Hakuna namna kwa hali ilivyo fomu zaidi ya moja haikwepeke kama kweli CCM watanganyika wanatupenda watanganyika wenzao. Mambo ni magumu sana huku bara.
Ajira kiduchu, Hata Kinana anajua...
WAZIRI KAIRUKI AKAGUA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA MSOMERA
Asisitiza Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu inalenga kuboresha maisha ya wananchi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki...
Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari kwa kile wameita kugumbia...
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo...
Nimefuatilia mitandaoni nyendo za RPC Dodoma aliyeondolewa, nimefuatilia kuona mahusiano yake na jamii pamoja na utendaji kazi wake. Nachelea kuamini kwamba katika kinywa kile maneno...
Habari wananzengo,
Tumesambaziwa barua na Chama cha Mapinduzi kutuomba kuchangia kuboresha zoezi la kulipa kura, lakini mie nahisi harufu na rushwa na kupigwa maana daftari ya kupiga kura...
Najua serikali inajua kwamba TLS wanaenda kufanya kazi ya uchochezi Ngorongoro, hivyo haitawaruhusu. Nshala ni mwanachadema kindakindaki
Dk. Nshala na Lissu walikuwa viongozi wa LEAT-Lawyers...
===
Mbunge wa Rufiji ambaye pia ni Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika jimbo lake hakitapotea kijiji hata kimoja kwenda Upinzani katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa hapo mwakani...
CCM Kwa katiba iliyopo bado mtaiba kura na mgombea wenu atapita. Ushauri wangu kuwenu serious basi badilisheni gia angani huyu mama akacheze na wajukuu Kizimkazi, hali siyo kabisa serikalini...
Kuwa na viongozi wenye misimamo mikali ndani ya Tanganyika Law Society (TLS) kunaweza kuleta athari kadhaa mbaya kwa chama hicho, ingawa pia kuna faida. Hapa chini ni baadhi ya athari mbaya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa jamii zinazoishi maeneo yenye vivutio vya Utalii, kuendeleza mila na desturi za maeneo hayo ili kulinda heshima...
Waziri Kombo aagana na Balozi wa Ufaransa na Uswis hapa nchini.
Waziri wa Mambo ya Nje ma Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameagana na aliyekuwa Balozi wa...
Gavana wa Kaunti ya Kajiado Joseph Ole Lenku amekosoa kauli ya Rais Magufuli kuwa Tanzania sio shamba la kufugia mifugo.
Ameelezea jamii ya Wamasai upande wa Kenya na Tanzania wamekuwa na...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amemtaka Mwandishi nguli wa Habari Chief Odemba aende Makao makuu ya Chadema Mikocheni akamuulize Katibu mkuu mh Mnyika zilipo Fedha za Join the Chain...
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo...
Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee.
Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa...
Kigezo kimojawapo cha kugombea urais Tanzania ni mgombea kuwa na angalau kiwango cha elimu cha degree moja, pia huwa kuna rumours mtaana kwamba Freeman Mbowe aliishia kidato cha sita tu, sasa kama...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa amesema ya kuwa ajenda ya nishati bora ya kupikia ni ajenda ya Afrika na ni ajenda ambayo ameianzisha yeye na yeye ndio champion katika kuchochea ajenda...
Kwa kuwa latra wameshindwa kusimamia bajaji na bodaboda japo wanawapa leseni, kuna uhumuhimu wa kuwa na chombo cha kudimamia hawa vijana maana wasipo simamiwa na janga la taifa.
Bajaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.