Salaam Wakuu,
Rais Samia ameonesha Ushujaa ukomavu mkubwa na Ushujaa wa nguvu, kumteua Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi.
Kutokana na ajali kuongezeka...
Duru ndani ya corridor za Umoja wa Ulaya hapa Nchini hivi karibuni unatarajia kutoa tamko la kusikitishwa na ukiukwaji haki za binadamu wa kutisha wanaofanyiwa Wamasai kule NGORONGORO.
Kiongozi mkubwa yupo wizarani zaidi ya uhai wake hapa duniani.
Anasimama jukwaani na kuwaambia vijana wa kitanzania hasa masikini kabisa kuwa maisha mema yanapatikana shambani.
Huyu Simbachawene...
Kampeni hazijaanza lakini mambo ni motoo, yaani kila anayepata nafasi ni mwendo wa kujipigia chapuo tuu, kama hakupeleka alivyosema atapeleka jimboni huu ndio muda wa kuviwasilisha!
Wacha...
Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
Pamoja na juhudi na nia njema za Serikali, kumekuwepo na makundi mbalimbali yanayopokea fedha kutoka nje ili kufitinisha Wamasai na wananchi dhidi ya serikali.
Mfano wa hili ni taasisi ya Mwanzo...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua na kuweka mawe ya msingi miradi nane yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni moja iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni kuelekea katika Tamasha la...
RC CHALAMILA ATIMIZA AHADI YA KUKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA SIM 2000
-Awakutanisha DART, Manispaa ya Ubungo na Wafanyabishara wadogo.
-Aeleza dhamira ya Serikali kutekeleza mradi huo
-Asisitiza...
Kwa msaada wa wiki pedia
Viti maalum vya wanawake ni nafasi bungeni zinazotolewa kwa utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali na unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika...
Usijasahaulishe, Zama zako ulikua hugusiki enzi hizo unalamba asali ndani kwenye kiyoyozi Sasa zamu za kina Napepe na February.
Tulia ujipange upya 2040, kuimba kupokezana.
Asante
Watumishi wenye ajira na ujira ni miongoni vya vyanzo vikuu vya kusambaza fedha kwenye jamii wakati wanapofanya matumizi na manunuzi yao kwa kutumia mishahara yao wanayopata kila mwezi.. Kundi...
1. Kupenda sifa kulikopitiliza na kutokubali kukoselewa au kuchagua aina ya ukosoaji.
2. Kuzungukwa na watu wabaya sana ambao walitesa na kuwafanyia vurugu wenzao kwa kujua wanaye "Godfather"...
Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, napenda kuchukua fursa hii kukuandikia barua hii ya...
Katika mjadala uliofanyika katika mtandao wa clubhouse, Lissu alipata fursa ya kuongea na watanzania juu ya mambo mbalimbali ya kisiasa ya ndani ya chama chake na nje ya chama chake.
Kijana...
Nimeona leo TRA wamekuwa wafhamini wa ndondo cup.. watasema sijui wanataka kujitangaza?
TRA wanafanya biashara gani? Pesa za walipa kodi ndio wanatumia kwa upuuzi huu?
Sijasema ndondo cup ki...
1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii.
2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99.
3. Wamasai wamesaliana...
2015
2008
Mh. Mizengo Peter Pinda
Waziri Mkuu wa Kumi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa . Aliteuliwa tarehe 7 Februari, 2008 na...
Tumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi.
Anachofanya Samia ni...
Kwa hali halisi na mazingira ya sasa ya uelekeo wa upepo wa kisiasa nchini ni dhahiri kwa miaka kumi ijayo, wanawake wana nafasi kubwa mno, hasa kwa nafasi za juu za uongozi wa nchi kisiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.