Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Akichangia mada kwenye kongamano la Uwekezaji kati ya China-Tanzania msomi wa UDSM ameshauri Serikali kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar Kwa kushirikiana na China. Akijibu hoja hiyo Waziri wa...
11 Reactions
124 Replies
4K Views
Madiwani wa halmashauri ya Bumbuli imeridhia kuwafukuza Kazi Watumishi Wawili na kuwapa Onyo kali Watumishi wengine Watatu kwa kosa la utoro wa zaidi ya siku 5 kazini Kazi Iendelee Credit: Ayo TV
1 Reactions
10 Replies
635 Views
Serikali inapambana kuwahamisha wa Maasai Ngorongoro pasipo sababu za msingi pasipo kuangalia athari kuu, wamaasai na wa Handzabe si sawa na wana kizimkazi ni watu watofauti...
5 Reactions
12 Replies
715 Views
Bongo ina vivutio vingi sana ila inashangaza kila siku ni Ngorongoro, Serengeti, Kilimanjaro na Zanzibar. Kule Ziwa Tanganyika kuna Lupita Island ambacho ni kivutio kikubwa kwa wazungu ingawa ni...
1 Reactions
2 Replies
201 Views
CHADEMA ikiongozwa na Tundu Lissu imekuwa ikipigania Haki za wafugaji hasa wamasai waliopo mikoa mbalimbali Tanzania, kama. Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga, Morogoro, Pwani, Dodoma, Chunya...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Mwalimu Nyerere alitaka Tanzania ijitegemee, Mwinyi alitaka ubepari wenye kulinda tunu za kitanzania, Mkapa alisimamia uchumi unategemea uwekezaji na ubinafsishaji, Kikwete alisimamia Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Nawaza tu hasa maeneo kama Ubungo, Mbeya na Tarime itakuwa hatari na nusu Nakumbuka 2015 Lowassa alikuja na Mawakala wake kutoka pale Mwenge karibu na Efatha bank alipata 40+% ya Kura zote...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Habari wadau.Napenda kumpa taarifa mbunge wa NYAMAGANA bwana mabula kuwa ukiondoa matatizo mengi yaliyopo wilaya ya hii ambayo ni kitovu cha uchumi wa mkoa kama ukosefu wa huduma ya maji na...
2 Reactions
10 Replies
560 Views
Kwa namna Prof Kabudi na Komredi Lukuvi walivyowatuliza Wamasai Chap kwa haraka ni wazi Mikataba ya Ngorongoro haikuanzia Awamu ya 5 wala ya 6 Kabati za Ikulu na Wizara Zina mambo mengi...
0 Reactions
14 Replies
551 Views
Just imagine yaani TTCL kutoka Kupata faida Hadi Kuzalisha Hasara yet bodi zipo na CEO yupo harafu Serikali Inatumika Kodi za Maskini kwenda kuwalipa mishahara. Huu upuuzi ukome,kama hawawezi...
6 Reactions
78 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya...
17 Reactions
207 Replies
4K Views
Nilijisajili kuunganishiwa umeme ikiwa ni kuletewa nguzo 2. Nikatumiwa control number ya malipo baada ya kufanya survey kuwa nitume Tsh 697,000/=. Mpaka muda huu ujumbe ni ule wa mwanzo tu kuwa...
0 Reactions
2 Replies
310 Views
TUNAHITAJI NGUVU ILI KUHARIBU. Mzee Malecela aliwahi kusema, “urais siyo kubeba karai la zege”. Alimaanisha uongozi hauhitaji kutumia misuli na mitulinga. Mara nyingi tunahitaji kutumia nguvu ili...
4 Reactions
5 Replies
532 Views
Baada ya joto kuhusu ngorongoro kupanda, ghafla eti tunasikia eti kulikuwa na kesi mahakama kuu kule Arusha na eti mahakama hiyo imetoa hukumu kupinga amri ya serikali kufuta vijiji. Mijadala...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni muda muafaka wa kumpongeza Rais Samia kwa kuwahamisha Wamasai na wakazi wengine ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kulingana na maamuzi kama hayo yaliyowahi kufanyika Canada na Marekani. Tarehe...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la Msingi Mradi wa Kasa Salaam-Cave Kizimkazi Dimbani leo tarehe 24 Agosti, 2024...
0 Reactions
1 Replies
566 Views
Wow! Hivi kila anapokutana na wanajeshi ni lazima avae hayo magwanda yao? https://youtube.com/shorts/RgyUWJx01ms?si=ntIGSdETlrWMjxMk Na hizo silaha ziko loaded au?
5 Reactions
23 Replies
827 Views
Kwanza natamani kujua mwana FA alimaanisha ndege gani? Ndege kiumbe au ndege usafiri? Kama ni ndege kiumbe basi tujue tu kwamba wapo aina za ndege ambao ni waharibifu na wana madhara kwa viumbe...
1 Reactions
1 Replies
281 Views
Washiriki zaidi ya 500 kutoka Asasi za Kiraia (AZAKI), Sekta Binafsi, Serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo wanatarajiwa kushiriki maadhimisho ya Wiki ya AZAKI 2024, itakayofanyika kuanzia...
4 Reactions
2 Replies
255 Views
Back
Top Bottom