Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenan Kihongosi amesema Serikali itagharamia mazishi ya Kijana Meshack Daudi Paka (21) ambaye amefariki kutokana na kupigwa risasi wakati Polisi wakiwatawanya Wananchi...
2 Reactions
74 Replies
4K Views
Maradhi yatokanayo na uoga hutuzalishia ujinga wa fikra. Ndugu zangu wanaccm na watanzania kwa ujumla ,ninamshukuru kwa baraka zake za kutuwezesha kuiona siku ya leo. Kumcha Mwenyezi Mungu ndiyo...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Ni wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya Mh Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande hivyo wananchi tungetamani kuona matokeo chanya ya utekelezaji. Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makamanda wa...
9 Reactions
54 Replies
2K Views
Kwanza ijulikane wazo la kuwapunguza wamasai wa Tafara ya Ngorongoro na kuwapelekea nje ya Ngorongoro lipo kitambo tangua enzi za JK, Ila hakikuwa na nguvu na msukumo, wakati huo wazo lilio kuwepo...
2 Reactions
3 Replies
668 Views
Moja ya viongozi wa hovyo kabisa ni huyu waziri wa TAMISEMI, kwanza sijawahi kumuelewa huyu jamaa capacity na uwezo wake. hapo alipo.? Hawa watu walipaswa kuwa wapiga madufu. Unfortunately...
1 Reactions
3 Replies
298 Views
Hatimaye Matunda ya kurejeshwa Wana wa Ngurumo Lukuvi na Kabudi yanajidhihirisha dhahiri Tuzidi kuwaombea 😀🌹 Mlale Unono
4 Reactions
47 Replies
1K Views
Ni muda huu huu kuelekea Weekend basi nikamcheki Mbinti mzuri ili nikale naye Supu ya Pweza. Sasa ile nafika kwake ghafla bin vuu ananitambulisha. Kwanza mimi sio mume wake, lakini...
2 Reactions
21 Replies
589 Views
Hii ni ajabu na kweli,na inatokea Tanzania tu. Serikali ndiyo iliyotangaza kufutwa kwa vijiji na kuamuru watu waondoke eneo la Ngorongoro. Lakini baada ya malalamiko toka kwa waathirika na watu...
4 Reactions
3 Replies
326 Views
https://x.com/Liberatus80/status/1826961816020214007?t=ypiWqKksDvcqZ36nm0pO9g&s=09
1 Reactions
7 Replies
871 Views
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha...
38 Reactions
190 Replies
9K Views
Pia soma: Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi walekea ziarani Ngorongoro Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesisitiza kuwa hatashiriki kukandamiza haki ya mtu mahala popote pale atakapokuwa...
6 Reactions
13 Replies
881 Views
Habari wana jukwaa. Rais nionavyo anakuwa very emotional, hasa kwa wale kwa wale wanaomkosoa, hana uvumilivu. Amekuwa akitoa kauli zenye kutweza utu wa binadamu, hana uwezo wa kuzipuuza kama...
21 Reactions
69 Replies
3K Views
Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka...
3 Reactions
52 Replies
946 Views
Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya watu wamekuwa wakihoji PODIUM anayotumia Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwamba (haijakamilika) yaani haina Bibi na Bwana pamoja na Mlima Kilimanjaro kama...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukimsikiliza kwenye video clip hapo anasema Tanzania haiwezi kumpigia magoti beberu. Bunge la mwaka 2019; Jana alikuwa huko Ubeberuni kumpigia magoti Under Secretary Of State Tibor Nagy ili...
16 Reactions
51 Replies
7K Views
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu...
28 Reactions
270 Replies
15K Views
Ni vizuri kwamba CCM inakusudia kuandaa mandamano ya amani kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutatua mgogoro katika kata 11 za Tarafa ya Ngongoro. Hii inaonyesha kuwa CCM inaufuatilia kwa...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Baada ya serikali kurejesha huduma za kijamii Ngorongoro na baada ya "mahakama" Kusitisha Tangazo la serikali la kufuta vijiji vyote vya Ngorongoro, bila shaka eneo hilo limerejeshwa kama...
13 Reactions
52 Replies
3K Views
Mimi,wewe au yule?? Kauli yenyewe hii hapa! Mbwa wenyewe hawa hapa! Wenyewe waliambiwa hivi: Swali: Ni mimi,wewe,au yule? Unajiona hapo??
1 Reactions
7 Replies
282 Views
Moderator usniunge na wenzangu kwa ufupi alichokuwa anakuona Mh Rais wetu Leo ni tofauti na alichokuwa anakiona waziri wa ulinzi hahahaaaahha. Hii habari haijakicjekesha?
6 Reactions
4 Replies
380 Views
Back
Top Bottom