Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar. Jamaa ameula kweli kweli maana...
10 Reactions
234 Replies
59K Views
Kufuatia Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kutaka Katibu mkuu na Mhazini wamjibu Mchungaji Msigwa Chama hicho kimetoa tamko Chadema wamesema hawana Sababu ya kumjibu Mchungaji Msigwa Kwa...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Issue ni Je kuondoka kwa Msigwa, Chadema imeteteleka? Is Chadema crubmling due Msigwas's cross over the floor/defecting to CCM? haya ndiyo maswali ya Msingi. Watu wa maana ni wengi lakini kuna...
5 Reactions
13 Replies
499 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa mubashara au live au waweza kusema ataonekana moja kwa moja kutokea Ikulu...
8 Reactions
150 Replies
5K Views
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya...
12 Reactions
72 Replies
6K Views
Tangazo lililotolewa na Star TV hili hapa Jiandaeni kwa mambo mbalimbali, hawachelewi kukata Umeme
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Zipo Tetesi ambazo sio rasmi ila sasa uwenda Tetesi hizo zikawa kweli japo yatupasa kujiandaa kwa lolote linaweza tokea hasa ukizingatia tembo wanapo pigana nyasi ndio zinazo umia. Kwa muda mrefu...
4 Reactions
100 Replies
7K Views
Kwa muhitasari: Tundu Lissu: "Ni rafiki yangu wa muda mrefu tangu mwaka 2006. Kuhama kwake kumeniumiza sana na ni pigo kwa chama kwa sababu Msigwa alikuwa ni mtu mpamnaji mzuri sana" Tundu...
1 Reactions
4 Replies
730 Views
Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike. Wewe...
7 Reactions
21 Replies
754 Views
Kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025 wapiga kura watawapima waliokuwa madarakana kwa mafanikio ya ahadi zao. Ambao hawakuwa madarakana watawapima kwa uaminifu wao kwa utetezi kwa wananchi. Wewe...
0 Reactions
15 Replies
456 Views
Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba, 2024. Jinsi muda unavyoyoyoma kuelekea uchaguzi huo ninaona kabisa...
2 Reactions
10 Replies
605 Views
Unadhani kwa mazingira bora na tulivu haya ya uhuru, haki na usawa wa kidemokrasia yaliyopo sasa hivi Tanzania, ni chama kipi miongoni mwa vyama vya siasa zaidi ya 20, vyenye usajili wa kudumu na...
1 Reactions
0 Replies
162 Views
Heshima sana wanajamvi, Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama. Interview zake zina muelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba. Angalia video hapo chini.
54 Reactions
685 Replies
159K Views
Ndugu zangu siasa ni kitu kigumu Sana si kitu cha kuji husisha nacho Sana Nakumbuka kipindi Dkt. Slaa anagombea kiti kile kikuu kwa tiketi ya chadema alionekana wazi wazi kwamba huenda akawa...
5 Reactions
56 Replies
2K Views
Kama ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi? Naibu chini ya...
7 Reactions
80 Replies
2K Views
Chama kimoja cha siasa (sina uhakika kama vingine navyo vinafanya hivi) kinaandikisha wanachama kwa kutumia kitambulisho cha NIDA.Je Chama hiki kitakuwa na uwezo wa kufikia taarifa binafsi za...
2 Reactions
7 Replies
320 Views
Amesema Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu kuwa alitekwa na Polisi na kutelekezwa jijini DSM ambako siyo nyumbani kwake tena bila kutibiwa Pia soma...
-1 Reactions
10 Replies
740 Views
Kama unabisha shauri Yako. Hapo anasubiriwa Dr Bashiru na Komredi Polepole kutusukia Ilani ya Ushindi wa kishindo. Kwa kifupi Kazi imeisha Siasa ni Sayansi 😂😂 Pale Bungeni ndugu Lukuvi ataweka...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia...
6 Reactions
90 Replies
5K Views
Back
Top Bottom