Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wanabodi, Leo naomba niwaendeshee semina fupi ya somo linaloitwa psychoanalysis. Hili ni somo la kuisoma mienendo ya binadamu ikihusisha tafsiri za kisaikolojia za maneno na matendo...
40 Reactions
96 Replies
16K Views
Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Amemmiminia sifa na pongezi Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu...
2 Reactions
63 Replies
1K Views
Mimi niliiona hii risk tangu mwanzo nikaongea hapa chini; Maoni: Kurugenzi ya mawasiliano ya Rais Ikulu, kwenye hizi taarifa zenu kwa umma hapa JF naona kuna risk Badala ya kuruhusu kama haya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kiukweli tangu nianze kusali mara 3 kila siku yaani Morning Glory, Lunch time na Evening Glory nimeuona Utukufu wa Mungu wa mbinguni na nimejazwa Roho Mtakatifu tena na tena Ninawapongeza sana...
8 Reactions
24 Replies
631 Views
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kuweka rekodi katika Jimbo la Vunjo ya kufanikisha kuanza kwa ujenzi wa daraja linalounganisha vitongoji vya Msufini na Kisimani...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Naomba Ufafanuzi wa hii kauli wa Kiongozi namba 2 wa Chadema kwamba Yeye hawezi kujiunga CCM kwa sababu Ana Akili TIMAMU Lisu anamaanisha nini? Kwa mfano Lucas na Suphiani hawana Akili TIMAMU...
22 Reactions
98 Replies
2K Views
January Makamba, Mwigulu Nchemba,Nape Nnauye, Ridhiwani Kikwete na Hamis Kigwangala ukitazama vizuri ni baadhi ya vijana wa CCM ambao ama walikuwa "wanaandaliwa" au "kujiandaa" kutoa uongozi...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakili Msomi Tundu Antipas Lisu amesema Uchaguzi wa TLS ulikuwa Huru na Haki kama ilivyo kawaida yao miaka yote. Lisu amesema Jukumu Kuu la TLS ni kusimamia Utawala wa Sheria nchini na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya.. Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji...
12 Reactions
166 Replies
10K Views
Polisi Tanzania limekuwa jeshi ambalo linaweza kubambika kesi kwa yeyote wamtakae na lisihojiwe na chombo chochote. Wameenda mbali wanaua mtu yeyote hasa wafanyabishara endapo wataona ana mali...
17 Reactions
62 Replies
5K Views
Hizi ngojera za kila siku kuhusu huyu mtoto aliyedai kulawitiwa na RC Nawanda ifike wakati ziache kukihusisha Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake. Si-CCM Wala Serikali ya CCM wanaoagiza...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Ameburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke Bado haijajulikana kama ataswekwa...
21 Reactions
300 Replies
34K Views
Al Jazeera nao wameanza kutumika? Nashindwa waelewa. Mbona hawa report vizuri hizi taarifa za Mayahudi? Hapa ni kama wanaelezea kwa furaha kupigwa kwa Maarabu. Ritz Papa anasemaje leo? Irani...
0 Reactions
3 Replies
293 Views
Lipumba na Cuf yake walikuwa wa moto sana kipindi cha Mkapa, kulituhumiwa kuwa chama chenye mrengo wa dini ya kiislam, walimpelekesha Mkapa kwelikweli akateua muislam Omary Maita kuwa IGP...
4 Reactions
12 Replies
818 Views
Ikifika mwezi wa 7 , kuna ‘mbuzi’ wawili au watatu watatolewa kafara, hii ni kwa decoding binafsi ya mtiririko wa matukio takriban matano hadi kumi niliyoya -observe, na inanipelekea kuamini...
37 Reactions
103 Replies
10K Views
Walisema tembea uone mengi pia uliza ujifunze. Katika zoezi la CCM kusajili wanachama wake, kuna mengi wananchi wanaojitokeza kuandikishwa hawajui au wamefichwa. Wengi wanaenda na kadi za tume ya...
1 Reactions
16 Replies
586 Views
Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote. Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata...
1 Reactions
65 Replies
9K Views
TANZANIA YAKABIDHIWA UENYEKITI WA SADC ORGAN TROIKA Mkutano wa Kawaida wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) tarehe 17 Agosti, 2024 umekabidhi jukumu...
1 Reactions
8 Replies
586 Views
Salaam Wakuu, Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama...
22 Reactions
380 Replies
23K Views
Back
Top Bottom