Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tundu Lissu kupitia akaunti yake ya mtandao wa X amewachochea Wamasai wa Ngorongoro wasihame kwa hiari kwenda Msomera, Handeni. Nimeshtushwa mno! Nimejiuliza, Lissu ni katili hivi kumbe? Kumbe...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
KIKAO CHA MASHAURIANO CHAENDA SAMBAMBA NA FALSAFA YA RAIS SAMIA YA 4R Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, akiongoza Kikao cha Mashauriano cha Vyama vya Siasa Wanachama wa...
0 Reactions
9 Replies
569 Views
Msing'oe bendera ya chama chochote, bendera haipigi kura, ushinde ubaya kwa wema - Dkt. Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto biteko akizungumza leo juni 6, 2024 katika mkutano...
3 Reactions
17 Replies
987 Views
Kauli iliotolewa hivi karibuni na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha imenisikitisha sana. Kauli hiyo kwa upande wangu naiona kama ya ubaguzi kwa baadhi ya Wananchi ambao wanamtazamo totauti na...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Amewekewa sumu amewekewa sumu Kiko wapi? Huyu Paul christian Makonda ni Rais ajae! Kama hutaki peleka uwendawazimu wako Burundi, Rwanda, zimbambwe, chad, mali, nigeria, kenya, gambia and all other...
15 Reactions
76 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI leo tarehe 15 Agosti, 2024 ametangaza tarehe ya kufanyika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024 nchi nzima. Ambapo...
0 Reactions
2 Replies
719 Views
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba Machifu kuhamasisha watu waowaongoza kuchagua vongozi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika mwaka huu kwani chama hicho...
0 Reactions
7 Replies
600 Views
Nyie chawa mko na shida sana. Niwaulize hivi kwanini Bakhresa, Rostam hatuoni wakihangaika kumsifia Samia. Hivi ni serikali gani inayohitaji kusifiwa kutokana na ufugaji wa pesa hadi kupelekea...
1 Reactions
2 Replies
294 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu amesema kamwe hawezi kujiunga CCM kwa sababu yeye ana AKULI TIMAMU Lisu amesema yeye aliwahi Kuwa Mwanachama wa CCM Kwa mujibu wa sheria Ili...
12 Reactions
99 Replies
3K Views
Naamini kuna juhudi kubwaa zinafanyika chinichini ila wakati umefika mnatakiwa mtoe official stetement kuhusiana na dhamana ya Kombo. Najiuliza hivi haya angekuwa ametendewa Heche au Lema...
1 Reactions
10 Replies
559 Views
Huyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima Ni kama Yesu...
6 Reactions
13 Replies
618 Views
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Mazrui ametangaza kuwa Hospitali zote Zanzibar zilizojengwa na Serikali ya Rais Dkt. Hussein mwinyi sasa rasmi zitasimamiwa na Sekta binafsi kwenye uendeshaji...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Wamasai hawana ardhi yao, ardhi ni yetu sotekwa Sheria ya ardhi ya 1999. Aidha Rais Dkt. Samia aliwahamisha FAIRLY Ngorongoro hadi Tanga na kuwapa upendeleo kuliko kabila lolote; makazi, elimu...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema Chanzo Cha Marais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia Mapolisi kuwanyanyasa Wapinzani wao alikuwa ni Mwalimu Nyerere. Lisu anasema ni Rais...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Tumesikia kila mdomo wa Waziri na viongozi waandamizi wanaposimama kuhutubia ama kuzungumza wanamshukuru Rais kwa kutoa hela ambazo zimwtekeleza miradi ya maendeleo na miundombinu. Hivyo...
33 Reactions
104 Replies
4K Views
Sowapingi wamasai kwa sababu wao wanaamini njia waliyotumia ndio sahihi kwenye kudai Haki zao za Msingi Nailaumu Wizara ya Utalii kwa kushindwa kuling'amua mapema jambo hili na kusababisha...
1 Reactions
26 Replies
918 Views
Wadau naomba nikumbushwe na kisha tujadili kwa faida mapana ya nchi yetu. Kama sijakosea Kuna mwaka fulani kigezo cha mgombea Urais kiliwekwa kuwa ni pamoja na kuwa na walau digrii moja bila...
1 Reactions
5 Replies
753 Views
Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking...
24 Reactions
150 Replies
14K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hasan anatarajia kuhudhuria Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini...
0 Reactions
9 Replies
801 Views
Back
Top Bottom