Kwa Taarifa tu Hawa Makatibu wa Kanda ndio Injini ya Chama kwenye Kanda hizo, hawa ndio Watendaji hasa wa Chama na ndio Walinzi wa Mali na Nyaraka za Chama, Hateuliwi mtu wa hovyo tu kuwa Katibu...
Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo mh Othman Masoud kesho ataongea na Waandishi wa Habari.
Kadhalika Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Tanganyika mh Freeman Mbowe...
Mkurugenzi wa Chadema mh John Mrema amesema kada wa CCM Mchungaji Msigwa hana hadhi ya kujibiwa na Chadema
Mrema amesema Mchungaji Msigwa anakopi Hoja za Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe alizotoa...
Japo alikua anazungumza na waalimu ila aligusia mambo mengi ambayo hata wakati huu yanatuhusu sana.
Nukuu niliyoipenda ni ile ya maskini ama mnyonge hana cha kupoteza inapokuja suala la kudai...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amepokea mwaliko rasmi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete amesema Watu Wengi hufikiri Demokrasia ni Uchaguzi kumbe siyo bali Demokrasia ni zaidi ya Uchaguzi kwani ina mambo mengine mengi
Mzee Kikwete amesema kukiwa na...
Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu...
Bado nayakumbuka maneno aliyokuwa akiyatamka mara Kwa mara, Rais wa awamu ya 5, Mwendazake John Magufuli kuwa nchi hii ni tajiri sana, ambayo inaweza hata kuwa ni mfadhili wa nchi nyingine, badala...
Kuna utumwa wa aina nyingi ukiwemo wa fikra, ngono, kutumikishwa na pia huu wa siasa ambao Msigwa na Peneza ndo unawahusu
CCM sasa hivi kazi yao ni kuitisha mikutano halafu wao wanakaa background...
Tanzania bara tuna rate ndogo ya udini lakini tunakokwenda siko, tukiyapuuzia tutajifunza kwa consequences.
Kuna video naiona baadhi ya miradi kama Airport wanaanza kuweka vyumba maalum kwajili...
Mwaka 2006 vijana watatu ndugu wa familia moja ambao walikua wafanybiashara wa madini kutoka Mahenge mkoani Morogoro pamoja na dereva taxi wao waliuawa kikatili na serikali ya CCM chini ya agizo...
Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa
Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii...
Tatizo watanganyika wameisha jimilikisha jina na nchi ya Tanzania na wameuvaa Utanzania haswa kuliko Wazanzibar.
Wanadhani Wazanzibar ni Watanzania na wanajali hata kuhusu huo Utanzania na mambo...
Mwabukusi na "PC" yake anapotosha ukweli...
Anawaita ndugu zetu kuwa ni WAMASAI...hapa anaunga mnyororo wa WAPOTOSHAJI WA NDANI NA NJE.
Hii ndio FIMBO YAO KUBWA....wengi wa watanzania wenye...
Naandika kifupi Sana kushauri juu ya utendaji wa Waziri huyu ambaye tangu akiwa naibu Waziri alionyesha kiwango cha chini Sana cha uwajibikaji. Ukipita Kila mtandao utakutana na Malalamiko ya...
Rais Samia amezitaka Jami zinazoishi maeneo yenye Vivutio vya Utalii kuendeleza Mila na Desturi za maeneo hayo Ili kulinda Heshima ya Mila hizo na kuendelea kuvutia Watalii
Source: Clouds media
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.