Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Najiuliza sana ni nani aliyeweka huu utaratibu wa kuripoti matukio ya kiuhalifu ?Je utaratibu huu unasaidia nini,? Lengo la kuripoti matukio haya ni nini? Nani aliyeweka format ya kuripoti.? Kwa...
0 Reactions
3 Replies
330 Views
Walizoeleka kukiteka chama kipindi cha nyuma kidogo. Yaani walijidai kuisifia CCM ili wapate uongozi huku wakijivika umaarufu ..eti CCM ikiwatosa watahamia Chadema. This time around hakuna chama...
1 Reactions
10 Replies
254 Views
Baada ya RPC wa Dodoma kutoa kauli inayoonekana kuhalalisha kitendo cha binti kubakwa, watu wengi wakiwemo wanasiasa na wanaharakati, wamelaani kauli ile na kutaka RPC awajibishwe. Hata...
9 Reactions
87 Replies
3K Views
SUGU YUPO MAHUTUTI HOSPITALI, DAR ES SALAAM. 1.Sugu anaongea kwa taabu sana na Sauti ya chini sana, kutoka Hospitali binafsi aliyopelekwa leo asubuhi. 2.Sugu alivamiwa na kupigwa na Kamishna wa...
19 Reactions
281 Replies
15K Views
1. Haya mambo ya Ticket za karatasi ndio maana watu wanapanda Dar-Dodoma kwa 1,000 Tsh. 2. Weka mfumo wa kulipa kwa Kadi maalum ya SGR mtu ana-scan gate linafunguka na akifika hatoki mpaka a-scan...
5 Reactions
6 Replies
359 Views
Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa...
10 Reactions
87 Replies
3K Views
Na Mwandishi Maalum, New York, Marekani Nchi ya Tanzania imeshiriki mkutano mkuu wa 78 wa Umoja wa Mataifa ulioanza 25 Septemba, 2023 katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanabodi Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama...
32 Reactions
61 Replies
3K Views
Kwamba sasa mazingira ya kufanya kazi za siasa ni sawa, lakini kuna uhuru wa kufanya siasa bila mipaka, vizuizi wala vipingamizi ilimradi tu kufuata na kuzingatia sheri na kuzitii bila shuruti...
2 Reactions
54 Replies
778 Views
YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) Mhe. Waziri wa Afya, Katibu Mkuu wa Afya, Mkurugenzi Mkuu wa NHIF...
2 Reactions
3 Replies
611 Views
Basi sasa, Ee Mungu wetu, yasikilize maombi ya mtumishi wako, na dua zake, ukaangazishe uso wako juu ya patakatifu pako palipo ukiwa, kwa ajili ya Bwana. Ee Mungu wangu, tega sikio lako, ukasikie...
7 Reactions
17 Replies
649 Views
DKT MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA MAJI USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI BAHI-DODOMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Philip Isdori Mpango Leo Agosti 19, 2024...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Hawa wabunge huwezi wasikia kwenye swala lolote la kutetea Wasai wenzao wanao taabika na wanao kuwa wakimbizi chini ya utawala wa kikaburu wa CCM, hawa wanangoja vipindi vya kampeni vifike...
2 Reactions
12 Replies
499 Views
Katika maboresho ya SGR na kuongeza wigo wa huduma, ningeshauri iongezwe treni itakayokuwa inabeba magari madogo. Niliwahi kuona treni ya namna hiyo ikifanya kazi Ulaya. Imagine unasafiri kwenda...
10 Reactions
14 Replies
584 Views
Anaandika: Martin Maranja Masese, Mtikila Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi... Eneo...
5 Reactions
5 Replies
666 Views
Hii Injiii, ama kweli akili ya Mtanzania huwezi kuíkuta Mahali popote hapa Duniani. Naombeni mniitie Huyu Mkurugenzi msaidizi wa Ofisi ya Mashitaka. Jamaa ambaye ni Msomi wa Sheria na kuaminika...
1 Reactions
1 Replies
368 Views
Hiyo Mbinu ya Wamasai wa Ngorongoro waliyotumia Leo itaisumbua mno Serikali. SERIKALI italazimika kuangalia upya sera yake ya kuwahamisha hao Wamasai vinginevyo utalii kwa maeneo ya Serengeti na...
17 Reactions
54 Replies
3K Views
Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu. Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
10 Reactions
109 Replies
5K Views
Nimeenda brela kusajiri biashara yangu tabutubu limited, nimetakiwa kujaza form ambayo inanihitaji niweke nida namba na nimeulizwa maswali kibao utadhani namba ya nida nimeiba.. Nimeulizwa kijiji...
2 Reactions
4 Replies
497 Views
Wakaazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa ya CHADEMA kumjulia hali baada ya kurejea kutoka Dar es Salaam https://m.youtube.com/watch?v=2wVM_yYq-AU ambapo alipelekwa chini...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom