Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa jinsi serikali inavyobehave huko Ngorongoro, huenda kuna makosa ya kutisha dhidi ya binadamu yanayofanyika huko. Hii nguvu ambayo serikali inatumia ili kuzuia ukweli inatoka wapi? Hali hii...
29 Reactions
84 Replies
5K Views
Hii ni Hali ya Miji wa Moshi Manispaa, Mkoani Kilimanjaro. Hii Hali kwa kweli imeanza kujirudia. Wananchi , wameshuhudia maeneo mengi hasa ya masoko na baadhi ya mitaa ya Kata za pembezoni uchafu...
0 Reactions
2 Replies
467 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema ukisoma JamiiForums hata kama umeingia umenuna utacheka tu kwa kuwa ni sehemu inayowapa watanzania uhuru wa kuzungumza. Ameipongeza...
23 Reactions
67 Replies
7K Views
Tumeshuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akivalia njuga wanawake wanaojiuza almaarufu makahaba. Zoezi lilianzia kwenye kuvamia na kuvunja vibanda maarufu vijjlikanavyo kama Vibanda vya Wahaya na...
7 Reactions
66 Replies
4K Views
Nachelea kuita ONYO kwa CCM. Angalizo hili linaweza likawa la mwisho yaani msipoangalia kuna dalili mbaya sana ambayo itawagharimu na kutikisa Afrika. Kuendelea kukumbatia Katiba inayopigiwa...
23 Reactions
38 Replies
2K Views
Masai ni jadi yake kutembea na fimbo miaka yote. Hakuna siku tumewahi kuiona fimbo ya Masai kama silaha. Kinachoendelea Zanzibar ni mwendelezo wakupambana na kabila hili kutokana na ukweli kwamba...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Tumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
39 Reactions
249 Replies
13K Views
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania mwaka 2019 ulikuwa tukio kubwa la kisiasa nchini, ambapo wananchi walichagua viongozi wa vijiji, mitaa, na vitongoji. Huu ulikuwa uchaguzi wa awali wa...
0 Reactions
0 Replies
435 Views
Jeshi la Polisi Zanzibar limewatahadharisha na kuwaonya baadhi ya viongozi wa siasa kuacha kutumia uhuru wa kujieleza kwa kutoa kauli za kebeghi kwa viongozi jambo ambalo linaingilia faragha ya...
0 Reactions
6 Replies
689 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Tukiendelea kukaa kimya na kufumba macho pamoja na kuziba masikio tunajidanganya. Sakata la Loliondo miaka ya 90 utawala wa Rais Ally Hassa Mwinyi uliwafurusha wamasai...
1 Reactions
0 Replies
281 Views
Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater By James Mulaitu, Kenya June 13, 2022 Sponsored media and special tasks in my country (Kenya) are now busy misleading the world through...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
TUNAKUSHUKURU WAMBURA, LAKINI UPELELEZI/UCHUNGUZI URUDIWE. Bashir Yakub, WAKILI +255714047241. Sina utaratibu wa kutoa pongezi kwa mtu anayetekeleza majukumu yake lakini IGP Wambura...
34 Reactions
44 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Tundu Lissu anayo mengi sana ya kujifunza kutoka Katika picha hii inayomuonesha Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi akifurahia jambo na Mwenyekiti...
2 Reactions
103 Replies
2K Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya...
20 Reactions
59 Replies
2K Views
Kipindi hiki chadema inadeal na Nguli aliyepitia mashirika yasio ya kiserikali yaa NGOs ambazo hunena lugha inayoeleweka kimataifa hivyo ule mtindo wa kutengeneza matukio na kwenda kuomba huruma...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Huu ni wito. wapo wahuni huku mtaani walioanza kujitanabaisha na kujipendekeza kwako yaani wakijidai wamerudi kwenye "game"na wakitumia jina lako. Sisi wazalendo tunakujuza kuwa hao ni wahuni tu...
2 Reactions
5 Replies
671 Views
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii, japo sio kipaumbele chetu, Je! JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU? Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe. KWA...
6 Reactions
92 Replies
6K Views
Inaonekana kuna umuhimu wa kuwakumbusha wabunge hasa watoakanao na Chama cha Mapinduzi kusoma na kitembea na vitabu vya Ilani ya CCM iwapo hawaitaki wajiuzulu mapema maana wanyonge wa nchi hii...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya. Sijawahi kuona ibada au misa au...
11 Reactions
99 Replies
4K Views
Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan iliwasikiliza wapinzani,asasi za kiraia na mataifa ya Magharibi kwa kurekebisha baadhi ya misimamo na sera zake ili kutoa fursa...
7 Reactions
60 Replies
3K Views
Back
Top Bottom