Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mambo mengine ni Siasa za kishamba sana Kuisemasema Chadema kila dakika ni kuwafanyia Promo ya bure nyie CHAWA muelewe hilo Inakera sana 🐼
9 Reactions
15 Replies
611 Views
Kwanza ieleweke 2025 chama cha mapinduzi kina nafasi kubwa ya kuanguka kwenye uchaguzi mkuu. Endapo kama mama sa100 ndo atapewa nafasi ya kupeperusha bendara ya CCM kazi itakuwa nyepesi sana ya...
16 Reactions
64 Replies
3K Views
Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya...
37 Reactions
136 Replies
6K Views
Fuatilia tu tangu enzi za akina Mwangosi, Mo Dewji, Roma Mkatoliki, Ben nk utagundua Watu wanaopotea huwaga ni wale Akili kubwa, Wenye Maarifa na Ujasiri Kwanini mbumbumbu na CHAWA hawapoteagi...
4 Reactions
13 Replies
335 Views
Litakuwa jambo la mbolea mkifanya hivyo na you will win credt for that!
0 Reactions
1 Replies
95 Views
ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa,Othman Masoud Othman Mfumo wa sasa hivi kwamba Polisi wanapokea amri hasa ngazi ya Mkoa na...
1 Reactions
1 Replies
299 Views
HOSPITALI ZOTE NCHINI ZAAGIZWA KUHUDUMIA MGONJWA KWA MASAA YASIYOZIDI MATATU Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia...
5 Reactions
44 Replies
1K Views
Kutokana na kauli hiyo leo Rais anachelea kuchukua hatua au kukemea maovu yanayofanywa na wasaidizi wake ili asionekane hana msimamo kwenye matamshi yake kuwa ‘Yeye ni Chura Kiziwi’. Kwa...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Diwani wa kata ya Maboghini Moshi vijijini kwa tiketi ya chadema ambaye pia ni mwanasheria wa kujitegemea mjini Arusha ndugu Albert Msando, ametangaza kupambana na watu wote wanaomsema vibaya...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Binafsi kwa ufupi sana naweza kusema kama ifuatavyo: Strength: Tundu Lisu ni Kiongozi anayejiamini, Jasiri, Mwanasheria nguli na wakati wote hupendelea kutetea Wanyonge hivyo ni Mtu...
9 Reactions
59 Replies
1K Views
Tangu hukumu ya Mpina itolewe pale Bungeni, vijiwe na maeneo yote yenye mikusanyiko wanamlilia Mpina na wamewachukia kabisa wanaojiita Wabunge. Zaidi ya 98% wanaona Mpina hakutendewa haki. Zaidi...
14 Reactions
41 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia hivi punde wakati tunaingia mitamboni Haijulikani nini kitakachozungumzwa, unachotakiwa kufanya wala si kigumu, ni kuendelea kubaki hapa hapa JF
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya...
4 Reactions
71 Replies
3K Views
Moja ya faida kubwa ya kamata kamata ni kutia watu hofu. Kamata kamata siku zote uishia kwa wenye fedha siyo maskini pekee. Hakuna mtu ataaingika na kiumbe asiyetoa chochote lazima uwepo...
0 Reactions
3 Replies
799 Views
Kwenye siasa wanasiasa huibua misemo ambayo mingine huja kuwa sehemu ya Lugha husika. Mchungaji Christopher Mtikila alileta misemo ya "Gabacholi" na "mlalahoi" na la mlalahoi linatumika mpaka...
2 Reactions
5 Replies
507 Views
Vijana ni kama wamewehuka hasa kwa sasa wamebaki wanasubuli tu mwabukusi amesema nini leo ili iwe topic siku nzima Hawajui kuwa selikali inaweza kuamua kulifuta hata hili li TLS likizingua
2 Reactions
13 Replies
379 Views
Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa ujenzi unaoendelea ya barabara ya lami hapa Mtaa wa Mwananchi Kata ya Mahina. Mkandarasi JASCO anatakiwa kujenga madaraja madogo yanayoingia kwenye...
0 Reactions
1 Replies
292 Views
Nchi yetu tangu 1960 baada ya wakoloni kutuachia nchi yetu kulikuwa na vitu vinaitwa miiko!! Kulikuwa na tamaduni zetu na haki ya watu kuishi kulingana na tamaduni zao!! Seke seke la Wamasai...
15 Reactions
52 Replies
1K Views
Nimeangalia conventions mbili za vyama vya siasa Marekani na pia huwa naangalia mara kadhaa mikutano yao ya kisiasa, kinachonishangaza ni kama huwa hakuna kauli za hamasa za ki-vyama kwenye...
8 Reactions
42 Replies
1K Views
Uamuzi wa serikali wa kuhamisha jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni hatua yenye msingi wa kisheria na kisiasa, inayolenga kulinda maslahi ya taifa pamoja na kuhifadhi mazingira...
10 Reactions
70 Replies
3K Views
Back
Top Bottom