Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mzee Cheyo wa UDP anahmia Machawa kama akina Lucas kuteuliwa Kuwa Wakuu wa wilaya, Mzee Cheyo anajisahaulisha Kuwa zipo Taasisi nyingi za Umma na binafsi ambazo ni chawa wa CCM kikiwemo Chama...
2 Reactions
14 Replies
399 Views
Taswira ya nchi yetu kimataifa imechafuka sana ndani ya kipindi cha miezi miwili iliyopita kuliko wakati mwingine wowote tangu 2021, na tunakoelekea inaonesha hali itakuwa tete zaidi. Suluhisho...
0 Reactions
2 Replies
275 Views
Mwenye fununu za sifa za kuwa Judge wa Mahakama ya Rufaa anisaidie kujua kama Feleshi kama ana professional qualifications /anastahili au ni zawadi kutoka kwa mama. Sijwahi ona HUKUMU ya Feleshi...
0 Reactions
18 Replies
802 Views
SGR treni ya mwendo kasi msli ya serikali asilimia 100 kila mtu anajisikia hamu na raha kuipanda kuanzia Raisi ,mawaziri,wabunge,majaji,matajiri na watu wa.kawaida.Wote wanapenda kusafiri nayo na...
3 Reactions
10 Replies
390 Views
Ushauri kwa Mwabukusi. Usicheze na jukwaa jikite katika MALENGO YA KUANZISHWA KWA TLS Kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya TLS sura ya 307 malengo ya kuanzishwa TLS ni: (a)Kulinda na...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Jamhuri ya muumgano wa tanzania imemteua Afisa habari wa Yanga SC, Ally Kamwe kuwa balozi atakayehusika kutangaza na kuelimisha jamii juu ya fursa za zabuni...
4 Reactions
9 Replies
601 Views
Tunaposifia kuupiga mwingi tujihoji kabla ya November 2024 na 0ctober 2025, miradi mkakati hasa ya miunddombinu ambayo kukamilika kwake kungechechemua uchumi wa Nchi imesimama, wakandalasi...
1 Reactions
2 Replies
243 Views
Wanajukwaa Asalam Aleykum. Mwenzenu sijambo, japo kuna jambo bado linanitatiza. Bado natafakari ujumbe uliosheheni kwenye mashairi aliyoimba Naibu waziri wa Michezo leo. Kati ya mashairi hayo...
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya CHADEMA Mikocheni amesema Kwa mwaka huu (2024) na sehemu ya mwaka jana (2023), wako Watanzania zaidi ya 200...
3 Reactions
10 Replies
814 Views
Chini ya uongozi wa maono wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaingia katika enzi mpya ya maendeleo na ustawi kwa kuzindua huduma za treni za Reli ya Standard Gauge (SGR). Mafanikio haya...
1 Reactions
16 Replies
761 Views
Wakuu, Naimani mlikutana na mabango haya yanayoelezea vingozi wa CHADEMA kufanya mkutano na waandishi wa habari, moja likiwa sahihi na mawili yakiwa ya uongo kuwapoteza watu na kuwagawanya...
0 Reactions
1 Replies
197 Views
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho. Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
21 Reactions
222 Replies
11K Views
Jirani zetu wa Kenya kisiasa wako mbali sana Wakati Kibongo bongo Shujaa Magufuli alimbania Kamilius Membe kwenda kugombea Uongozi wa Jumuiya ya Madola huku wakiwa Chama kimoja hapo Kenya Ruto...
1 Reactions
1 Replies
204 Views
Ni ngumu sana kutetea wananchi ambao utatekwa, utateswa, utapotea au utapigwa risasi wao hawatambui mchango wako wataendelea kupiga kelele nyuma ya keyboards na story za Simba na Yanga...
1 Reactions
3 Replies
214 Views
Muda si mrefu nitaweka vielelezo halisi vya ukiukaji mkubwa wa sheria
0 Reactions
6 Replies
438 Views
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro. Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka. Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto...
56 Reactions
253 Replies
5K Views
Loliondo FM Loliondo FM Habari za Jumla Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi 7 May 2024, 11:17 am Mwenyekiti wa bodi...
0 Reactions
3 Replies
561 Views
https://www.youtube.com/watch?v=Ibe4QGL-jQc Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Suluhu Sports Academy Mkunguni- Kizimkazi Zanzibar, leo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Swali, Kama kweli Mnyika Kajiuzuru barua yake iko wapi? Pia soma Tetesi: - Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom