha wa mahitaji kwa fedha za walipa kodi hawa masikini.
Matokeo ni kuwa wanapo ondoka...
Juzi nilimsikiliza mwenyekiti wa tume ya haki jinai akijibu mapigo baada ya tume hiyo kulalamikiwa, pamoja na kumsikiliza mpaka mwisho alichokuwa anakisoma kwa kubabaika, hakuna mahali alisoma...
Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika,
Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za...
Ndugu zangu Watanzania,
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
Taifa la wote, Maslahi kwa wote! Zanzibar Mpya, Zanzibar Moja Mamlaka kamili.
Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasihii adhimu ya kukutana nanyi kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya...
Dunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake.
Leo hii Tundu Lissu ni wa kutembelea kaburi la Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.