Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mpendwa wetu Rais hajatokea kuzungumza au kuonyesha kukerwa na wale askari waliombaka Binti wa Yombo na kuhusishwa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Yaani askari aliyeapa kuwalinda...
0 Reactions
27 Replies
974 Views
Ukiangalia wilaya ya hai kijiji kizima na vitonoji vyake kakabishiwa Mjomba wa Oman. Huu uwekezaji wa kufuta vijijiipo siku watafuta mkoa mzima na kuwakabidhi wajomba, tuendelee kusapoti ujinga na...
23 Reactions
99 Replies
4K Views
Ili uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024 uwe wa haki, mambo kadhaa yanaweza kufanywa: 1. Uwazi na Uadilifu wa Mchakato wa Uchaguzi. Vyombo vinavyosimamia uchaguzi, kama Tume ya Taifa ya...
2 Reactions
1 Replies
293 Views
In a significant demonstration of national unity and political collaboration, a recent photo capturing CCM Secretary General Ambassador Dr. Emmanuel Nchimbi conversing and sharing a moment of...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Hofu imetanda CHADEMA tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon. Imefikia mahali, kila kiongozi...
2 Reactions
114 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama...
11 Reactions
218 Replies
4K Views
'I Can not let my country go to the dogs' Hii ni kauli ambayo haijawahi kutenguliwa, fafanuliwa wala kuhojiwa iliyowahi kutolewa na Mwl. Nyerere dhidi ya akina 'UKAWA' alipokuwa akimfanyia kampeni...
1 Reactions
80 Replies
10K Views
All organisms- whether animals, plants, or microorganisms, produce their own kind through reproduction.
0 Reactions
7 Replies
264 Views
Huyu hapa, Msome mwenyewe namna watu wanavyokwaa vyeo kwa sababu ya Uchawa
16 Reactions
39 Replies
1K Views
Akizungumza kwenye moja ya blog za mitandaoni msanii huyo mkongwe amesema kuwa inayoitwa amani tuliyonayo Tanzania ni kwa vile tu wananchi wamenyimwa elimu ya haki zao. Amesema kwa mtanzania...
55 Reactions
163 Replies
5K Views
Tarehe 16.06.2023 zilisainiwa barabara 8 zaidi ya Km 2200 nchi nzima, ila mpaka leo hii hakuna ht moja iliyoanza kujengwa. Ile ilikuwa ghilba? Walikuwa wanamdanganya nani, kwa faida ya nani...
6 Reactions
5 Replies
492 Views
Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining. Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea: Uhamisho wa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Chawa na walamba asali kwa kupitia yeye wanampa moyo eti atatoboa 2025 ki ulaini kuliko wote walio mtangulia. Wapo walio anza kuwa na mashaka ya jinsia yake ki uongozi na huku wakienda mbali...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Hapa naongelea walimu kwa sababu sekta zingine kama Jeshi kwa ujumla wake na TRA mambo yao yako tofauti. Kumekuwa na dhana nyingi za upotoshaji kuhusu nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
TLS, LHRC , Vyama vya Siasa na wadau wote wa Haki Nchini. Haya Machozi ya Hawa wazazi yasiende Bure . Wakati tunapaza sauti zetu kuhusu yule Binti alobakwa, Tukumbuke hapa Kuna Kijana Mdogo...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza...
4 Reactions
21 Replies
661 Views
Viongozi wa Dini nyingine, kwa nini mnakaa kimya wakati Watanzania wanapitia katika mateso mbalimbali? Kuna suala la Wamasai wa Ngorongoro na suala la kutekwa watu, viongozi mbalimbali wa Dini...
2 Reactions
9 Replies
472 Views
1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake 2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo...
62 Reactions
159 Replies
12K Views
Ukipita mitandaoni utaona baadhi ya vijana wanavyolalamika bila Sababu Wanamlaumu Rais magufuli kwamba maisha magumu Ati zile maisha magumu zimeripotiwa na Rais wetu mpendwa Tuliobahatika...
90 Reactions
557 Replies
30K Views
Back
Top Bottom