Mpaka ifike 2020 watanzania watatambua magufuli ni nani, tujuao magufuli si mwanasiasa na yupo kiutendaji na kibaya zaidi anaamini alichokiamini hakina mapungufu ,ushahidi mwingi upo wakati...
Ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba Tundu Lisu na Shujaa Magufuli wanafanana katika mambo mengi ikiwemo Ujasiri, Kujiamini, Ubabe, Upendo na One Man Show
Tofauti yao ya Msingi ni Moja tu Kwamba...
AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...
Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
Tabora kutumia maji ya Ziwa...
Zitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana...
Jana mzee Mkapa alimwaga radhi, CCM nayo ikamwaga radhi.
Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, alipopata wasaa wa kuhutubia maelfu ya wanachama wa CCM waliokuwa uwanjani wa Jangwani, alirusha...
Nimetafakari, nikaona nipate pia mawazo wanafikra weledi juu ya baadhi ya kauli zenye utata za viongozi kwa wananchi
Je, huu ni uungwana kweli?
Kauli tata za vingozi wa Tanzania
Mtakula nyasi...
Ili kupunguza makali kwa wanzazibari Rais Samia kwa kushirikiana na Mwinyi jengeni bara ya lami kuunganisha Unguja na Bara.
Hii itasaidia maroli na vyakula kutoka bara kwenda kuingia kwa urahisi...
Kuna mambo Mwendazake alituachia inabidi tuyaenzi kwa manufaa ya Taifa letu.
Kwa bahati mbaya Sana Siasa za ndani na nje ya CCM zinataka kutupofusha tusione mambo ya Msingi ambayo yanabeba...
Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2024, je, utashiriki katika Kupiga Kura?
Kama ndiyo/hapana kwanini?
JamiiForums inakukaribisha kushiriki katika Mjadala...
Kuna mambo yanastaajabisha sana. Huyu ni waziri anayepaswa kusimamia majukumu ya OR-TAMISEMI ambapo Majukumu ya OR-TAMISEMI yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali...
Mara kwa mara Shujaa Magufuli alikuwa akisema amejitoa Sadaka Nchi ipone kwani ilikuwa imechezewa sana
Chadema wakamfanyia kila hila wakisaidiwa na Zitto Kabwe
Lakini sasa tunakula Matunda ya...
Kutumia risasi za moto kutuliza vurugu si sawa. Hasa kwa chombo ambacho wananchi wanadhani kimeundwa kuwalinda na kuwaonyesha njia ya amani.
Hakika damu haiendi bure, roho zinazotolewa kabla ya...
Inabidi tuanze kujifikirisha tena kidogo kwa fikra yakinifu dhidi ya Faida na Hasara za Uhusiano wa kidplomasia na Mataifa yenye Migogoro ili tusije kuingia kwenye kaburi ya Halaiki lililochimbwa...
Baada ya mwanaharakati na mtungeneza maudhui Fortunatus Buyobe kudai kuwa SSP Fatuma Kidongo ndio anayetajwa kama afande na wabakaji wakati sio kweli mwanasheria wa familia amedai kuwa mteja wake...
Hivi Watanzania wanaelewa mifumo ya uongozi? Kama hawaelewi huko shuleni wanajifunza nini? Kila Jambo hata Mambo madogo ya kifamilia utasikia mtu anamlilia Rais.
Mtu akitembea na mke wa mtu...
Nimelia sana, nilipoiona hii taarifa.
---
Kuna upotoshaji umeenea kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndiyo ina wajibu wa kuendesha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya...
Kwa mara ya Kwanza baada ya Uhuru Tanzania imepata Rais Samia apewe maua yake.
Serikali ya Rais Samia imeandika Historia nyingine ya ubunifu kwa kusaini kuanza ujenzi wa barabara za kuu za lami...
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema wakati wowote kutoka Sasa Serikali Kupitia TanRoads itasaini mikataba 15 ya Ujenzi wa Barabara na madaraja Nchi nzima tukio ambalo Litashuhudiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.