Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza.
Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji...
Kama kitaandikwa Kitabu cha Maisha ya Shujaa Magufuli basi hayo mambo Mawili nadhani Ndio alipojichanganya.
Hili la Viongozi kutoka Mbweni na Escort hadi Posta kiukweli linatusababishia usumbufu...
Marekani yazipa kampuni nchini dola milioni 8.3
SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la (USAID), imetangaza kuwekeza dola za Marekani milioni 8.3 kwa kampuni tisa za...
Update ya Msiba wa Mwana JF Mwenzetu, William Malecela (Le Mutuz).
Kwanza natoa pole sana kwa familia ya Mzee John Malecela kwa msiba mkubwa na mzito wa mtoto wake, William Malecela, kwa jina...
Ukifuatilia historia yao enzi ya mkoloni, ardhi yao ilipunguzwa kwa asilimia 60 kwa upande wa Kenya na Tanzania kupisha makazi ya kudumu na kilimo kwa wazungu na leo ni waarabu.
Serikali hii ina...
Wataalam wa mambo ya Bunge, Uwakilishi na Uchaguzi naomba kujua mbunge wa Ngorongoro kwa sasa anawakilisha akina nani
Ahsante sana 😂
cc: Pascal Mayalla, The Big Show
Ni angalizo tu maana sisi Wakongwe tulishuhudia mengi wakati wa uanzishaji Vijiji vya Ujamaa
Kila Mtu amefinyangwa Kwa udingo wa asili yake na Hapo ndipo ulipo ugomvi wa Israel na Mafala (...
Amboseli inamikikiwa na wamasai na wana hisa pale, the same na Masai Mara ambayo asilimia ya mapato inabakia kwa ajili ya wamasai wa Narok, Kuwahamisha pale ni labda kuazima Mabomu ya Nuclear...
Hii si nchi ya kusadikika uliyoisoma kwenye kitabu cha Hayati Shaban Robert, wala si nchi ya Wagagagigikoko na Mfalme wake Huihui dikiteta aliyepigwa na mgeni Bulicheka na akapoteza ufalme.
Hii ni...
Huyu mama RPC Theopista Mallya unashangaa alifikaje kuwa askari afisa mwandamizi polisi. Kama kuna kulalamikiwa sana jeshi la polisi ni aina ya askari auofisa kama huyu.
Si tu ameliaibisha Jeshi...
Boss lady atambue, hana uwezo wa kupambana na hila za wafitini wakimwamlia.
Kasi yake ya kuongeza u hasama inaendelea kushika kasi kwa mwendo kasi wa ajabu!
Kasi yake ya kujiongezea maadui...
Sijui mantiki au logic ya kununua magoli ni ipi, ila ninacho jua kuna makumi kwa maelefu ya Watanzania wanataabika sana mtaani unaweza zania nchi haijapata uhuru, Raia wanaaugulia majumbani hawana...
Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoriki Tanzania Daktari wa Falsafa na Padre ndugu Kitima amesema si haki na ni udhalilishaji wa wazi wanafanyiwa Wamasai wa NGORONGORO kwa kunyimwa haki...
Jana Mchana DW SWAHILI katika Kipindi cha meza ya Duara waliwaalika wanasiasa watatu nchini Tanznaia akiwemo John Pambalu Mwenyekiti wa BAVICHA, Steven Wasira Kada wa CCM, na Abdul Nondo...
MSOMERA PAMENOGA, WAMASAI WAENDELEA KUISHUKURU SERIKALI
Jamii ya wamasai waliohama Ngorongoro wafurahia Maisha ya Msomera.
Wakazi waliohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la Hifadhi ya...
Akiwa anazungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo August 20 Rais wa TLS amewataka Jeshi la Polisi kutoka mbele na kueleza wamefikia wapi uchunguzi wao kuhusu orodha ilie iliyotolewa kwa...
Katika tumbuzi za hivi karibuni kuna waliopiga kimya na kuna waliosema "nimeupokea utumbuzi kwa moyo Mkunjufu"
Kiukweli wale waliotubu kupokea utumbuzi kwa moyo Mkunjufu hawafai kuteuliwa tena...
Salaam wanabodi,
Awali nipongeze walipa kodi na waasisi wa wazo la ujenzi wa Sgr nchini. Japo ni mwanzo ila tuseme ukweli ili maboresho yafanyike. Natoa experience kwa reference ya kituo cha...
DP World imesema inaendelea na Mpango wake Kabambe wa kuwekeza kwenye usafari na Uendeshaji wa Bandari-Afrika ,plan itayogharibu $2bilion.
Imetangaza rasmi kuingia DRC Congo ambako inapanga...
Wanunuzi waitaja TRA chanzo cha utoroshaji wa dhahabu
Ijumaa, Agosti 16, 2024
Kamishna wa Mamlaka ya mapato nchini (TRA) akizungumza na wafanyabiashara mjini Geita katika kikao kilicholenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.