Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
https://x.com/Advocate_Jebra/status/1826832748960530808?t=Ns0xeXSyf8gz8naajp4k6Q&s=09
7 Reactions
60 Replies
3K Views
Labda tu kwa uelewa wangu mdogo mnaweza kunifaamisha kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu?
2 Reactions
6 Replies
518 Views
Mwaka 2024 umekuwa mwaka ulioibua utekaji na mauaji yasiyochinguzika. Umekuwa mwaka wa kuzipiga vita 4R kwa minajili ya kukwamisha juhudi za maridhiano zilizokuwepo swali. Umekuwa mwaka ambao...
5 Reactions
11 Replies
410 Views
Ford Foundation ilimpa Fr. Kitima hela akahonga viongozi wa dini laki tano kila siku kwenye semina za elimu ya uraia mwaka 2020; Ford Foundation inampa hela Maria Sarungi kueneza uzushi kwenye...
1 Reactions
30 Replies
727 Views
Ni uzalendo wa maana sana kuitikia wito wa dola, kutii maelekezo, ilani au amri za vyombo vya ulinzi na usalama bila ukaidi, ubishi wala kiburi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.. Jitahidi...
3 Reactions
94 Replies
2K Views
Wapinzani na wanaharakati walikuwa wakihoji kuwa Rais wetu si msikivu. Hata hivyo, leo Rais Samia amemtuma mwakilishi wake wa ngazi ya juu kabisa kuwasikiliza na kuzungumza na Wamasai wa...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Ulazima wa utulivu na amani ya Tanzania ni tunu takatifu inayozidi siasa za vyama vyote, ikiwemo CCM. Ni thamani inayopaswa kuwekwa juu zaidi ya vikao vya NEC na CC ya CCM na vyama vinginevyo...
5 Reactions
50 Replies
752 Views
Pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam ukienda jina la msomi huyu nguli kabisa wa sheria, anayejua Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza na Historia ndio imelala kabisa kichwani, yaani Precedents kwake...
11 Reactions
78 Replies
4K Views
Baada ya kupiga kura za kuchagua viongozi wa TLS, Mhe. Tundu Lissu alitoa hoja inayohusu uandikishaji wa daftari la wapiga kura kwa wananchi wa Ngorongoro. Lissu amesema kwamba zaidi ya watu laki...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu, Hiki ndio ambacho kimefanyika leo huko Ngorongo! Kwani alikuwa hana taarifa kuwa Wamasai wamepewa order ya kuhana? Kwani alikuwa hajui kuhusu wajomba zake wanaokuja kuwekeza? Alikuwa...
2 Reactions
7 Replies
254 Views
Salaam ,shalom!! Tayari zoezi la kuboresha taarifa katika daftari la wapiga kura limeanza, tujitokeze Kwa wingi maana mbeleni hutopata fursa hii adhimu. Haya mambo ya Tindo kugomea kupiga kura...
3 Reactions
10 Replies
433 Views
Awadh Haji ambaye ni Mwajiriwa wa Jeshi la Polisi tu kama alivyo Afande Alphonce anatajwa kuongozana na Mawaziri wa Serikali kama Nani? Hivi kwa mfano Rais ni lini kwenye ziara zake anatajwa...
8 Reactions
39 Replies
1K Views
Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
Amewapongeza kwa umoja uliotukuka.
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Hii issue ya Wamasai kuhamishwa kutoka kwenye makazi yao ya asili imepamba moto kwenye hii awamu. Mkoloni mwenyewe hakuwahi hata kuattempt kufanya hivyo na serikali za awamu zilizopita pia...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
"Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa...
1 Reactions
94 Replies
3K Views
Ukimya wa mamlaka za juu nchini Tanzania kuhusu matukio ya utekaji, upoteaji, na ukatili wa binadamu ni jambo linalozua wasiwasi mkubwa kwa wananchi. Kukosekana kwa taarifa za wazi na hatua za...
3 Reactions
6 Replies
663 Views
Aliyehamishia Serikali Dodoma na kuchangisha hela za kujenga Msikiti na Makanisa ya Chamwino ni wazi ndiye aliyeanzisha Ujenzi wa Ikulu, very simple Shujaa Magufuli aliwapa Chadema Kiwanja cha...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Mfumo wa demokrasia hapa nchini ulianzishwa rasmi mwaka 1992 chini ya Rais Mwinyi akiwa ndiye mwenyekiti wa chama mapinduzi CCM, na ndio kilikuwa chama pekee cha siasa kabla ya hapo kutokana na...
1 Reactions
14 Replies
517 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Mheshimiwa Hamad Masoud amesema kuelekeka uchaguzi Mkuu ndani ya chama hicho ngazi ya Taifa, hakutakua na mgogoro wowote kwa kuwa wanachama hao hawana tamaa...
0 Reactions
8 Replies
388 Views
Back
Top Bottom