Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katika Hali inayojulikana kama maandamano ya kupinga watoto kupotea katika nchi yetu, Kwa Mujibu wa UTV, KUNA kijana ameuwawa Kwa kupigwa rasasi na polisi hapo Jana tarehe 21/08/2024
0 Reactions
3 Replies
598 Views
Huko nyuma waliita "SWOT" ,leo hii ikaongezewa nyama na kuwa "SWOC ".... Kupitia taaluma zenu za sheria hebu mtusaidie kuhusu huyu msomi mwanasheria Laurel Sutherland ambaye amehitimu shahada...
2 Reactions
4 Replies
397 Views
madeni makubwa yasiyoeleweka wala yasiyolipika ni miongoni mwa hatari zinazo zengea zengea kwenye korido za miongoni mwa vyama vya siasa vikongwe na visivyo vikongwe kwenye ulingo wa kisiasa humu...
1 Reactions
4 Replies
239 Views
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema katika miaka 25 ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo (2000-2025) kiwango cha umasikini kimepunguzwa hadi kufikia asilimia 26...
3 Reactions
10 Replies
961 Views
Kwanza yeye ni Rais wa JMT kila mara yuko Zanzibar kuzindua miradi. Kijiji kidogo hicho mapesa yote ndani ya miaka 3 hela ililipelekwa pale ni nyingi sana. Hii ni kwanza ni aibu na kashfa kwa Rais...
3 Reactions
5 Replies
558 Views
Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda. Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala. Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana...
27 Reactions
149 Replies
4K Views
Bonde hili ,crater hii... Maumbile ya "viumbwa" vya Mwenyezi Mungu vinaendeleza maajabu yake hapa kwa ile VOLKANO iliyopo chini yake kuwa "dormant" .Volcano HAIAMKI tena (inactive). Hili...
0 Reactions
3 Replies
349 Views
Wahudumu watoa vyeti bila rushwa utaambiwa; kalete status, mara let's risiti, mara mfumo wa ku-print vyeti unasmbua, baadae njoo kesho. Ukija kesho yake watakuambia njoo jumatano au ijumaa ndiyo...
1 Reactions
6 Replies
325 Views
Citizen tv wameonyesha Maandamano nchini Kenya Watu wakilia na Serikali wapendwa wao wamepotea Hapa Tanzania Mbowe na Othman Masoud wamelia.watu kutekwa na kupotea Lakini Nchi zinazoongozwa...
1 Reactions
7 Replies
237 Views
Leo na mimi kwa ufupi sana nifanye recapitulating ya hii hoja ya Mrithi wa Rais Dkt Samia Suluh Hassan mwaka 2025 au 2030. Kwanza, Kwa mazingira yalivyo Sasa na kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
10 Reactions
82 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Nazungumza Kwa uzoefu wàngu binafsi. Úkiwa mkosoaji wa viongozi wa serikali au serikali Kwa ujumla Bila kujali Nia yako kuwa ni Njema au mbaya, Bila kujali upo Chama gàni au hauna...
1 Reactions
1 Replies
194 Views
Mwalimu Nyerere alisema CCM siyo mama yake na atahama kikikiuka misingi yake lakini Ben Mkapa alibinafsisha Mashirika na Mwalimu Nyerere hakuondoka Sawa na Tundu Lisu aliyeandaa List of shame ya...
0 Reactions
1 Replies
193 Views
By Laurel Sutherland on 18 February 2022 - In northern Tanzania, more than 70,000 Indigenous Maasai residents are once again facing eviction from ancestral lands as the government reveals plans...
10 Reactions
202 Replies
12K Views
RAIS WANGU SAMIA, MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA ANIOMBE RADHI HADHARANI. Mheshimiwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi, Awali ya yote naomba nikupe Pole na...
30 Reactions
433 Replies
33K Views
Kuteka, kuua, kupoteza watu na atrocities zote tunazoziona leo ni watu kutaka ku consolidate power na matokeo yake ni haya ya kukiuka haki za binadamu!
1 Reactions
0 Replies
165 Views
Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024...
37 Reactions
358 Replies
12K Views
Kiukweli mwenendo wa jeshi letu la polisi kwa sasa umekuwa ni mbovu sana,hasa kwa kipindi hiki cha kuelekea kwenye chaguzi mbalimbali. Kuna matukio ambayo yameweza kujitokeza kwenye siku za hizi...
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Kila mlipomsifu kwa utu na kujali raia hasa wanawake neno langu lilikuwa moja Tu, "HAMUMJUI". Namfahamu tangu akiwa msaidizi wa Mkuu wa Matrafiki kipindi kile ilivuma clip mitandaoni aliposikika...
30 Reactions
108 Replies
7K Views
Wasalaam! Katika kipindi hiki cha mabadiliko na changamoto mbalimbali zinazoikabili Tanzania, kuna hitaji kubwa la viongozi wenye maono, dhamira, na ujasiri wa kuleta maendeleo chanya. Mimi, kama...
0 Reactions
4 Replies
230 Views
Back
Top Bottom