Akiwa katika uzinduzi wa mradi wa usimikaji wa Rada 4 za kufuatilia usafirishaji wa anga, Rais Magufuli amewashangaa wanaotoa nyaraka zilizojaa malalamiko kwa Serikali.
Amesema wapo watu duniani...
Haya mambo ya ajabu yanashangaza sana, huwezi kuta haya mambo ya kijinga yanafanywa na viongozi huko kwa wenye IQ 100+
Pia soma: Nchi yenye IQ kubwa Duniani
Hata hiyo namba tuliyonayo nahisi...
Pamekuwa na Vita ya chini kwa chini pale Chadema kuhusu nani atagombea Urais wa JMT kwa ticket yao Lisu au Mbowe
Wapenda mageuzi Wanataka Tundu Antipas Lisu agombee lakini Wasaka Fursa wanamtaka...
Kutokana na mbinu ya Rais Samia ya kutumia watu wengine kumsemea badala ya kujitokeza mwenyewe, kuna hatari zifuatazo zinazoweza kutokea:
1. Ukosefu wa uwazi na uwajibikaji: Kutokutokea moja kwa...
Tumekua tukikosoa Sana personality za viongozi Kila awamu,tukikemea ubadhirifu,rushwa na wizi wa Rasilimali zetu bila kujua tatizo kuu ni taasisi ya Dola ambayo inalinda utaifa,mipaka na...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema kwa sababu Huduma za Kijamii zimerejeshwa Ngorongoro na Amani imerejea Chadema wanakwenda kufanya mkutano mkubwa sana wilayani...
Huo ndio Ukweli'
Ukitaka Gazeti lako linunuliwe au Kipindi chako kisikilizwe basi andika habari za Chadema au RC Makonda au waalike studio
Sijajua Bashungwa na Masauni wanafeli wapi labda hapo...
Viongozi wengi wa kiafrika tunapenda sana kubeba ndugu na kuwaketisha viti vya mbele.
Mambo ya ukabila,udugu Ili kuzungukwa na watu mnaojuana ni kukosa weledi na kuleta mgongano wa kimaslahi...
Ana nguvu ya kipekee sana ya kiuongozi ndani yake kuanzia kwenye kauli zake za kuunganisha taifa, kwenye mipango mikakati yake ya maendeleo kisiasa, kijamii na kiuchumi..
Mathalani falsafa yake...
Tetesi zinasema kwamba leo huko lamadi watu wameandamana kutoka na kile kinachodaiwa ya kwamba utekaji uliokithiri umekuwa ni janga kubwa mno.Watu wanapotezwa na watu wasiojulikana na hakuna...
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa ameshuhudia wanachama 24 wa vyama vya CUF na ACT-Wazalendo wakirejea CCM ndani ya siku mbili.
Majaliwa...
Nimefanya utafiti binafsi nimegundua hakuna tatizo la ajira nchini Bali tatizo la kifikra na kimaslahi la viongozi tuliowapa dhamana.
1. SEKTA YA KILIMO MIFUGO
Hii ndio UTI wa mgongo wa taifa...
SERIKALI YA CCM KAMA SIYO KUROGWA NI NINI?
Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi.
Eneo...
Niwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya...
Kwa ufupi sana,
Sijui kama Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anataarifa na hawa vijana ila nimewasikiliza neno kwa neno nimekubali wanaweza kumfanya yeyote kuwa mshindi 2025 kwa zaidi ya 77%...
Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya Tanzania ni kutokuandamana sababu kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi...
Ni kawaida sana kwa vijana wa kitanzania ambao ni boda boda kutumika kila uchaguzi.
Kijana yupo tayari kutumika na CCM eti kisa siku hiyo umejaziwa mafuta full tank ndio unasahau mateso miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.