Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
DKT MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA MAJI USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI BAHI-DODOMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Philip Isdori Mpango Leo Agosti 19, 2024...
1 Reactions
0 Replies
264 Views
Kwako Rais Samia. Suala la mgongano kati ya Hamza na Polisi sio jipya kutokea nchini, labda tofauti kubwa ni kwamba Hamza alichukua hatua ya kulipiza kisasi kwa kuwaua askari. Kila siku...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Hili suala la Hamza limenifanya nijiulize swali hili, hasa niliposikiliza kauli za viongozi wa Polisi kama IGP Sirro na viongozi wa CCM kama Mkuu wa Mkoa wa Dar Amos Makala. Je, inawezekana...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni kitu ambacho watu wengi hawakifikirii kwa makini, lakini ukweli ni wazi kwamba Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye sheria na jeshi la Polisi lenye uonevu kwa raia zake duniani. Hii ni kwa...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Wanabodi, Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo. Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Labda wengi wenu hamkumbuki jinsi Steve Biko wa Afrika Kusini alivyouwawa na Jeshi katili la Afrika Kusini. Kwa kifupi basi, ni kwamba baada ya kupigwa sana kwa ajili ya harakati zake za Black...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Juzi hapa kulikuwa na tukia la askari Polisi mkuu wa kituo cha polisi Mwanakwerekwe, Zanzibar, akishambuliwa hadharani, na wananchi wakishangilia japo waliona askari alikuwa amezidiwa (angalia...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Historia imeandikwa barani Afrika na Duniani kwa ujumla Mke na muwe wake wapandishwa vyeo siku moja kuwa majenerali wa Jeshi la Nigeria Taarifa kamili hapo chini kwa...
1 Reactions
1 Replies
365 Views
Ndugu zangu Watanganyika huu msafari wa gari zaidi ya 200 wanini katika nchi hii maskini iliyojaa madeni? Wote kwa pamoja tujiulize haya ndio matumizi sahihi ya kodi zinazokusanywa kila uchwao...
20 Reactions
55 Replies
2K Views
Majeshi yetu ya Ulinzi na usalama ni vyombo nyeti mno katika mustakabali wa usalama wa nchi yetu (Kisiasa,Kiuchumi na Kijamii). Maeneo ya kambi za Jeshi ni maeneo adhimu na yanapaswa...
2 Reactions
48 Replies
1K Views
Namkumbusha tu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe...
3 Reactions
19 Replies
607 Views
na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema, duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Mwaka 1962 tarehe 9 Disemba Tanganyika ilijitangaza kuwa jamhuri na Mwalimu Nyerere akawa raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Tanganyika. Tukawa tumetoka katika wakoloni wa kizungu na kuanza maisha ya...
3 Reactions
5 Replies
388 Views
Habari wana Jamvi, Nimetafakari sana baada ya jesh la polisi kumchukulia hatua RPC Dodoma kufuatia kauli yake dhidi ya sakata la binti aliebakwa.Hakika niwapongeze kwa uharaka na weredi huu...
0 Reactions
5 Replies
555 Views
Abdul alipokutana na Rais wa Uganda, nlimsema sana kwenye mikutano yangu, Abdul alitaka kujua kwa nini nilimsema, nilimwambia hii sio nchi ya kifalme au kimalkia hadi wewe ukaiwakilishe nchi, Mama...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Jana palikuwa na maandamano ya wamasai ya amani, miongoni katika baadhi ya malalamiko yao mengi walilalamika kwamba wanazuiwa haki ya kupiga kura ilahali wafungwa (prisoners) wanaruhusiwa kupiga...
1 Reactions
0 Replies
393 Views
Maadili Matendo na hata matamko ya Jeshi la Polisi Tanzania hivi karibuni vimeonyesha wazi kuwa Jeshi hili lenatikiwa sio kufanyiwa reforms bali kuundwa upya (kama JW ilivyoundwa upya 1964.)...
0 Reactions
9 Replies
373 Views
Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma. 1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa 2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda...
11 Reactions
123 Replies
9K Views
Napongeza uwekezaji mkubwa uliofanyika ktk ujenzi wa miundombinu yenye thamani kubwa ktk nchi. Serikali imetumia zaidi ya Tirioni 8 ktk ujenzi wa SGR..Kilichofanyika ni uwekezaji wa kihistoria...
9 Reactions
33 Replies
1K Views
Back
Top Bottom